Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

Kama ukipata yenye injini ya 4JX1 chukua hii ni direct injection haina masuala ya kuchoma heater.
Tatizo wajapani nao wamekuwa wajanja hawaweki hiyo Engine Code: nadhani lengo mtu usistuke ukaacha kununua Hilo SHIPA Mamahe!

IMG_20210910_234109.jpg
 
Tatizo wajapani nao wamekuwa wajanja hawaweki hiyo Engine Code: nadhani lengo mtu usistuke ukaacha kununua

View attachment 1932598
Hapo ingawa hawajaweka engine code, Hiyo chasis number inayo anzia UBS73 ni zenye Injini ya 4JX1 hizi za 1998-2002 hii Iko poa haisumbui.

Ukikutana na chasis Ina anza na UBS69..... hizi ndio indirect injection za 1992/98 hizo ndio majanga. Ukiona model na chasis inaanza UBS69 ndio zina injini ya 4JG2
 
Gari za masharti namna hiyo za nn Sasa Chief? Wakati gari zimejaa kibao

BK166329_dec745.jpeg

BK168788_c735f7.jpeg
 
Ukitaka kulia machozi yasiyokwisha agiza hiyo Isuzu Bighorn.

Ni gari comfortable, fuel consumption nzuri,four-wheel gear ya uhakika unapita popote.

Tatizo kubwa ni injini na mfumo wa umeme,gari hii ilinifanya mimi mwenyewe niwe fundi,mzigo ukiwa mikoa ya barid hata dar,ikishapoa tuu kuiwasha mtiti yaani mpaka ujufunze kuchoma heater direct (nishaungua sanaaa mikono).

Spea zake ni ghaliii sana,turbo lake bovuuu na haina mwendo hyo ni mdogo mdogo mzee.

Niliinunua mwaka 2011 ikanitesa sanaaa,haiuziki nimeitelekeza mkoani mbeya mpaka leo hii halina mteja.

Narudia tena ni bovu bovu bovu sanaaaa,mimi ni mtunzaji sana wa magari lakini hapo nilikwama.

Ukija kwenye grand vitara,nayo ni nzuri ila tatizo lake kubwa ni kula oil ndio maana wengi wanakaanga injini zake deile,nilipata kuinunua mwaka 2015 ikanifia mwaka huo huo,niliweka oil ya BP kwenye service lakini ngoma ilienda arusha ile kurudi nishakaanga wakati nilipima oil nikaona ipo vizuri,hii nayo vipuri vyake ni ghari sana,nikafanya overhaul ya injin nikaiuza.

Nikaamua kuhamia Toyota ambako sikudumu sana nikahamia magari ya ulaya ndio nimepata pumziko la moyo
Hii bighorn tuzungumze,nife nayo.
 
Mkuu kama unaweza nitumie picha nione body condition tufanye biashara, inarudi barabarani hiyo.

Au nipe bure tuu kama huitaki kabisaa
 
Back
Top Bottom