kinje ketile
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 5,393
- 10,153
Sina Hakika, kwani Zilitolewa na zikapokewa mkuu?Kwa hiyo watarudisha fedha au
Jibu murua kabisa.Toa ujinga wako unaweza uka access kiwango cha mtu ndani ya dakika 23
Unajua maana ya ubaguzi wa rangi..
Unaangalia mashindano au umej8bu kumalizia mbs??Sasa mtu anamiwaza hamisa muda wote lini atakua na kiwango bora
Ulitaka akuwaze wewe?Sasa mtu anamiwaza hamisa muda wote lini atakua na kiwango bora
Wewe mbumbumbu kwa hio Sofyan Amrabat nae kafeli?Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..!
Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...
Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!
Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea.
Lipo la kujadili hapa...
Aliluwa kwa mkopo pesa sio nyingi sanaKwa hiyo watarudisha fedha au
Wewe mbumbumbu kwa hio Sofyan Amrabat nae kafeli?
Mchezaji unamjua hata kwa danadana tu sembuse dk 23Toa ujinga wako unaweza uka access kiwango cha mtu ndani ya dakika 23
Unajua maana ya ubaguzi wa rangi..
Kama unajua unajua tu,hata ukipewa dk 6 kuna kitu utakionyesha,tusipende kuoverateToa ujinga wako unaweza uka access kiwango cha mtu ndani ya dakika 23
Unajua maana ya ubaguzi wa rangi..
Simple tu mkuu usizunguke jamaa kafeliHuku kafanyiwa figisu
Ukiona habari halafu ndani "unaambiwa" ujue hamna kitu hapoKwamba huyu Bwana ndo star wetu..!
Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...
Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!
Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea.
Lipo la kujadili hapa...