Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

Haya leo tu wameuliwa askari 14 wa Israel waliokuwa wanaingia Lebanon na majeruhi ni wengi sana.

Nendeni huko Tel Aviv mkawasaidie mabwana zenu wako taabani
 
Kifupi wewe endelea kuamini hawajaingia kumbe walishaingia mliambiwa pia kuwa Gaidi Sayyed Hassan Nasrallah kauliwa mkaendelea pia kukataa tukawapa muda mwishoni ndipo mlikubali kwa shingo upande hivi nyinyi mliumbwaje? Uongo ndiyo sera yenu?
We kende huwa unaongopa kwa faida ya nani!?
Jeshi la Israel limeanza kuingia Lebanon kusini jumanne kichaa wewe.
Na hiyo jumanne iliingia kilometa chache leo ndio ikasogea kilometa nyingi na kukutana na shambulio la Hizbollah.
Sisi pia tunatizama CNN,ALJAZEERA NA CGTN na zinasema taarifa hiyo.
Huu uongo wewe unautoa wapi!?
 
Kwa taarifa yako tu mpaka jioni hii bado sijaona impact yoyote ya mashambulizi ya Iran nchini Israel hajaua mtu yeyote ispokuwa mvamizi mmoja.
Unataka impact kama wanazofanya zionist ? unafikiri iran wanafanya genocide ?
Wao wanatarget military na kwa israel wametarget Airforce, Mana ndio kitu pekee wanachokiweza.

Marekani awape tena F35 afu mpaka leo nakuhakikishia Israel hajui ampige wapi Iran, Mana Wana facilities nyingi hata kama atapiga bado Wana underground facilities zakutosha na walishajiandaa toka US anavamia Iraq walijua na wao watafuatia, sasa maandalizi yote watahamishia Israel.

Endelea kudanganywa na western media angaliaa hii enterview sky reporter anavyochekesha na hatosau maisha yake yote

View: https://youtu.be/7-2EiPHpam4?si=uArdfrLZ6qLyGeZ-
 
Pole sana Kijana wangu kwa kuendeshwa na mihemko ya kijinga kwanza inaonekana huyu I hata maana ya neno GENOCIDE unazuzuka tu kwa kuwa waarabu wanalitumia sana ili tu kupata Political milage lakini hata wao hawalitumii inavyotakiwa. Huko Gaza hakuna kitu kinachoitwa GENECIDE ujinga tu unawasumbua.Shambulio la Iran kwa Israel halikuwa na madhara yoyote yale mengi ya makombola yalidunguliwa na mengine yaliangukia sehemu za Wazi kitu ambacho hayakudhuru kitu hii inaonyesha wazi kuwa Iran ni wakurupukaji sana. Ulivyo mjinga na mpumbavu unataka kunichagulia hata media za kusikiliza hapo ulipo unatumia kila kitu cha Magharibi hiyo simu,Internet hata hiyo unayojigamba mayo skynews ni ya magharibi, hivyo Iran hawezi kitu Issa misusing kwa Israel atapigwa kama mtoto tu. Mlikuwa mna wa Rambo miguu Hezboullah kwa wiki Mhoja tu Chain of Command yao yote akiwemo Sayyed Hassan Nasrallah majeshi hodari ya Israel yalipita nao. Hata sasa hivi Hezboullah inapigwa kipigo cha mbwa-koko. Kwa uplands wa Iran yeye asubiri kipigo tu kinaandaliwa!!
 
We kende huwa unaongopa kwa faida ya nani!?
Jeshi la Israel limeanza kuingia Lebanon kusini jumanne kichaa wewe.
Na hiyo jumanne iliingia kilometa chache leo ndio ikasogea kilometa nyingi na kukutana na shambulio la Hizbollah.
Sisi pia tunatizama CNN,ALJAZEERA NA CGTN na zinasema taarifa hiyo.
Huu uongo wewe unautoa wapi!?
Shida iko wapi? Je bado tu unasema Israel haijaingia Lebanon? Acha ujinga sisi tukisema tunamaanisha subirini kipondo kiendelee, Mlikuwa manawasifia sana Hezboullah kumbe Hezboullah yenyewe ni sawa na MANDONGA!!!
 
Wananchi wa Israel wana ishi shimoni sawa na wapalestina..
Nani alikudanganya hivyo?? Unaona ilivyo Gaza sasa hivi? Wananchi wa Israel mpaka wasikie king’ora ndiyo waende kwenye hizo Basement ambako kuna kila kitu kuanzia Umeme,Internet,Hospital,kitanda,Shuka,Choo mpaka na chakula kimo!! Harafu wewe Mmatumbi mwenzangu unaita Shimoni. Wapalestina wana Hali ngumu sana mpaka wanajuta kwa nini Magaidi wa Hamas walivamia Oct 07,2023.
 
Shida iko wapi? Je bado tu unasema Israel haijaingia Lebanon? Acha ujinga sisi tukisema tunamaanisha subirini kipondo kiendelee, Mlikuwa manawasifia sana Hezboullah kumbe Hezboullah yenyewe ni sawa na MANDONGA!!!
Umeona yanayoendelea kusini mwa Lebanon!?
Na umesoma kwanini nimemjibu hivyo huyo kijana!?
Au unaropokwa kama umekalia bunzi la muhindi!?
Israel hadi sasa inaonekana kupoteza askari kila uchwao huko Lebanon.
Juzi wamejifanya kudai UNIFIL inasaidia Hizbollah kumbe vifaru vyao wakavificha katikati ya vifaru vya UNIFIL kwa kuzidiwa kipigo.
Nenda kasome vita ya 2006 halafu ndio utatambua kwanini Hizbollah ni tishio.
 
Nani alikudanganya hivyo?? Unaona ilivyo Gaza sasa hivi? Wananchi wa Israel mpaka wasikie king’ora ndiyo waende kwenye hizo Basement ambako kuna kila kitu kuanzia Umeme,Internet,Hospital,kitanda,Shuka,Choo mpaka na chakula kimo!! Harafu wewe Mmatumbi mwenzangu unaita Shimoni. Wapalestina wana Hali ngumu sana mpaka wanajuta kwa nini Magaidi wa Hamas walivamia Oct 07,2023.
We kangalubeta na omani hivi una habari kuwa zaidi ya raia laki tano wa kiyahudi wamekimbia Israel moja kwa moja kwenda nje ya nchi!?
Na hadi sasa haijulikani kama watarudi ama laa.
Hivi una habari kuwa Kaskazini mwa Israel hususan Galilaya raia takriban laki tatu wamekimbia makazi kwa mashambulizi ya Hizbollah na haijulikani kama watarejea!?
Kama unatambua haya utaelewa kwanini raia wa Israel huandamana kumtaka Netanyahu atoke madarakani na vita iishe.
 
Pray for Israel
Yupo kwenye hali mbaya mkuu anapigwa pande zote
Utasikia vikao muda sio mrefu kumnusuru last born
Unajifariji kirahisi hivyo!! Hezboullah wanapigika vilivyo huko Lebanon na shehena ya silaha zap zimetekwa kiulaini sana.
 
Attachments

  • 2254297912151614243.mp4
    2.9 MB
Unajifariji kirahisi hivyo!! Hezboullah wanapigika vilivyo huko Lebanon na shehena ya silaha zap zimetekwa kiulaini sana.
Unatuona sisi watoto toka lini Hizbollah akatumia silaha aina hizo!?
Au unadhani hatutambui kuwa Israel ni mtu wa propaganda kuzima hasira za raia wake!?
 
Uache ujinga Mimi si mbumbumbu kama wewe Israel haijawahi kushindwa popote na wafuga Midevu na Majini. Vita vyote Israel haijawahi kushindwa. Kuhusu kuficha vifaru vyake kwa askari wa UNIFIL wadanganye wajinga wenzako. Vifaru vya UNIFIL ni vyeupe harafu ni aina tofauti na vya Israel sasa wanawezaje kuvificha kwao? Istoshe Hezboullah wanashirikiana na wanajeshi wa UNIFIL na Israel ni Paka na Panya. Unaniambia habari za 2006 na unaisifia Hezboullah ambayo Chain of Command yake yote waliuwawa kwa siku saba tu na majeshi ya Israel akiwemo kiongozi wake Sayyed Hassan Nasrallah mpaka sasa viongozi wa kijeshi wa Hezboullah hawana Miguu,Mikono na wengine hawana Makonde kabisa baada ya Operation Beeper kuwapitia. Wewe wadanganye huko huko kijiweni kwako ambao hawajui kitu.Angalia video hiyo hanadaki la Hezboullah liko karibu sana na Observation Post ya UNIFIL.
 
Attachments

  • 6625069402894702870.mp4
    19.6 MB
Unatuona sisi watoto toka lini Hizbollah akatumia silaha aina hizo!?
Au unadhani hatutambui kuwa Israel ni mtu wa propaganda kuzima hasira za raia wake!?
Ndivyo ulivyoaminishwa na hao waarabu? Kwa ujinga wako unataka kutuaminisha kuwa Hezboullah wana kiwanda chao na wanatengeneza silaha zao? Hezboullah anapata silaha zake kutoka kwa Bwana wake Iran na pia wana silaha za kutoka Russia na China na hizo zimekutwa kwenye kambi zao harafu wewe Mmatumbi unasema eti ni Propaganda. Nilishawaambia Toka awali Hezboullah ni sawa tu na MANDONGA hana lolote Majeshi ya Israel yanajipigia tu yanapotaka. Ulivyo mjinga hata haya magari utasema siyo ya Hezboullah. Acha inyeshe tuone inapovuja!!!!!
 
Attachments

  • -6541509110285127055.mp4
    484.5 KB
Uache ujinga Mimi si mbumbumbu kama wewe Israel haijawahi kushindwa popote na wafuga Midevu na Majini. Vita vyote Israel haijawahi kushindwa. Kuhusu kuficha vifaru vyake kwa askari wa UNIFIL wadanganye wajinga wenzako. Vifaru vya UNIFIL ni vyeupe harafu ni aina tofauti na vya Israel sasa wanawezaje kuvificha kwao? Istoshe Hezboullah wanashirikiana na wanajeshi wa UNIFIL na Israel ni Paka na Panya. Unaniambia habari za 2006 na unaisifia Hezboullah ambayo Chain of Command yake yote waliuwawa kwa siku saba tu na majeshi ya Israel akiwemo kiongozi wake Sayyed Hassan Nasrallah mpaka sasa viongozi wa kijeshi wa Hezboullah hawana Miguu,Mikono na wengine hawana Makonde kabisa baada ya Operation Beeper kuwapitia. Wewe wadanganye huko huko kijiweni kwako ambao hawajui kitu.Angalia video hiyo hanadaki la Hezboullah liko karibu sana na Observation Post ya UNIFIL.
Kila mtu na source ya taarifa zake taarifa ulizonazo na wengine ni tofauti lakini ikichukua miaka 5 hii vita Israel anapoteza hilo halina ubishi hizbollah wale ni kikundi Israeli ni nchi Kuna shughuli za kiuchumi na mambo ya kibalozi sioni Israel ikinawili hata miji yake itakua Magofu tuu kama ilivyo kaskazini saivi
 
Back
Top Bottom