Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

Wakiristo wa jf comments zao utacheka

ENDELEA KUCHEKA HUKU WENZAKO WAKICHAKAZWA
 
Hizbullah huu ugomvi wameutafuta kwa udi na uvumba pengine Kuna kitu walitaka kuuonyesha ulimwengu dhidi ya Israel tusubiri tuone wanataka kutuonyesha kitu Gani hicho
Nikuambie kitu hakuna kitu significant walichojiandaa nacho Hezbollah baada ya shambulio la pagers tarehe 17 na 18 na kufatiwa na mashambulizi ya ndege tarehe 23 na 24 na badae shambulio lililomuuwa kiongozi wao tarehe 27, tofauti na kumlilia Allah kila sentence. Makamanda wote ambao ni elite wameuwawa miundo mbinu ya kijeshi imehalibiwa,mawasiliano yalidukuliwa na badae pagers kulipuliwa....kifupi Hezbollah wako uchi time will tell....
 
Lakini mkuu, Marekani awatumia Israeli na Ukraine kwa kazi zake kujitengenezea himaya zaidi duniani.

Marekani ataka Ukraine, ataka eneo la Pasific akimtumia taiwan na pia ataka eneo la mashariki ya kati akimtumia Israeli.

Kikwazo Mashariki ya kati ni Iran, Ukraine ni Russia na Kusini mwa Asia ni China.
Kwenda Iran, North Korea, Russia au kwenda kuishi Marekani wapi unachagua
 
Updates:Hezbollah yakanusha kwamba majeshi ya Israeli yamevuka mpaka kuingia kusini mwa Lebanon.

Hapa ni vita ya propaganda na kisaikolojia.

Wakti huohuo Uturuki imesema jaribio la Israeli kuingiza majeshi ya ardhini kusini mwa Lebanon ni kinyume cha sheria za kimataifa na yakiuka maslahi na heshima ya mipaka ya Lebanon.

Jeshi la kulinda amani la umoja wa mataifa limesema limetaarifiwa na Israeli juu ya operesheni yake kusini mwa Lebanon.

Operesheni hii ya Israeli yaitwa Operation Arrow.

Russia imesema yafuatilia kwa makini operesheni ya Israeli katika nchi za Lebanon na Syria.
Erdoğan ache unafiki, mwenyewe hupiga Wakurdi hats wakiwa Iraq huko, ila ndio anaona kuvamia nchi nyingine ni kosa.
 
Updates:Hezbollah yakanusha kwamba majeshi ya Israeli yamevuka mpaka kuingia kusini mwa Lebanon.

Hapa ni vita ya propaganda na kisaikolojia.

Wakti huohuo Uturuki imesema jaribio la Israeli kuingiza majeshi ya ardhini kusini mwa Lebanon ni kinyume cha sheria za kimataifa na yakiuka maslahi na heshima ya mipaka ya Lebanon.

Jeshi la kulinda amani la umoja wa mataifa limesema limetaarifiwa na Israeli juu ya operesheni yake kusini mwa Lebanon.

Operesheni hii ya Israeli yaitwa Operation Arrow.

Russia imesema yafuatilia kwa makini operesheni ya Israeli katika nchi za Lebanon na Syria.
Kwara mbuzi wala hana lolote ni mdomo tu
 
Yitzhak Rabin aliuawa kwa baada ya kusaini mkataba wa Oslo mwaka 1994 na kiongozi wa wapalestina Yaser Arafat maarufu kama Oslo Accord.

Kwa kusaini mkataba huo Rabin akauawa (assassinated) na muisraeli mwenye msimamo mkali Yigar Amir mwaka 1995.

Leo hii waisraeli wenye msimamo mkali wameapa kwamba wataiangusha serikali ya Israeli endapo Benjamin Netanyahu atasaini mkataba wowote wa makubaliano na wapalestina.

Ndo maana suala la "two state solution" bado lachungulia dirishani na hii vita aloianzisha Netanyahu ni katika pia kujitengeneza na kujiimarisha kisiasa baada ya rekodi yake kuvurugwa na shambulizi la Hamas mwaka jana.
Vita ya pale ni fumbo sana
 
Sasa ndio anaingia kwenye mdomo wa mamba.....timu Lebanon sisi ni timu ya ushindi

View attachment 3111684
Wamepokea kipigo wakakimbia hiyo ya kusema wameingiza ground force ni uwongo mtupu. Kama walivyo wadan'gan'ya wa Israel wamevunja silaha zote za Hezbullah long range missile vitu vimetua leo Tela Aviv

View: https://youtu.be/cTNhVbszUWs?si=AupBdyp8ZH8dCQgs

Walidhani kuwauwa viongozi wa Hezbullah wale kikosi cha kwanza basi wameshinda vita haha. Mtasikia serekali ya Lebanon inatumiwa na America ikalalamike UN kumbe ni Israel na America wameona moto

Niliwambia kenge wavaa misalaba mbio za sakafuni hizo, msidhani mtawashinda Hezbullah mkiwashinda Hezbullah basi mtamshinda North Korea 😄
 
Kwenda Iran, North Korea, Russia au kwenda kuishi Marekani wapi unachagua
Dunia tambarare haijalishi wapi waishi.

Mkuu, ukipata kauwezo jaribu kutembea anza na Moscow ujionee.
 
Marjayoun- Lebanon.

Israeli imetangaza kuingiza majeshi yake upande wa kusini mwa Lebanon na kuliweka eneo hilo chini ya jeshi la IDF yaani "military Zone". Hatua hiyo yafuatia uamuzi ulofanywa na Israeli na kuwaatarifu Marekani kwamba wameamua kuingiza majeshi ya ardhini nchini Lebanon.

Maeneo ya Metula, Misgav Am na Kfar Galadi yaliyoko upande wa kaskazini mwa Israeli yote yamefungwa kwa ajili ya IDF kuyatumia. Naibu kiongozi wa hezbollah Naim Qassim ametoa onyo kwa Israeli kuwa endapo IDF itaingia Lebanon kwa ajili ya vita ya ardhini basi Hezbollah wapo tayari.

Majeshi ya IDF khasa yale maalum au Special Forces tayari yapo ndani ya Lebanon huku vikosi vingine vikiendelea kusogea karibu na mpaka kutokea sehemu ya Kiryat Shmona. Vikosi vya makomandoo wa IDF vitakuwa vikitafuta upenyo wa kuingiza na kupandkiza mabomu ili kuwezesha vifaru kusogea ndani zaidi.

Israeli wamesema watatumia njia zote za ardhini, angani na majini kutimiza azma yao ya kupigana na Hezbollah vita ambayo ni ya pili baada ya vita ilopiganwa mwaka 2006 vita ambayo haikutoa mshindi yoyote. waziri mkuu Benjamin Netanyahu ametoa onyo kwa Iran kuwa hakuna eneo lolote ambalo Israeli itashindwa kulipiga.

Vifaru vya kijeshi vya IDF vimesogea mpakani na Lebanon huku naibu kiongozi wa wa Hezbollah akisema kuwa wapiganaji wa Hezbollah wapo tayari kwa vita ambayo kitaalamu yaiotwa Asymmetrical Warfare pale ambapo Hezbollah watatumia mbinu iitwayo "gollila tactics" dhidi ya jeshi la IDF lenye kila aina ya zana ya kijeshi ijulikanayo ulimwenguni.

Lengo kuu ya Israeli ni kubomoa miundombinu ya Hezbollah ambayo yajumuisha njia za chini kwa chini (Tunnels) na njia za panya ambazo Hezbollah huzitumia kupitisha silaha zao na bidhaa zingine kutoka nje. Pia lengo hilo limekusudia kuhakikisha wananchi wa Israeli wanoishi upande wa Kaskazini ambao wamekimbia, warudi katika makazi yao.

Kwanini hali hii imefikia hapa?

Terehe 17 hadi 18 mwezi huu vifaa vya mawasiliano yaani "pagers" wanotumia Hezbollah vililipuka pamoja na radio za mawasiliano.

Tarehe 23 hadi 24 Israeli ikafanya mashambulizi ya anga kwa kutumia ndege za kivita dhidi ya maeneo ya Hezbollah.

Tarehe 27 Septemba kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah akauawa katika shambulio kubwa la bomu liitwalo "banker" lilofurumusha majengo na handaki walokuwamo Nasrallah na wenzie.

Tarehe 30 yaani leo jumatatu kiongozi wa Hamas aliekuwepo Lebanon nae ameuawa baada ya Israeli kushambulia tena kwa dege za kivita eneo hilo la kusini mwa Lebanon.

Wachambuzi wengi wa kijeshi na kijajusi wametoa tahadhari kwa Israeli kwamba hata kama safari hii wamejifunza mengi kutokana na vita ya mwaka 2006 lakini pia Hezbollah nao pamoja na kuuliwa kwa viongozi wake wengi kutokana na mashambulizi mengi aloyafnya Israeli, bado wana shaka kuwa Israeli itaweza kupigana vita ya ardhini.

Vita hii ya ardhini ambayo ni rahisi kuingia lakini ngumu kutoka, safari hii imekusanya makundi ya wapiganaji wanojiita "Axis of Resistance" yanojumuisha makundi ya kutoka Lebanon, Hamas, kutoka nchi za Irak na Syria pamoja na kundi la Houdh la Yemen na wote wakiwa na silaha walopewa na Iran.

Wahudhi wamepewa jukumu la kuhakikisha Marekani hapeleki silaha zaidi Israeli huku makundi yaliyoko Syria na Irak wakihakikisha wanatuma makombora upande wa kaskazini mwa Israeli kulipo milinma maarufu ya Golan ambayo Israeli huitumia kufanya doria dhidi ya Syria na Irak.

Milima ya Golan ilipokwa na Israeli baada ya vita ya siku sita ya mwaka 1967 na tangia muda huo milima hiyo imekaliwa na Israeli.

Nini kitajiri katika vita hiyo ambayo itaaqnza kukolezwa muda huu wa usiku wa kuamkia jumanne?

NB:
Tafadhali Mods ninawaomba kuuweka uzi huu Live ili tuendelee kuleta yale yanojiri katika eneo

Umeanza vizuri kuelezea lakini hapo kati umedanganya sana umesema kwa nini tumefika hapa ukasema tayizo lilianzia Sept 17 na 18 mwaka huu wakati ni uongo. Tatizo la mzozo huu lilianza Oct 08,2023 Hezbollah ilipofanya maamuzi ya kijinga kutokea kuwaunga mkono Magaidi wabakaji wa Hamas kwenye uvamizi wao wa Oct 07,2023. Kosa hilo watalijutia maishani mwao kama wanavyojutia Hamas kuivamia Israel wakitarajia kuungwa mkono na Iran. Tukirudi kwa upande wa Hezbollah tokea kipindi hicho walikuwa waki9nywa sana waache kuishambulia Israel lakini hawakusikia waliaminishwa na kupewa kichwavkwa kusifiwa juwa wao wana silaha bora sana kuliko magaidi wote huko Mashariki ya kati na siraha zote hizo hutolewa na bwana wake Iran. Baada ya Israel kuona imeweza kuwadhibiti vilivyovyo magaidi wa Hamas ikaamua sasa kuwashughulikia magaidi wa Hezbollah kwanza Israel ilikuwa inajua kuwa Safu yote ya uongozi ya Hezbollah hawatumii simu na wanatumia tu PAGER,Radio-Call kama source ya mawasiliano yao ilichokifanya Sept 17,2024 PAGER zilizokuwa zinatumiwa na viongozi waandamizi na Makamanda wakuu wa Hezbollah ziliwaripukia hivyo kusababisha vifo wengine kuwa vipofu wengine waliokuwa wamezivaa mkononi walipoteza mikono na waliokuwa wameziweka mfukoni mwa suruali walipoteza miguu na makende waliokuwa wamezimweka kwenye mfuko wa shati wao wengi walikufa kabisa baada ya milipo hiyo.kwa sababu hiyo Makamanda wengi wa Hezbollah wamekufa na wengine sasa ni vilema mikono,miguu,Makende na wengine ni vipofu kabisa. Kesho yake Sept 18,2024 Radio-Call call nazo zilifanya kazi ya kuwaadhibu magaidi hao wa Hezbollah wengi pia walikuwa na wengine kujeruhiwa vibaya hivyo kufanya 80% ya makamanda waandamizi kuwa vilema. Baada ya hapo sasa Israel ilielekeza nguvu zake kuuangamiza uongozi wa Hezbollah waliweza kuangamiza Chain of Command yote ya Hezbollah mpaka kiongozi wake Gaidi Sayyed Hassan Nasrallah Jumamosi najeshi hodari ya Israel yalituma kikosi maalumu (Special-Force) kuingia ndani ya Lebanon ili kutengeneza njia za askari wa miguu na kuwasafishia njia hatimaye Jana Sept,30,2024 Israel ilianzisha Operation Northern Arrows ambayo ilijumuisha askari wa miguu(Infrantry) askari wa mizinga(Artillery) Ndege-Vita (Airforce) askari wa kuzuia mawasiliano(Communication Jamming) na wategua mabomu waliingia ndani zaidi ya Lebanon na inaonekana wazi Hezbollah hawana tena uwezo wa kupambana na majeshi hodari ya Israel. Hezbollah wanajitutumua kurusha makombola yao kuelekea Israel lakini yanakutana na air-defence Iron-Dome yanapopolewa kwa urahisi sana na mengine yanaangukia kwenye sehem za wazi tu. Kusema kweli Hezbollah waliokuwa wanasifiwa sana na watu leo hii kwa siku kumi uongozi wao wote unasambaratishwa na naamini hawana tena uwezo wa kupigana. Tukija suala la mawasiliano Israel imeharibu na kuuingilia kiasi kwamba hawawezi tena kuwasiliana kwa amani na ukichukulia na wenyewe hawataki kutumia vifaa vya kielektroniki kuogopa watadukuliwa na Israel. Jiulize ni jeshi gani duniani linaweza kupigana bila mawasiliano? Tunawataka Hezbollah wajisalimishe tu au wamuite Bwana wao Iran aje awasaidie. Iran naye Benjamin Netanyahu alimpa onyo wakati anahutubia UN kuwa asilete mchezo Majeshi ya Israel yatampiga mpaka achakae.
NB:
Tafadhali Mods ninawaomba kuuweka uzi huu Live ili tuendelee kuleta yale yanojiri katika eneo la mashariki ya kati.
 
Wamepokea kipigo wakakimbia hiyo ya kusema wameingiza ground force ni uwongo mtupu. Kama walivyo wadan'gan'ya wa Israel wamevunja silaha zote za Hezbullah long range missile vitu vimetua leo Tela Aviv

View: https://youtu.be/cTNhVbszUWs?si=AupBdyp8ZH8dCQgs

Walidhani kuwauwa viongozi wa Hezbullah wale kikosi cha kwanza basi wameshinda vita haha. Mtasikia serekali ya Lebanon inatumiwa na America ikalalamike UN kumbe ni Israel na America wameona moto

Niliwambia kenge wavaa misalaba mbio za sakafuni hizo, msidhani mtawashinda Hezbullah mkiwashinda Hezbullah basi mtamshinda North Korea 😄

Mimi sijui kiarabu lakini najua Aljazeera ni wazee wa Propaganda uchwara kombola hilo limeangukia barabarani na media zingine wameripoti tuseme ukweli Hezbollah wamekuwa crippled na Operation Beeper viongozi wao wakuu kumalizwa na makamanda wao kuwa vipofu na wengine kuwa vilema sasa hivi wanawayawaya tu Israel inapiga inapotaka. Mpaka jioni hii stone chochote au majibu yoyote ya magaidi hao!!
 
Marjayoun- Lebanon.
View attachment 3112088
Kifaru cha jeshi la Israeli kilifanya doria kwenye mpaka wa Israeli na Lebanon mapema leo asubuhi. Picha na Aya Margolin wa Flash90

Israeli imetangaza kuingiza majeshi yake upande wa kusini mwa Lebanon na kuliweka eneo hilo chini ya jeshi la IDF yaani "military Zone". Hatua hiyo yafuatia uamuzi ulofanywa na Israeli na kuwaatarifu Marekani kwamba wameamua kuingiza majeshi ya ardhini nchini Lebanon.

Maeneo ya Metula, Misgav Am na Kfar Galadi yaliyoko upande wa kaskazini mwa Israeli yote yamefungwa kwa ajili ya IDF kuyatumia. Naibu kiongozi wa hezbollah Naim Qassim ametoa onyo kwa Israeli kuwa endapo IDF itaingia Lebanon kwa ajili ya vita ya ardhini basi Hezbollah wapo tayari.

Majeshi ya IDF khasa yale maalum au Special Forces tayari yapo ndani ya Lebanon huku vikosi vingine vikiendelea kusogea karibu na mpaka kutokea sehemu ya Kiryat Shmona. Vikosi vya makomandoo wa IDF vitakuwa vikitafuta upenyo wa kuingiza na kupandkiza mabomu ili kuwezesha vifaru kusogea ndani zaidi.

Israeli wamesema watatumia njia zote za ardhini, angani na majini kutimiza azma yao ya kupigana na Hezbollah vita ambayo ni ya pili baada ya vita ilopiganwa mwaka 2006 vita ambayo haikutoa mshindi yoyote. waziri mkuu Benjamin Netanyahu ametoa onyo kwa Iran kuwa hakuna eneo lolote ambalo Israeli itashindwa kulipiga.

Vifaru vya kijeshi vya IDF vimesogea mpakani na Lebanon huku naibu kiongozi wa wa Hezbollah akisema kuwa wapiganaji wa Hezbollah wapo tayari kwa vita ambayo kitaalamu yaitwa Asymmetrical Warfare pale ambapo Hezbollah watatumia mbinu iitwayo "gollila tactics" dhidi ya jeshi la IDF lenye kila aina ya zana ya kijeshi ijulikanayo ulimwenguni.

Lengo kuu ya Israeli ni kubomoa miundombinu ya Hezbollah ambayo yajumuisha njia za chini kwa chini (Tunnels) na njia za panya ambazo Hezbollah huzitumia kupitisha silaha zao na bidhaa zingine kutoka nje. Pia lengo hilo limekusudia kuhakikisha wananchi wa Israeli wanoishi upande wa Kaskazini ambao wamekimbia, warudi katika makazi yao.

Kwanini hali hii imefikia hapa?

Tarehe 17 hadi 18 mwezi huu vifaa vya mawasiliano yaani "pagers" wanotumia Hezbollah vililipuka pamoja na radio za mawasiliano.

Tarehe 23 hadi 24 Israeli ikafanya mashambulizi ya anga kwa kutumia ndege za kivita dhidi ya maeneo ya Hezbollah.

Tarehe 27 Septemba kiongozi wa Hezbollah Hassan Nasrallah akauawa katika shambulio kubwa la bomu liitwalo "banker" lilofurumusha majengo na handaki walokuwamo Nasrallah na wenzie.

Tarehe 30 yaani leo jumatatu kiongozi wa Hamas aliekuwepo Lebanon nae ameuawa baada ya Israeli kushambulia tena kwa dege za kivita eneo hilo la kusini mwa Lebanon.

Wachambuzi wengi wa kijeshi na kijajusi wametoa tahadhari kwa Israeli kwamba hata kama safari hii wamejifunza mengi kutokana na vita ya mwaka 2006 lakini pia Hezbollah nao pamoja na kuuliwa kwa viongozi wake wengi kutokana na mashambulizi mengi aloyafanya Israeli, bado wana shaka kuwa Israeli itaweza kupigana vita ya ardhini.

Vita hii ya ardhini ambayo ni rahisi kuingia lakini ngumu kutoka, safari hii imekusanya makundi ya wapiganaji wanojiita "Axis of Resistance" yanojumuisha makundi ya kutoka Lebanon, Hamas, kutoka nchi za Irak na Syria pamoja na kundi la Houdh la Yemen na wote wakiwa na silaha walopewa na Iran.

Wahudhi wamepewa jukumu la kuhakikisha Marekani hapeleki silaha zaidi Israeli huku makundi yaliyoko Syria na Irak wakihakikisha wanatuma makombora upande wa kaskazini mwa Israeli kulipo milinma maarufu ya Golan ambayo Israeli huitumia kufanya doria dhidi ya Syria na Irak.

Milima ya Golan ilipokwa na Israeli baada ya vita ya siku sita ya mwaka 1967 na tangia muda huo milima hiyo imekaliwa na Israeli.

Nini kitajiri katika vita hiyo ambayo itaaqnza kukolezwa muda huu wa usiku wa kuamkia jumanne?

NB:
Tafadhali Mods ninawaomba kuuweka uzi huu Live ili tuendelee kuleta yale yanojiri katika eneo la mashariki ya kati.
Vita iko hyped na western media, Israel alitangaza kuwa kaishaingia Lebanon na Hezbollah walikanusha.

Bado Israel hawajui wanatumiwa vipi na USA ambae Ana maslahi makubwa na vita hii pamoja na ya Eukraine,

Muda mchache uliopita Hezbollah kapiga Headquarter za Mossad lakini western media zimetulia tu Fox pekee wameripoti, marekani anajalibu silaa zake kwenye live scene akiwatumia israel na Eukraine haiwezi tumia $100M kulipua port ambayo haifiki hata $1M lakini israel wanaenjoy kwasabu sio kodi zao.
 
Ushaona kiduku ama Putin anaingia kichwa kichw akwa myahudi?
Sehemu putin anapambana ni ukrain tena napo kazidiwa sana tu.
Embu usiongee mashudu mkuu.
Kama Israel angekua Karibu na North korea tegemea Israel wayahudi wote wangeshachinjwa kwa mapanga.
Kama Israel angekua karibu na Russia tegemea now Tel aviv iko chini ya Russia.
Wewe wanamgambo wa Hamas tu wamewapa Israel hasara ya vita ya zaidi ya Yom Kippur war.
Halafu uropoke iingie vita na Kiduku au Russia!?
Zingepigwa Iskander kadhaa hapo pangegeuka juu chini hapa Kiryat Shmona.
Cha mwisho mshindi wa vita ya Ukraine ni Russia hadi sasa.
Hata viongozi wa kizungu wenyewe wanasema ngoma ngumu kumzuia Russia.
 
Kudos IDF

Cc. Ritz

God Bless Israel
 
Mimi sijui kiarabu lakini najua Aljazeera ni wazee wa Propaganda uchwara kombola hilo limeangukia barabarani na media zingine wameripoti tuseme ukweli Hezbollah wamekuwa crippled na Operation Beeper viongozi wao wakuu kumalizwa na makamanda wao kuwa vipofu na wengine kuwa vilema sasa hivi wanawayawaya tu Israel inapiga inapotaka. Mpaka jioni hii stone chochote au majibu yoyote ya magaidi hao!!
Ona huyu!
Hilo kombora lililoanguka barabarani ni moja wapo ya makombora yaliyorushwa.
Hizbollah hajarusha kombora moja karusha zaidi ya 10.
 
Embu usiongee mashudu mkuu.
Kama Israel angekua Karibu na North korea tegemea Israel wayahudi wote wangeshachinjwa kwa mapanga.
Kama Israel angekua karibu na Russia tegemea now Tel aviv iko chini ya Russia.
Wewe wanamgambo wa Hamas tu wamewapa Israel hasara ya vita ya zaidi ya Yom Kippur war.
Halafu uropoke iingie vita na Kiduku au Russia!?
Zingepigwa Iskander kadhaa hapo pangegeuka juu chini hapa Kiryat Shmona.
Cha mwisho mshindi wa vita ya Ukraine ni Russia hadi sasa.
Hata viongozi wa kizungu wenyewe wanasema ngoma ngumu kumzuia Russia.
Huna researcha na hujui kabisa siasa za kimataifa.
Hizo nyuklia reactor za Kiduku na Urusi hazina lolote.
Hivi Israel wameua rais wa Iran , unataka wafanye nini ndio hawa Iran, Kiduku na Putin wamfute kwenye uso wa dunia?

URUSI, KIDUKU, IRAN ni panya tu, wanabweka na sasa wanafuatwa kwao na kutandikwa.
 
Back
Top Bottom