Issa Haji Gavi: Kadi ya CCM ina uwezo wa kutoa hela benki

Issa Haji Gavi: Kadi ya CCM ina uwezo wa kutoa hela benki

Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara huko Iringa , kwenye ziara ya Chongolo , kiongozi wa ccm asiyefahamika jina lake , ameudanganya Umna hadharani kwa kusema uongo kuhusiana na kadi mpya za ccm za kielektroniki .

Mbele ya viongozi wastaafu akiwemo William Lukuvi , ambaye alionekana kuchekelea , kiongozi huyo muongo amesema kadi hiyo ya ccm itatumika kila mahali ikiwemo Benki na kwenye sekta ya afya , bila shaka kadi hii yaweza kuwa ni kadi ya miujiza .

Toa Maoni yako
Akili zako na mbowe wa division zero ni sawa

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Kiwango cha upumbavu CCM kinatisha na kushangaza!

Uongo ni utamaduni wao. Unafiki ni tabia yao. Upumbavu ni wasifu wao.
 
Back
Top Bottom