Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

Wakiristo wa jf comments zao utacheka


ENDELEA KUCHEKA HUKU WENZAKO WAKICHAKAZWA
 
Hizbullah huu ugomvi wameutafuta kwa udi na uvumba pengine Kuna kitu walitaka kuuonyesha ulimwengu dhidi ya Israel tusubiri tuone wanataka kutuonyesha kitu Gani hicho
Nikuambie kitu hakuna kitu significant walichojiandaa nacho Hezbollah baada ya shambulio la pagers tarehe 17 na 18 na kufatiwa na mashambulizi ya ndege tarehe 23 na 24 na badae shambulio lililomuuwa kiongozi wao tarehe 27, tofauti na kumlilia Allah kila sentence. Makamanda wote ambao ni elite wameuwawa miundo mbinu ya kijeshi imehalibiwa,mawasiliano yalidukuliwa na badae pagers kulipuliwa....kifupi Hezbollah wako uchi time will tell....
 
Kwenda Iran, North Korea, Russia au kwenda kuishi Marekani wapi unachagua
 
Erdoğan ache unafiki, mwenyewe hupiga Wakurdi hats wakiwa Iraq huko, ila ndio anaona kuvamia nchi nyingine ni kosa.
 
Kwara mbuzi wala hana lolote ni mdomo tu
 
Vita ya pale ni fumbo sana
 
Sasa ndio anaingia kwenye mdomo wa mamba.....timu Lebanon sisi ni timu ya ushindi

View attachment 3111684
Wamepokea kipigo wakakimbia hiyo ya kusema wameingiza ground force ni uwongo mtupu. Kama walivyo wadan'gan'ya wa Israel wamevunja silaha zote za Hezbullah long range missile vitu vimetua leo Tela Aviv


View: https://youtu.be/cTNhVbszUWs?si=AupBdyp8ZH8dCQgs
Walidhani kuwauwa viongozi wa Hezbullah wale kikosi cha kwanza basi wameshinda vita haha. Mtasikia serekali ya Lebanon inatumiwa na America ikalalamike UN kumbe ni Israel na America wameona moto

Niliwambia kenge wavaa misalaba mbio za sakafuni hizo, msidhani mtawashinda Hezbullah mkiwashinda Hezbullah basi mtamshinda North Korea 😄
 
Kwenda Iran, North Korea, Russia au kwenda kuishi Marekani wapi unachagua
Dunia tambarare haijalishi wapi waishi.

Mkuu, ukipata kauwezo jaribu kutembea anza na Moscow ujionee.
 

 
Mimi sijui kiarabu lakini najua Aljazeera ni wazee wa Propaganda uchwara kombola hilo limeangukia barabarani na media zingine wameripoti tuseme ukweli Hezbollah wamekuwa crippled na Operation Beeper viongozi wao wakuu kumalizwa na makamanda wao kuwa vipofu na wengine kuwa vilema sasa hivi wanawayawaya tu Israel inapiga inapotaka. Mpaka jioni hii stone chochote au majibu yoyote ya magaidi hao!!
 
Vita iko hyped na western media, Israel alitangaza kuwa kaishaingia Lebanon na Hezbollah walikanusha.

Bado Israel hawajui wanatumiwa vipi na USA ambae Ana maslahi makubwa na vita hii pamoja na ya Eukraine,

Muda mchache uliopita Hezbollah kapiga Headquarter za Mossad lakini western media zimetulia tu Fox pekee wameripoti, marekani anajalibu silaa zake kwenye live scene akiwatumia israel na Eukraine haiwezi tumia $100M kulipua port ambayo haifiki hata $1M lakini israel wanaenjoy kwasabu sio kodi zao.
 
Ushaona kiduku ama Putin anaingia kichwa kichw akwa myahudi?
Sehemu putin anapambana ni ukrain tena napo kazidiwa sana tu.
Embu usiongee mashudu mkuu.
Kama Israel angekua Karibu na North korea tegemea Israel wayahudi wote wangeshachinjwa kwa mapanga.
Kama Israel angekua karibu na Russia tegemea now Tel aviv iko chini ya Russia.
Wewe wanamgambo wa Hamas tu wamewapa Israel hasara ya vita ya zaidi ya Yom Kippur war.
Halafu uropoke iingie vita na Kiduku au Russia!?
Zingepigwa Iskander kadhaa hapo pangegeuka juu chini hapa Kiryat Shmona.
Cha mwisho mshindi wa vita ya Ukraine ni Russia hadi sasa.
Hata viongozi wa kizungu wenyewe wanasema ngoma ngumu kumzuia Russia.
 
Kudos IDF

Your browser is not able to display this video.

Cc. Ritz

God Bless Israel
 
Ona huyu!
Hilo kombora lililoanguka barabarani ni moja wapo ya makombora yaliyorushwa.
Hizbollah hajarusha kombora moja karusha zaidi ya 10.
 
Huna researcha na hujui kabisa siasa za kimataifa.
Hizo nyuklia reactor za Kiduku na Urusi hazina lolote.
Hivi Israel wameua rais wa Iran , unataka wafanye nini ndio hawa Iran, Kiduku na Putin wamfute kwenye uso wa dunia?

URUSI, KIDUKU, IRAN ni panya tu, wanabweka na sasa wanafuatwa kwao na kutandikwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…