Isuzu Bighorn vs Suzuki Grand Escudo?

Bwana mkubwa njoo pm unipe iyo gari endapo tu ina engine code UBS73 4jx1 ila kama ni UBS69 4JG2 hapana. [emoji107]
 
Hii bighorn tuzungumze,nife nayo.
Usije tamani kunirudishia mzee haaa haa na hela nikawa nishakula,ile ngoma kuna siku nashuka chimala nikitokea matamba ile milima ya kule hata kitonga na sekenke inasubiri mbali sanaaa,taa zikazima ghafla na brek zikapotea nikazima gari na kuiwasha ikiwa bado imechanganya ikakubali kuwaka nikatembea nayo bila taa mpaka brek zilipokubali,siku hiyo ndio nilijua kuna Mungu aisee
 
Tupe experience ya SUZUKI
Siku 1 nitafte nikupeleke pale ilala mtaa wa shauri moyo,kuna mwamba 1 amezikusanya pale za kutosha ukifika pale half engine J20 inauzwa 9 milion na jamaa hapunguzi bei,halafu yeye ndio anaanza kukubembeleza wewe umuuzie chuma yako kama wenzio walivozitelekeza hapo kabla haijaoza.

Nilitamani kulia yaani ndio ilikua gari yangu ya kwanza ghari zaidi nililipa milion 37 japani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…