Unaongelea wachezai ambao walikua washamaliza career zao wakati was kufeli huko.Wabongo na ubongo wenu...
Samatta alitokea bongo akawika africa nzima.
Kufeli ama kufaulu kwa mchezaji ni case kubwa sana can you imagine sanchez wa moto arsenal alifeli man u
Dimaria wa moto kufeli man u
Vipi mtaalam shevchenko.
Vipi maestro ricardo kaka!?
Kuna special case ya ibrahimovic barca, kuna fundi messi kwa PSG(Huyu ni namba tu ndio zilishuka)
Torres ama radamel falcao.
Vipi chama hapo yanga na yule wa msimbazi?
Kocha hamtaki ila Aziz k sio wa kufeli ,hii ni kweli kuna figisu hao jamaa.Figisu ipi? Tena hapo wydad iliyochoka na kafelii,
😂😂😂😂😂
Na msemaji wao kasema Darby na Simba atakuwepo na tuhesabie moja goli lake that means mpira wa Tz ni wa failures kung'aa kibongo bongo😂😂Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..!
Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...
Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!
Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea.
Lipo la kujadili hapa...
Amefeliiiiiii. Acha uongo wako hapa. LolKocha hamtaki ila Aziz k sio wa kufeli ,hii ni kweli kuna figisu hao jamaa.
Kwamba yule negro domo nyani anabaguliwa? 🤣🤣🤣Toa ujinga wako unaweza uka access kiwango cha mtu ndani ya dakika 23
Unajua maana ya ubaguzi wa rangi..
Darasa la ngapi!!?Unaongelea wachezai ambao walikua washamaliza career zao wakati was kufeli huko.
Aziz ki amefeliiiii, 😂😂😂😂😂
Hoja yako ni dhaifu sana..Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..!
Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...
Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!
Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea.
Lipo la kujadili hapa...
Mahari hairudishwagiKwa hiyo watarudisha fedha au
Mleta mada kaileta mada kishabiki sababu hata angekuwa na kiwango bora hakuna maajabu yoyote kwa mchezaji kufeli kufit kwenye kikosi muda mfupi baada ya usajili ndo maana wachezaji hupewa muda wa kipindi cha mpito kuadjust na mazingira, lugha n.k.Amefeli kwa misingi ipi? Dakika 10 za mechi tofauti tofauti ndio zimemfelisha? Nani aliyesema kafeli alitumia kigezo gani ku approve fail ya Aziz
Ilituchukua miaka 59 (1961-2020) kujenga vituo 8,783 vya kutolea huduma za afya.
Mama ametumia miaka minne (2021-Aprili 2025) kujenga vituo 4,063.
Kwa miaka 10, atajenga vituo sawa na tulivyojenga tangu uhuru.
#TikiKwaSamia
Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..!
Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...
Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!
Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea.
Lipo la kujadili hapa...
Unazi mbaya sana, na kuhusu kufaulu kwa Mayele mbona hukuandikia ukisifia taifa letu kisoka???
Una uhakika na ulichoandika au umeandika ndoto yako tu?Kwamba huyu Bwana ndo star wetu..!
Kwamba tukiwa tunajisifia eti Sisi ndo sisi huwaga tunamtaja na yeye ...
Kwamba alivyokuwa kwetu Panga pangua humuachi kikosi cha Kwanza...!
Sasa Unaambiwa Kafeli Wydad..! Ndio kafeli , hivyo yupo safarini kurejea.
Lipo la kujadili hapa...
Kwahiyo harudi yanga sio!Hajafeli mkuu.
Tafuta sorce makini.Mashindano aliyoanza nayo ni makubwa sana (kombe la Dunia la vilabu).
HAINA KUFELI AISEE.
Nasubiri kumuona Aziz Ki msimu ujao ndio niamini kuwa amefeli kama mnavyonadi hapa jukwaani.Kumkatalia mleta mada kwamba hajafeli ni kujiambia uongo unaotamani uwe ukweli, uongo unaotamani kuusikia sababu ya ushabiki, maana, Kama anarudi na hakutakiwa arudi tafsiri yake ni nini kama si kifeli? Swali kwa mleta mada ni anachoshangaa ni nini?