Unawaulizia Hamas?Hahahaha nikisema kobazi akili hawana huwa namaanisha ona hili linaleta video za zamani kipindi Cha magaidi wa hamas na hao magaidi hawapo duniani hahahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Trena kavaa kanzu nyeupe, siyo kama zile za wazee wa rangi rangi wa TEC.Huu ujinga unandika ukiwa wapi, hapo umevaa kanzu bila boxer na njaa inakupiga Basi unandika bila hata kufikiri
Hawapo duniani hao hamas we bibi washakua mchangaUnawaulizia Hamas?
Unajuwa leo wanasherehekea mwaka wa kuwabamiza mazayuni? Jionee:
View: https://www.youtube.com/live/n4R-YcQgaTA?si=jExRQa1K2Go_NfCx
Ukisoma huelewi, basi hata picha huoni?Hawapo duniani hao hamas we bibi washakua mchanga
Nani yuko kimya? Hivi wewe huoni Hezbullah anavyo mchakaza Israel kule Israel serekali inazuia media wasitoe aibu zao. Jana Hezbullah kaingia ndani ya Israel kawachakaza sawa sawa we kula mabogo. Leo mwezi mzima kuingiza boots zao Lebanon hawawezi wakingia kama meter 100 wanachukua video afu wanakimbia 😄 Hezbullah kila siku anashambulia.Wakati ule Israel imeelekeza nguvu zake Gaza huku Hizbollah akishambuliwa Kaskazini mwa Israel na Israel akamuweka Muliro mlisema Israel anamuogopa. Leo anashughilikwa mko kimya.
Ngoja wamalizane na Hizbollah, uone hao Waajemi watakavyopelekewa moto.
Hamna kitu hapo we bibi hamas hawapo kwenye uso wa dunia wameshaishaUkisoma huelewi, basi hata picha huoni?
View: https://www.youtube.com/live/jxrYiDV9K30?si=x-Xf1osMFxBOXHIO
Labda Wajikite kubomoa majumba, Israel wanawaogopa Hizbullah.Halafu pia, hakuna tija yeyote, Iran siyo tishio kwa Israel, kwa namna yeyote ile.
Ni bora wajikite tu kuwamaliza Hamas na Hezbolla, oparesheni wanayoitekeleza kwa ufanisi mkubwa.
Hamna kitu hapo wewe Israel ndio jeshi Bora na linatoa kisago Kwa magaidi Kila sikuNani yuko kimya? Hivi wewe huoni Hezbullah anavyo mchakaza Israel jule Israel serekali inazuia media wasitoe aibu zao. Jana Hezbullah kaingia ndani ya Israel kawachakaza sawa sawa we kula mabogo. Leo mwezi mzima kuingiza boots zao Lebanon hawawezi wakingia kama meter 100 wanachukua video afu wanakimbia 😄 Hezbullah kila siku anashambulia.
View: https://youtu.be/l-o8ehE8Eus?si=KrPT3yqltPrtQtLc
LEO HAMAS kawasukumizia Missiles nyingi Tela Aviv afu mnajidai mmemshinda Hamas. Tatizo Israel haruhusu media watoe aibu anazo pata
View: https://youtu.be/nI3xmrIQcsc?si=BO6k1fxNmnnTMMem
Hamas na hezbollar siyo tishio..hao ni proxies tu. Wanapigana kwa niaba ya iran na wanafadhiliwa na Iran. Hivyo ni vema kudili na mmiliki wa mbwa badala ya mbwa mwenyewe.. ukimmaliza mmiliki wa mbwa automatically umewamaliza mbwa wenyewe kwa kukosa chakula na mahitaji mbalimbali.Halafu pia, hakuna tija yeyote, Iran siyo tishio kwa Israel, kwa namna yeyote ile.
Ni bora wajikite tu kuwamaliza Hamas na Hezbolla, oparesheni wanayoitekeleza kwa ufanisi mkubwa.
Bahati nzuri Iran haongei sana akiongea mara moja amemaliza kinachofata ni vitendoAmericans wapo makini sana, hawafanyi vitu kwa mihemko na emotions hili nazungumza mara kadhaa kuwaambia watu, na moja ya vitu inawafanya wale jamaa kupata maendeleo ni kutumia akili zaidi kuliko hisia.
Israel viongozi wapo too emotional.
Iran viongozi wao pia hawapo emotional. Wanafanya maamuzi sahihi kwa muda sahihi.
Israel inajitutumua kwa juhudi zote kupambana na Iran lakini hawawezi huo ndio ukweli.
US kapima maji kaona kina ni kirefu.
Sio kŵa kipigo kile aiseeHalafu pia, hakuna tija yeyote, Iran siyo tishio kwa Israel, kwa namna yeyote ile.
Ni bora wajikite tu kuwamaliza Hamas na Hezbolla, oparesheni wanayoitekeleza kwa ufanisi mkubwa.
Pia ni lazima kwenye swala la uchumi ..itafanya uchumia wa dunia ucolapse kwa muda na missaada ya kwenda isreli yenyewe itspungua amna mtu atakayeitenge mabillion kupeleka kwa wayahudi ili hali kwwo maisha ni tia maji tia maji ..kwa hoyo tata athari zitamfikia yeye isreli maana gharma za kuendesha vita zitapanda mara dufuAmericans wapo makini sana, hawafanyi vitu kwa mihemko na emotions hili nazungumza mara kadhaa kuwaambia watu, na moja ya vitu inawafanya wale jamaa kupata maendeleo ni kutumia akili zaidi kuliko hisia.
Israel viongozi wapo too emotional.
Iran viongozi wao pia hawapo emotional. Wanafanya maamuzi sahihi kwa muda sahihi.
Israel inajitutumua kwa juhudi zote kupambana na Iran lakini hawawezi huo ndio ukweli.
US kapima maji kaona kina ni kirefu.
Israel ingepigwa, Iran ana proxies kama hao Hezbollah, Hamas, Houthi bado Syria ana wapiganaji na Iraq pia.Pia ni lazima kwenye swala la uchumi ..itafsnys uchumia wa dunia ucolapse kww muda na missaada ya kww isreli yenyewe itspungua amna mtu atakayeitenge mabillion kupeleka kwa wayahudi ili hali kwwo maisha ni tia maji tia maji ..kwa hoyo tata athari zitamfikia yeye isreli maana gharma za kuendesha vita zitapanda mara dufu
Na Jordan kibaraka huyu mtoto wa Hayati King Hussein alisema wakati ule kuwa Iran ikipiga makombora atayatungua yako wapiWaoga sana Israel. Anapigana na vikundi vya wanamgambo anajiita mbabe.
Haya kajitokeza mbabe wa kweli kamshambulia mara mbili nyumbani kwake bila majibu.
Iran ni taifa kubwa lenye silaha hatari zisizozuilika na mfumo wowote wa anga ndiyo maana karusha makombora lakini hayajazuiliwa na nchi kadhaa licha ya jitihada za kuyazuia.
naupenda sana huu uzi lakini hauna chanzo kizuri sanaaIsrael kaukacha bada ya kuambiwa na US asisubutu kugusa Iran, sababu
Iran amezielekeza 800 Hypersonic missiles kuelekea israel, na hizo missiles vichwa vyake vina high explosions. US wamewambia Israeli army that it could not withstand the explosions of these missiles, so it is better to stop the response.
Time gani bwana nyie si mlisema leo usiku Israel inashambulia Iran?Time will tell. Let’s wait and see
Iran imekuwa siyo tishio Tena 😂 . Tukuamini wewe au Netanyahu?Halafu pia, hakuna tija yeyote, Iran siyo tishio kwa Israel, kwa namna yeyote ile.
Ni bora wajikite tu kuwamaliza Hamas na Hezbolla, oparesheni wanayoitekeleza kwa ufanisi mkubwa.
Ahahahahaha!!!Nani yuko kimya? Hivi wewe huoni Hezbullah anavyo mchakaza Israel kule Israel serekali inazuia media wasitoe aibu zao. Jana Hezbullah kaingia ndani ya Israel kawachakaza sawa sawa we kula mabogo. Leo mwezi mzima kuingiza boots zao Lebanon hawawezi wakingia kama meter 100 wanachukua video afu wanakimbia 😄 Hezbullah kila siku anashambulia.
View: https://youtu.be/l-o8ehE8Eus?si=KrPT3yqltPrtQtLc
LEO HAMAS kawasukumizia Missiles nyingi Tela Aviv afu mnajidai mmemshinda Hamas. Tatizo Israel haruhusu media watoe aibu anazo pata
View: https://youtu.be/nI3xmrIQcsc?si=BO6k1fxNmnnTMMem