Israeli yatangaza rasmi kuingiza majeshi nchini Lebanon upande ya kusini. Nini kitajiri baada ya hatua hii ngumu ya Israeli?

Nakia watu kama wewe ambao hawana hoja wengi wenu Mmejaza matusi tu walahakuna Facts zozote hivyo Mimi mara zote nawajibu kama ilivyo au inavyotakiwa. Ndiyo maana Mimi sitakuita mbwa maana si Kona lako!! Naandika mambo mengi sana Kuhusu Israel kwa sababu Napajua nimesomea huko kwa hiyo hakuna ubaya nikielezea uzoefu wangu kwao na mambo mengine ya kijeshi. Umeuliza maswali ya kijinga kwanza umeuliza kwa nini wanakimbia nchi? Hii peke yake inaonyesha ni njinsi gani ulivyo mbumbumbu. Kwenye vita au machafuko yoyote duniani watu hukimbia nchi kwa hiyo ni kitu cha kawaida sana tumeona kwenye migogoro mingi watu hukimbia nchi zao kama vile Ukraine,Russia,Somalia,Congo,Burundi na hata huko Lebanon Wenye Dual-citizenship wanaondoka kwa maelfu cha ajabu wewe zwazwa unauliza kwa nini wayahudi wanakimbia nchi huo ni ujinga unakusumbua. Eti unadai wamechoka kusikia air sirens huo ni ujinga wako tu wewe hivyo ving’ora vimeokoa Maisha ya watu wengi sana maana vinawapa muda mzuri wa kwenda kwenye basement ndiyo maana ni nadra sana mtu kufa kwa makombola huko israel yanayotoka nje maana wanayo teknolojia ya kugundua kombola linalokuja hivyo wananzengo hutaarifiwa ili wachukue tahadhali lakini wewe kwa uelewa wako mdogo unaona wamechoka!!. Kuhusu Benjamini Netanyahu watu wa huko wanampenda sana pamoja na kwamba serikali yake ilizembea had I kusababisha Oct 07,2023 lakini wengi sana wanataka aendelee tu kuongoza mpaka amalize vita hivyi alivyovisababisha. Hayo maandamano ni ya raia ambao ndugu zaowalitekwa na magaidi wa Hamas wanashinikiza watu wao waachiwe hata kama ungetaka hivyo ili ndugu zako waachiwe angekuwa BIBI hatakiwi wangekuwa wamemtoa siku nyingi sana maana wanayo sheria ya Impeachment.. Kuhusu watu kuondolewa huko Galillaya 300+ hiyo ni kawaida waliondolewa kweli maana walikuwa kwenye Range ya makombola yaliyokuwa yanarushwa na magaidi wa Hezboullah kama nchi ilibidi iwaondoe hii inafanyika kote hata Russia inayojinasibu ni Super Power iliwaondoa raia wake huko Belgorod na huko Kursk baada ya Ukraine kuliteka Jimbo hilo. Pia huko Lebanon tumeona hilo leo hii wewe ulivyo zwazwa unaona ajabu watu kuondolewa 300+ kutoka Galilaya na wakati huo huo huoni ajabu kwa watu zaidi ya Million moja kuwa displaced huko Lebanon huo ni ujinga uliopitiliza . Umesema pia kuwa Magaidi wa Hezboullah wameua askari wa Israel 300 kwa siku moja hii inaonyesha ni jinsi ulivyo mjinga na Mpumbavu hujui hata formation za kivita zinaendaje na zinafanywa vipi ungejua hili usingeweza kutoa UHARO wako hapa. Nakupa home work Toka Oct 07,2023 umeshawa kusikia askari wa israel katekwa nyara? Kama Hapana jiulize kwa nini. Kwa kifupi tu formation wanayotumia Jeshi la Israel si rahisi kuua askari zaidi 12 ambayo ndiyo Section moja kuua unasema lakini huwezi kuua 12 maana wana formation zinazosomana wewe raia huwezi kunielewa na ndiyo maana unabwabwajo ovyo-ovyo kama mjinga. Umesema pia kuwa Hamas wamezalisha vilema 70,000 katika vita ya Gaza hiyo kitu haiwezekani kabisa. Kwanza unajua kuwa Israel ina jeshi dogo sana kuliko inchi zote za mashariki ya kati? Kama unalijua hilo hao 70,000 wametoka wapi? Unataka takwimu Aljazeera na PressTv Wazee wa Propaganda unatarajia nini? Utaonekana wewe Juha namba a moja tu. Kwa taarifa yako tu ukitaka kuja kubishana na Mimi Kuhusu Israel au Ukraine lazima ujipange sana!!
Hii kenge nayo imetokea wapi?? Imekuja kwa speed na magazeti yake kama shigongo,, yani mpaka leo bado ana Ile mentality Israel ndio kila kitu kwenye ulimwengu pamoja kutembezewa kichapo na hizbollah/hamas, hapa sizungumzii kuua watoto wachanga, kinamama, kubomoa majengo nk. Kila anavyoelekezwa bado linakaza shingo tu, hata kama ndo mchungaji wako wa kinyakyusa kakukaririsha kuhusu israel, jaribu basi hata kuitumia akili yako na wewe.. jinga kabisa
 
Ona ulivyo BUMUNDA.
Toka lini Russia na China waka supply silaha Hizbollah.
Makalio ya mbwa wewe Hizbollah anapata silaha kwa namna mbili,kwanza anapata toka Iran na pili anaunda yeye mwenyewe.
Hizbollah anao uwezo wa kuunda silaha.
Na hatumii silaha aina hizo silaha anazotumia ni multi launch rocket system za masafa ya kati na marefu.
Sio unguided rockets kama hizo mpuuzi wewe.
Nenda kasome 2006 utajua kwanini Israel ilipigwa Bint Jubeir.
Una habari kama juzi Hizbollah ililipua Benyamini kambi ya Israel!?
Kama wao ni kama mandoga waliwezaje kulipua hiyo kambi!?
Kwa kuwa na wewe umeanza na matusi Acha nikuache na matusi yako maan kwa akili yako kiduchu unafikiri utaniziba mdomo nisiseme ukweli.Wewe kama umelishwa Matango Pori shauri yako utabaki na Ujinga wako wa kuamini Hezboullah wnatengeneza silaha wakati ni uongo hata mjukuu wangu anayeenda chekechea atakukatalia.
 
Hii kenge nayo imetokea wapi?? Imekuja kwa speed na magazeti yake kama shigongo,, yani mpaka leo bado ana Ile mentality Israel ndio kila kitu kwenye ulimwengu pamoja kutembezewa kichapo na hizbollah/hamas, hapa sizungumzii kuua watoto wachanga, kinamama, kubomoa majengo nk. Kila anavyoelekezwa bado linakaza shingo tu, hata kama ndo mchungaji wako wa kinyakyusa kakukaririsha kuhusu israel, jaribu basi hata kuitumia akili yako na wewe.. jinga kabisa
Napenda tu kuwatoa tongo tongo unauliza nimetokea wapi? Hivi wewe umenikuta humu umeingia humu nakuanza kuelezea watu uongo kuhusiana na Magaidi wa Hamas na Hezboullah na kwa sababu watu wengi hawajui mkaanza kuwadanganya kuwalisha Matango Pori mliyolishwa na waarabu. Unasema naleta magazeti Mimi nilikuwa najibu hoja za mjinga wenzako aliyekuwa akibwabwaja ovyo harafu wewe unaita Magazeti. Nao a umemezeshwa mambo mengi sana Kuhusu Israel. Niambie ni wapi Israel ilipigana vita na Waarabu israel ikashindwa. Tujuavyo sisi Katika vita vyote Israel haijawahi kushindwa na mwarabu na ushahidi upo siyo wewe unabwabwaja tu huna Facts huna logic unapayuka ovyo tu tumia akili yako vizuri sasa hivi hapa unaandika UHARO wako kuwa Hamas na Hezboullah wanatembeza kichapo huko And Gaza na huko Lebanon nashindwa kuua kama akili yako ina akili au Ina matope tu?? Huoni Gaza yalivyo Magofu huko na huoni huko Lebanon Chain of Command yote ya Hezboullah imepukutika na wengine wamekimbilia Syria!! Unamuona Sayyed Hassan Nasrallah?aliyechukua nafasi yake unamuona Na aliyechukua nafasi yake wa tatu unamuona? Operation Beeper uliona ulivyowaua viongozi waandamizi wa Hezboullah? Je wajua Radio-Call na Pager zilivyofanya kazi kuwamaliza magaidi hao wa Hezboullah? Yawezekana huelewi chochote kwa niliyoyasema hapo maana akili yako nimeona ni ya kushikishwa. Umeongelea eti kuua watoto mtu mzima na akili zako unauliza swali la kijinga hivyo ulishawahi kujiuliza kwa nini wana kufa watoto baba zao kwa nini hawafi na kama wana kufa kwa nini hawasemi kuwa wababa wanakufa? Kwa kuwa akili yako ni kiduchu huwezi kujiuliza. Je unajua maana ya Human-Shield? Najua hujui maana wewe unaonekana wazi wewe ni Zuzu ukiambiwa neno unazuzuka. Kwa taarifa yako Magaidi wote Dania I wanawatumia watoto na wana wake kama Ngao wasishambuliwe na ukiwashambulia wanatumia hao watoto kama kinga na ndiyo maana sasa hivi kelele nyingi mazwazwa wote wanalia Watoto!! Watoto!!. Ulivyo mjinga na Mpumbavu akilini mwako unaamini hivyo lakini wenzako wanawatumia watoto kama kinga na wanatafuta huruma kutoka jumping za kimataifa wao ewe huruma vita isimamishwe. Usurious Mwamba Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kasema wazi kuwa yeye haujui Msamiati unaosema CEASEFIRE yeye anachojua ni Kipondo tu mpaka Mateka wake waachiwe huru. Kama una akili utakuwa umenielewa lakini kama ni Zuzu kaa na uzuzu wako mjinga wewe!!
 
Nakia watu kama wewe ambao hawana hoja wengi wenu Mmejaza matusi tu walahakuna Facts zozote hivyo Mimi mara zote nawajibu kama ilivyo au inavyotakiwa. Ndiyo maana Mimi sitakuita mbwa maana si Kona lako!! Naandika mambo mengi sana Kuhusu Israel kwa sababu Napajua nimesomea huko kwa hiyo hakuna ubaya nikielezea uzoefu wangu kwao na mambo mengine ya kijeshi. Umeuliza maswali ya kijinga kwanza umeuliza kwa nini wanakimbia nchi? Hii peke yake inaonyesha ni njinsi gani ulivyo mbumbumbu. Kwenye vita au machafuko yoyote duniani watu hukimbia nchi kwa hiyo ni kitu cha kawaida sana tumeona kwenye migogoro mingi watu hukimbia nchi zao kama vile Ukraine,Russia,Somalia,Congo,Burundi na hata huko Lebanon Wenye Dual-citizenship wanaondoka kwa maelfu cha ajabu wewe zwazwa unauliza kwa nini wayahudi wanakimbia nchi huo ni ujinga unakusumbua. Eti unadai wamechoka kusikia air sirens huo ni ujinga wako tu wewe hivyo ving’ora vimeokoa Maisha ya watu wengi sana maana vinawapa muda mzuri wa kwenda kwenye basement ndiyo maana ni nadra sana mtu kufa kwa makombola huko israel yanayotoka nje maana wanayo teknolojia ya kugundua kombola linalokuja hivyo wananzengo hutaarifiwa ili wachukue tahadhali lakini wewe kwa uelewa wako mdogo unaona wamechoka!!. Kuhusu Benjamini Netanyahu watu wa huko wanampenda sana pamoja na kwamba serikali yake ilizembea had I kusababisha Oct 07,2023 lakini wengi sana wanataka aendelee tu kuongoza mpaka amalize vita hivyi alivyovisababisha. Hayo maandamano ni ya raia ambao ndugu zaowalitekwa na magaidi wa Hamas wanashinikiza watu wao waachiwe hata kama ungetaka hivyo ili ndugu zako waachiwe angekuwa BIBI hatakiwi wangekuwa wamemtoa siku nyingi sana maana wanayo sheria ya Impeachment.. Kuhusu watu kuondolewa huko Galillaya 300+ hiyo ni kawaida waliondolewa kweli maana walikuwa kwenye Range ya makombola yaliyokuwa yanarushwa na magaidi wa Hezboullah kama nchi ilibidi iwaondoe hii inafanyika kote hata Russia inayojinasibu ni Super Power iliwaondoa raia wake huko Belgorod na huko Kursk baada ya Ukraine kuliteka Jimbo hilo. Pia huko Lebanon tumeona hilo leo hii wewe ulivyo zwazwa unaona ajabu watu kuondolewa 300+ kutoka Galilaya na wakati huo huo huoni ajabu kwa watu zaidi ya Million moja kuwa displaced huko Lebanon huo ni ujinga uliopitiliza . Umesema pia kuwa Magaidi wa Hezboullah wameua askari wa Israel 300 kwa siku moja hii inaonyesha ni jinsi ulivyo mjinga na Mpumbavu hujui hata formation za kivita zinaendaje na zinafanywa vipi ungejua hili usingeweza kutoa UHARO wako hapa. Nakupa home work Toka Oct 07,2023 umeshawa kusikia askari wa israel katekwa nyara? Kama Hapana jiulize kwa nini. Kwa kifupi tu formation wanayotumia Jeshi la Israel si rahisi kuua askari zaidi 12 ambayo ndiyo Section moja kuua unasema lakini huwezi kuua 12 maana wana formation zinazosomana wewe raia huwezi kunielewa na ndiyo maana unabwabwajo ovyo-ovyo kama mjinga. Umesema pia kuwa Hamas wamezalisha vilema 70,000 katika vita ya Gaza hiyo kitu haiwezekani kabisa. Kwanza unajua kuwa Israel ina jeshi dogo sana kuliko inchi zote za mashariki ya kati? Kama unalijua hilo hao 70,000 wametoka wapi? Unataka takwimu Aljazeera na PressTv Wazee wa Propaganda unatarajia nini? Utaonekana wewe Juha namba a moja tu. Kwa taarifa yako tu ukitaka kuja kubishana na Mimi Kuhusu Israel au Ukraine lazima ujipange sana!!
Unamdanganya nani wewe!?
Nakuita majina ya kukutusi kwasababu wewe HUNA AKILI.
Kiongozi anayependwa watu huandamana yeye atoke!?
Yani kiongozi apendwe halafu nchi nzima iandamane yeye atoke!?
Hivi unajua waliandamana 2019 Netanyahu atoke!?
Hivi unajua alipokaa Yair Lapid kama kiongozi wa mpito wayahudi walifurahi sana!?
Na huko Galilaya hawakuwa evacuated walikua displaced.
Walikimbia wenyewe,mbaka jeshi linakuja raia wote walitimka wenyewe.
Tofautisha displacement na evacuation.Hata ukisoma habari zao watakwambia internally displaced not evacuated.
Huyu Netanyahu kuna wenye maslahi naye ndio wanamlinda abaki hapo madarakani.
Ila ingekua kwa nchi nyingine na zile kesi alizokutana nazo 2019 za ubadhilifu asingerudi madarakani abadan.
Kawaida ya mtu asiyekua na hoja zenye mashiko hutoa maelezo mengi sana ili aonekane ana hoja zenye mantiki.
Kumbe hakuna anachojua.
Hivi unajua kama mwaka huu kawalazimisha Jews Orthodox kuingia jeshini ilhali ni kinyume na taratibu za kidini!?
Hivi unajua jamii nzima ya Jews Orthodox inamchukia Netanyahu sasa hivi!?
Hivi unajua kama serikali iligawanyika kuhusu Netanyahu na Yair Lapid ndiye aliyeionganisha na kuwasihi wasitengane kwasababu ya vita!??

Huna hoja unazungumza sana ku justify kuwa unajua.
 
Kwa kuwa na wewe umeanza na matusi Acha nikuache na matusi yako maan kwa akili yako kiduchu unafikiri utaniziba mdomo nisiseme ukweli.Wewe kama umelishwa Matango Pori shauri yako utabaki na Ujinga wako wa kuamini Hezboullah wnatengeneza silaha wakati ni uongo hata mjukuu wangu anayeenda chekechea atakukatalia.
Huna hoja wewe ukitaka hata ushahidi tunakuletea hapa Hizbollah anaunda silaha.
Usikimbilie kivuli cha kutukanwa.
Na hizo rocket za Katyusha Hizbollah wanaunda hapo hapo wanaunda hadi drones.
 
Unamdanganya nani wewe!?
Nakuita majina ya kukutusi kwasababu wewe HUNA AKILI.
Kiongozi anayependwa watu huandamana yeye atoke!?
Yani kiongozi apendwe halafu nchi nzima iandamane yeye atoke!?
Hivi unajua waliandamana 2019 Netanyahu atoke!?
Hivi unajua alipokaa Yair Lapid kama kiongozi wa mpito wayahudi walifurahi sana!?
Na huko Galilaya hawakuwa evacuated walikua displaced.
Walikimbia wenyewe,mbaka jeshi linakuja raia wote walitimka wenyewe.
Tofautisha displacement na evacuation.Hata ukisoma habari zao watakwambia internally displaced not evacuated.
Huyu Netanyahu kuna wenye maslahi naye ndio wanamlinda abaki hapo madarakani.
Ila ingekua kwa nchi nyingine na zile kesi alizokutana nazo 2019 za ubadhilifu asingerudi madarakani abadan.
Kawaida ya mtu asiyekua na hoja zenye mashiko hutoa maelezo mengi sana ili aonekane ana hoja zenye mantiki.
Kumbe hakuna anachojua.
Hivi unajua kama mwaka huu kawalazimisha Jews Orthodox kuingia jeshini ilhali ni kinyume na taratibu za kidini!?
Hivi unajua jamii nzima ya Jews Orthodox inamchukia Netanyahu sasa hivi!?
Hivi unajua kama serikali iligawanyika kuhusu Netanyahu na Yair Lapid ndiye aliyeionganisha na kuwasihi wasitengane kwasababu ya vita!??

Huna hoja unazungumza sana ku justify kuwa unajua.
Najua sana wengi wenye matusi kama wewe hoja hawa hakuna unatumia tu intimidation ili kumkatisha Tamaa unayepingana naye ili tu hoja yako Isiyo na mashiko ipite na umezoea kudanganywa watu na watu wakaamini uharo wenu. Sasa nimerudi nitawaumbua wote safari hii. Tuanzie la BIBI nimeshakuambia wewe huzijui siasa za Israel ndiyo maana unaamini kuwa BIBI hapendwi na angekuwa hapendwi angekuwa ameshatolewa. Benjamin Netanyahu anapendwa kwa kuwa anajua kuwanyoosha waarabu na ndiyo maana hawampendi kabisa najua na wewe ni Mwarabu-koko huwezi kumpenda. Umeongelea Jews orthodox ni Sheria ya nchi wao sasa waandikishwe Jeshini wewe Mmatumbi unawashwawashwa nini? Unataka uwapangie hata kwenye mambo yao ya ndani? Kwa nini huwapangii waarabu kuwa bila wawasaidie waarabu wenzao wanaokandwa kila siku na israel huko Gaza? Unaogopa nini? Acha kunifunga Mimi kwa siasa za mashariki ya kati Mimi nazijua sana kuliko wewe!!
 
Napenda tu kuwatoa tongo tongo unauliza nimetokea wapi? Hivi wewe umenikuta humu umeingia humu nakuanza kuelezea watu uongo kuhusiana na Magaidi wa Hamas na Hezboullah na kwa sababu watu wengi hawajui mkaanza kuwadanganya kuwalisha Matango Pori mliyolishwa na waarabu. Unasema naleta magazeti Mimi nilikuwa najibu hoja za mjinga wenzako aliyekuwa akibwabwaja ovyo harafu wewe unaita Magazeti. Nao a umemezeshwa mambo mengi sana Kuhusu Israel. Niambie ni wapi Israel ilipigana vita na Waarabu israel ikashindwa. Tujuavyo sisi Katika vita vyote Israel haijawahi kushindwa na mwarabu na ushahidi upo siyo wewe unabwabwaja tu huna Facts huna logic unapayuka ovyo tu tumia akili yako vizuri sasa hivi hapa unaandika UHARO wako kuwa Hamas na Hezboullah wanatembeza kichapo huko And Gaza na huko Lebanon nashindwa kuua kama akili yako ina akili au Ina matope tu?? Huoni Gaza yalivyo Magofu huko na huoni huko Lebanon Chain of Command yote ya Hezboullah imepukutika na wengine wamekimbilia Syria!! Unamuona Sayyed Hassan Nasrallah?aliyechukua nafasi yake unamuona Na aliyechukua nafasi yake wa tatu unamuona? Operation Beeper uliona ulivyowaua viongozi waandamizi wa Hezboullah? Je wajua Radio-Call na Pager zilivyofanya kazi kuwamaliza magaidi hao wa Hezboullah? Yawezekana huelewi chochote kwa niliyoyasema hapo maana akili yako nimeona ni ya kushikishwa. Umeongelea eti kuua watoto mtu mzima na akili zako unauliza swali la kijinga hivyo ulishawahi kujiuliza kwa nini wana kufa watoto baba zao kwa nini hawafi na kama wana kufa kwa nini hawasemi kuwa wababa wanakufa? Kwa kuwa akili yako ni kiduchu huwezi kujiuliza. Je unajua maana ya Human-Shield? Najua hujui maana wewe unaonekana wazi wewe ni Zuzu ukiambiwa neno unazuzuka. Kwa taarifa yako Magaidi wote Dania I wanawatumia watoto na wana wake kama Ngao wasishambuliwe na ukiwashambulia wanatumia hao watoto kama kinga na ndiyo maana sasa hivi kelele nyingi mazwazwa wote wanalia Watoto!! Watoto!!. Ulivyo mjinga na Mpumbavu akilini mwako unaamini hivyo lakini wenzako wanawatumia watoto kama kinga na wanatafuta huruma kutoka jumping za kimataifa wao ewe huruma vita isimamishwe. Usurious Mwamba Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kasema wazi kuwa yeye haujui Msamiati unaosema CEASEFIRE yeye anachojua ni Kipondo tu mpaka Mateka wake waachiwe huru. Kama una akili utakuwa umenielewa lakini kama ni Zuzu kaa na uzuzu wako mjinga wewe!!
Mkuu unatoa shule nzito sana ila tatizo vichwa vya wanafunzi wako ni viizito kukuelewa ni mtihani kwao
 
Huna hoja wewe ukitaka hata ushahidi tunakuletea hapa Hizbollah anaunda silaha.
Usikimbilie kivuli cha kutukanwa.
Na hizo rocket za Katyusha Hizbollah wanaunda hapo hapo wanaunda hadi drones.
Katyusha aunde Hezboullah!! Hivi unajua katyusha ipo toka 1938? Naona nasumbuka na mambumbumbu kabisa!!! Unakimbilia matusi unanijua.?
 
Najua sana wengi wenye matusi kama wewe hoja hawa hakuna unatumia tu intimidation ili kumkatisha Tamaa unayepingana naye ili tu hoja yako Isiyo na mashiko ipite na umezoea kudanganywa watu na watu wakaamini uharo wenu. Sasa nimerudi nitawaumbua wote safari hii. Tuanzie la BIBI nimeshakuambia wewe huzijui siasa za Israel ndiyo maana unaamini kuwa BIBI hapendwi na angekuwa hapendwi angekuwa ameshatolewa. Benjamin Netanyahu anapendwa kwa kuwa anajua kuwanyoosha waarabu na ndiyo maana hawampendi kabisa najua na wewe ni Mwarabu-koko huwezi kumpenda. Umeongelea Jews orthodox ni Sheria ya nchi wao sasa waandikishwe Jeshini wewe Mmatumbi unawashwawashwa nini? Unataka uwapangie hata kwenye mambo yao ya ndani? Kwa nini huwapangii waarabu kuwa bila wawasaidie waarabu wenzao wanaokandwa kila siku na israel huko Gaza? Unaogopa nini? Acha kunifunga Mimi kwa siasa za mashariki ya kati Mimi nazijua sana kuliko wewe!!
Bado unazidi kuropoka😂😂😂😂😂😂😂.
Ushaanza kuishiwa hoja.
Nilikuuliza haya maswali hukunijibu.
1)Je kiongozi anayependwa raia wake huandamana atoke madarakani!?
2)Je kiongozi anayependwa analeta mpasuko katika baraza la mawaziri!?

Netanyahu yupo madarakani kwasababu kuna nguvu ya serikali inayomtaka aendelee kuwepo.
Ila RAIA AMA WANANCHI HAWAMTAKI.
NA NCHI NI RAIA.
Kiongozi anayependwa hawezi akaleta mpasuko katika cabinet.
Serikali iligawanyika pasu kwa pasu mwaka huu mwanzoni.
Netanyahu amshukuru sana Yair Lapid kumuunganishia serikali.
Laa sivyo mpasuko ungeleta athari kipindi hiki cha vita.

Kuhusu Jews Orthodox ni sheria ya kidini na hiyo inatambulika serikalini kuwa hiyo jamii haitakiwi kujihusisha na vita ama jeshi.
Na hiyo ipo miaka yote tangu 1948.
Ila mwaka huu Netanyahu alilazimisha Jews Orthodox kupelekwa jeshini,unajua ina maana gani kwa myahudi kuvunja sheria yake ya dini!?
Embu panua akili hiyo wewe.
Amejizalishia tena chuki kwa jamii nyingine ya kiyahudi.
Huna hoja usikimbie tu hapa sawa!?
 
Katyusha aunde Hezboullah!! Hivi unajua katyusha ipo toka 1938? Naona nasumbuka na mambumbumbu kabisa!!! Unakimbilia matusi unanijua.?
Unaweza ukataja hapo ni tusi gani nimekutukana!?
Kukwambia huna hoja ndio tusi!?😂😂😂😂
Mimi mwenyewe unanijua wewe!?
Nilijua tu huna unalolijua kwa akili zako kwani silaha hazifanyiwi modification!?
Mbona hata Khordak ADS ya Iran imefanyiwa modification sembuse Katyusha!??
Hizo Katyusha Hizbollah wanaziunda zikiwa ni guided rockets sasa hivi.
Na ziko highly precision.
Nenda kasome specification zake za zamani na za sasa hivi.
 
Mkuu unatoa shule nzito sana ila tatizo vichwa vya wanafunzi wako ni viizito kukuelewa ni mtihani kwao
Shule gani anatujazia uongo hapa!?
Najua unamsifia kwasababu anaongelea upande unaoupenda.
Mtu anakwambia Russia na China pia wana supply silaha hizbollah,hilo na wewe unaamini ukweli!???
Mtu anakwambia Netanyahu anapendwa ilhali raia wake wamekua wakiandamana atoke madarakani,kiongozi anayependwa raia wake huandamana aondoke!?
Mtu hajui tofauti kati ya internal displacement na evacuation na wewe unamsifia!??
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Aiseeeee.
Eti raia kuandamana ni siasa tu za Israel.
Bro mnatumia akili gani!??
 
Kikuambie mara ngapi kuwa wewe huzijui siasa za Israel.? Benjamin Netanyahu waarabu wote hawampendi kabisa itakuwa ajabu Mwarabu koko aka seam vizuri!, Benjamini Netanyahu ni kiongozi mzuri waisrael amewaheshimisha sana magaidi na wafuasi wao wote wanalia wakisikia Jina Benjamin Netanyahu ( BIBI)
 
Unaweza ukataja hapo ni tusi gani nimekutukana!?
Kukwambia huna hoja ndio tusi!?😂😂😂😂
Mimi mwenyewe unanijua wewe!?
Nilijua tu huna unalolijua kwa akili zako kwani silaha hazifanyiwi modification!?
Mbona hata Khordak ADS ya Iran imefanyiwa modification sembuse Katyusha!??
Hizo Katyusha Hizbollah wanaziunda zikiwa ni guided rockets sasa hivi.
Na ziko highly precision.
Nenda kasome specification zake za zamani na za sasa hivi.
Ujinga kabisa unafanya modification wewe unasema umeunda silaha huo si ujinga tu bali ni Upumbavu.
 
Kwani ni nini maana ya kuunda!?
Hizo rocket zinatengenezwa from scratch to a whole thing zikiwa modified.
 
Shule gani anatujazia uongo hapa!?
Najua unamsifia kwasababu anaongelea upande unaoupenda.
Mtu anakwambia Russia na China pia wana supply silaha hizbollah,hilo na wewe unaamini ukweli!???
Mtu anakwambia Netanyahu anapendwa ilhali raia wake wamekua wakiandamana atoke madarakani,kiongozi anayependwa raia wake huandamana aondoke!?
Mtu hajui tofauti kati ya internal displacement na evacuation na wewe unamsifia!??
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Aiseeeee.
Eti raia kuandamana ni siasa tu za Israel.
Bro mnatumia akili gani!??
Nimeshagundua Madrasa ndiyo tatizo unakuwa mgumu wa kuelewa na huenda wewe unaongozwa na chuki za kidini. Kama wewe humpendi Benjamin Netanyahu nenda kamtoe lakini Mimi nakuambia hawezi kutoka mpaka amalize kuwacharaza mboko magaidi wa Hamas na Hezboullah umeng’ang’ana raia wa Israel hawampendi kama hawampendi au wanampenda na yuko madarakani na wana uwezo wa kumtoa akili yako kiduchu unaelewa nini? Ndiyo akili za waarabu wanavamia ukiwapiga wana za kudai anasaidiwa na marekani kwani wao nani aliwazuia wasisaidiwe? Mara wanapewa silaha na marekani utafikiri wao wanakatazwa kupata silaha kutoka sehemu yoyote. Ni ujinga kujibizana vitu visivyo vya msingi. Lakini Baki ukijua Hamas na Hezboullah ni magaidi Israel imeamua kiume kuwabonda na Bwana wao Iran naye muda si mrefu utasikia akilia kilio cha mbwa koko.
 
Kikuambie mara ngapi kuwa wewe huzijui siasa za Israel.? Benjamin Netanyahu waarabu wote hawampendi kabisa itakuwa ajabu Mwarabu koko aka seam vizuri!, Benjamini Netanyahu ni kiongozi mzuri waisrael amewaheshimisha sana magaidi na wafuasi wao wote wanalia wakisikia Jina Benjamin Netanyahu ( BIBI)
Acha kuropoka basi unatia aibu.
WALIOANDAMANA NI WAYAHUDI JE WAYAHUDI NI WAARABU!?
Acha ujinga basi kaka.
Wayahudi viunga vyote wanaandamana ili Netanyahu atoke madarakani,Tel Aviv yote raia waliandamana,je hao ni waarabu!
?
Yani wewe unaambiwa wanaoandamana ni raia wa Israel na wayahudi wa Orthodox wewe unakimbilia kusema waarabu.
Unaambiwa serikali ya Israel ilipata mpasuko wewe unashikilia waarabu.
Kaka una akili gani!???
Embu panua fikra basi.
 
Uzuri Mimi si Mwanasiasa tafuta mwanasiasa akujibu hilo Ila Mimi nakuhakikishia kuwa Benjamini Netanyahu hatoki madarakani kwa sababu moja tu amalizane na magaidi wa Hamas na Hezboullah baada ya hayo anaweza kutoka maana kazi aliyotumwa atakuwa ameimaliza! Lakini kwa kuwa waarabu hawampendi au wewe humpendi ndiyo atoke madarakani unajisumbua tu. Kifupi wewe huzijui siasa za Israel utapata taabu sana tu.
 
Nimeshagundua Madrasa ndiyo tatizo unakuwa mgumu wa kuelewa na huenda wewe unaongozwa na chuki za kidini. Kama wewe humpendi Benjamin Netanyahu nenda kamtoe lakini Mimi nakuambia hawezi kutoka mpaka amalize kuwacharaza mboko magaidi wa Hamas na Hezboullah umeng’ang’ana raia wa Israel hawampendi kama hawampendi au wanampenda na yuko madarakani na wana uwezo wa kumtoa akili yako kiduchu unaelewa nini? Ndiyo akili za waarabu wanavamia ukiwapiga wana za kudai anasaidiwa na marekani kwani wao nani aliwazuia wasisaidiwe? Mara wanapewa silaha na marekani utafikiri wao wanakatazwa kupata silaha kutoka sehemu yoyote. Ni ujinga kujibizana vitu visivyo vya msingi. Lakini Baki ukijua Hamas na Hezboullah ni magaidi Israel imeamua kiume kuwabonda na Bwana wao Iran naye muda si mrefu utasikia akilia kilio cha mbwa koko.
Ona sasa ulivyo na udumavu wa fikra!
Unakimbilia udini tena.
Kiongozi kubaki madarakani kitu kingine na kupendwa ni kitu kingine.
Unaijua Belarus unamjua Aleksandra Lukashenko!??
Nchi nzima iliandamana mwaka juzi kumpinga Lukashenko atoke madarakani ila wakubwa wenye maslahi ikiwemo Vladimir Putin walimlinda Lukashenko akabaki madarakani.
Unatakiwa ujue kuna wenye nguvu humtaka kiongozi abaki madarakani kwaajili ya manufaa yao kadhaa.
Ila ukipimia raia hawampendi.
Sijui kama unajua diplomasia mkuu.

Israel ni nchi dhaifu inategemea msaada wa USA.Oktoba 10 USA ilipeleka battle ship ikiwa na navy seal 2000 na mmunitions Israel.
Ilhali aliyevamia ni Hamas ambao wana limited firepower.
Je angevamia nchi yenye nguvu ingekuaje!?
Wiki iliyopita tu hapo kavuka mpaka wa Lebanon kapoteza askari 300.
Aisee end of discussion sijadili na vichaa.
 
Uzuri Mimi si Mwanasiasa tafuta mwanasiasa akujibu hilo Ila Mimi nakuhakikishia kuwa Benjamini Netanyahu hatoki madarakani kwa sababu moja tu amalizane na magaidi wa Hamas na Hezboullah baada ya hayo anaweza kutoka maana kazi aliyotumwa atakuwa ameimaliza! Lakini kwa kuwa waarabu hawampendi au wewe humpendi ndiyo atoke madarakani unajisumbua tu. Kifupi wewe huzijui siasa za Israel utapata taabu sana tu.
Mimi ni zaidi ya ujuavyo wewe.
Tuliza akili embu acha kujidhihirisha ujinga wako.
Hapa nazungumzia raia kutokumpenda Netanyahu.
Na nilishakuambia wapo wakubwa ambao wana maslahi naye ndio maana amebaki madarakani.
Hamas sio magaidi bali wanajulikana kama Freedom fighters,fuatilia vikao takriban vyote vya UNGA husikii Hamas wala Hizbollah wakiitwa magaidi.
Wanaowaita magaidi ni Israel,USA na washirika wake.
Hata vikao vya UNGA hufuatilii.
 
Back
Top Bottom