mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,568
- 6,424
hahahahaTatizo la Tanzania ukiacha chuo au kazi unafanywa adui wa jamii
Watu watatumia mbinu zote hata ikibidi kukuibia au kukuroga ili uwe kichekesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaTatizo la Tanzania ukiacha chuo au kazi unafanywa adui wa jamii
Watu watatumia mbinu zote hata ikibidi kukuibia au kukuroga ili uwe kichekesho
Mkuu wapi huko kuzunguka kutangaza mafanikio muwapigie kura.Siyo familia tu, hata nchi tofauti.
Tanzania haina uchumi wa ku produce a Bill Gates in the true sense of a giant billionaire.
GDP ya Tanzania bado haijafikia net worth ya Bill Gates. Na hapo ni baada ya Bill Gates kugawa hela zake kibao katika charities.
Where are the angel venture capitalist?
Bill Gates Mama yake alifanya kazi IBM. Where is our IBM?
Sawa, labda tuchukue maana finyu ya "Bill Gates" kama tajiri aliyefanikiwa kwenye biashara ya ICT.
Tumekuwa na kina Ali Mufuruki alijaribu hii biashara. Mpaka anafariki alikuwa analalamika mifumo ya kodi ya serikali ilivyombana. Na huyu kafanya biashara ambayo vitu kama computer havilipiwi kodi.
Where is our Silicon Valley? Bill Gates hakujiinua yeye mwenyewe tu, kulikuwa na industry. Industry ambayo ilikuwa subsidized heavily na serikali, tena na jeshi, kwenye research and develooment.
Bajeti ya serikali kwenye research and development kwenye haya mambo ni kiasi gani kwa mwaka?
Hivi Tanzania tuna hata jarida formal (achana na forums) la kutoka kila mwezi la kupashana habari za ICT? Hata la online tu?
Ni nouma!😀Mkuu wapi huko kuzunguka kutangaza mafanikio muwapigie kura.
Hakuna serikali ya Afrika iliowezesha scientist Ku achieve their dream.Imagine Elon musk aliamua a ahamie marekani atimize ndoto zake.Hivi elon musk hapa Afrika angeweza kuunda roketi kwelu?Tunaishi ktk hadithi za abunuwasi za kuhadithiana maendeleo yasio kuwepo. Wanasayansi wa Afrika wataendeleo kufanya troubleshooting ya system za wenzao wa Asia na USA.
Mkuu afanyeje ili aondokane na umaskini.Tatizo kubwa ni umasikini unaomsukuma asome teknolojia walauinauzika duniani.Kwa nini tusiwahamasishe watu wenye passion badala ya kuwakatisha tamaa.Miaka ya zamani nikiwa nasoma shule ya kishua Asante mzee wangu kwa kupambana akitokea DarTech nilikutana na watoto wengi wa kishua jamaa walikuwa na maisha yalioandaliwa yaani mtu hata akipata zero utasikia ameenda India au yuko UK !
Nakumbuka Mungu akajalia nikatoa vizuri na kupata mchongo wa kwenda Cambridge hapo nimemaliza kidato cha nne nilikuwa na furaha sana hasa baada ya kupata marafiki kama wanne hivi ambao ningeenda nao .
Narudi nyumbani kumweleza Mzee habari njema naona ananikata maini ananiambia wewe jiandae uende high school achana na hizo njia za Privilege children sikuwa nimewelewa mzee mpaka nilipomaliza degree kwani niliona kama amenichawia njia yangu ya kutoboa.
All in all wale washkaji wote wanafanya kazi kwenye vitega uchumi vya familia zao kama managers na supervisors na baadhi ya walio drop out na kufeli bado hisani ya maisha ya familia zao zinawasukuma na kuwaweka mjini.
Matajiri wengi huwa hawatokei kwa bahati mbaya na asilimia kubwa huwa wameandaliwa maisha sasa ndugu yangu wewe mtoto wa Mbonde ukipata fursa ya kusoma piga kitabu achana na habari za kina Jack Ma na Warren kumbuka uko katika mission ya kukomboa jamii yako wakati utafika if you’re lucky enough utaona kitukuu chako kitadrop our chuo na kufanya mitikasi kutoka katika njia uliotengeneza.
HongeraMiaka ya zamani nikiwa nasoma shule ya kishua Asante mzee wangu kwa kupambana akitokea DarTech nilikutana na watoto wengi wa kishua jamaa walikuwa na maisha yalioandaliwa yaani mtu hata akipata zero utasikia ameenda India au yuko UK !
Nakumbuka Mungu akajalia nikatoa vizuri na kupata mchongo wa kwenda Cambridge hapo nimemaliza kidato cha nne nilikuwa na furaha sana hasa baada ya kupata marafiki kama wanne hivi ambao ningeenda nao .
Narudi nyumbani kumweleza Mzee habari njema naona ananikata maini ananiambia wewe jiandae uende high school achana na hizo njia za Privilege children sikuwa nimewelewa mzee mpaka nilipomaliza degree kwani niliona kama amenichawia njia yangu ya kutoboa.
All in all wale washkaji wote wanafanya kazi kwenye vitega uchumi vya familia zao kama managers na supervisors na baadhi ya walio drop out na kufeli bado hisani ya maisha ya familia zao zinawasukuma na kuwaweka mjini.
Matajiri wengi huwa hawatokei kwa bahati mbaya na asilimia kubwa huwa wameandaliwa maisha sasa ndugu yangu wewe mtoto wa Mbonde ukipata fursa ya kusoma piga kitabu achana na habari za kina Jack Ma na Warren kumbuka uko katika mission ya kukomboa jamii yako wakati utafika if you’re lucky enough utaona kitukuu chako kitadrop our chuo na kufanya mitikasi kutoka katika njia uliotengeneza.
Mkuu afanyeje ili aondokane na umaskini.Tatizo kubwa ni umasikini unaomsukuma asome teknolojia walauinauzika duniani.Kwa nini tusiwahamasishe watu wenye passion badala ya kuwakatisha tamaa.
Kwa umri wake kuanza biashara from down ni ngumu bora asome hayo mambo ambapo in 3 year anaweza akawa ameacumulate knowledge ya kutosha na kuuza ujuzi.
Yeye amepima akili ameona teknolojia itamtoa kuliko kuuza na kununua au kulima.Kwa muongo tuliopo teknolojia ndio inaweza kuleta urajiri wa haraka kuliko hata wachimba madini.Sasa huoni unamkatisha ramaa kuifikia fursa muhimu.Umasikini ni matokeo ya muda mrefu kama ilivyo kwa utajiri kabla ya kuanza harakati zako za kuondokana na umasikini lazima uangalie nyuma ulikitoka na ndio uandae mpango wako kama nilivyosema unaweza wewe usifikie hatua ya kumiliki gari au kiwanja lakini ukawa umejenga njia ya wanao au wajukuu zako kufanya hivyo unachopaswa ni kufanya kwa sehemu yako ili kuitoa jamii yako na wewe mwenyewe kwenye kongwa la umasikini.
Either way komaa na shule mdogo wangu Elimu ni chanzo cha maarifa itakusaidia sana hata kwenye harakati zako maana ubongo wako utakuwa tofauti na awali .
As long wale jamaa wavaa kijana watakuwepo .Siyo familia tu, hata nchi tofauti.
Tanzania haina uchumi wa ku produce a Bill Gates in the true sense of a giant billionaire.
GDP ya Tanzania bado haijafikia net worth ya Bill Gates. Na hapo ni baada ya Bill Gates kugawa hela zake kibao katika charities.
Where are the angel venture capitalist?
Bill Gates Mama yake alifanya kazi IBM. Where is our IBM?
Sawa, labda tuchukue maana finyu ya "Bill Gates" kama tajiri aliyefanikiwa kwenye biashara ya ICT.
Tumekuwa na kina Ali Mufuruki alijaribu hii biashara. Mpaka anafariki alikuwa analalamika mifumo ya kodi ya serikali ilivyombana. Na huyu kafanya biashara ambayo vitu kama computer havilipiwi kodi.
Where is our Silicon Valley? Bill Gates hakujiinua yeye mwenyewe tu, kulikuwa na industry. Industry ambayo ilikuwa subsidized heavily na serikali, tena na jeshi, kwenye research and develooment.
Bajeti ya serikali kwenye research and development kwenye haya mambo ni kiasi gani kwa mwaka?
Hivi Tanzania tuna hata jarida formal (achana na forums) la kutoka kila mwezi la kupashana habari za ICT? Hata la online tu?
Yeye amepima akili ameona teknolojia itamtoa kuliko kuuza na kununua au kulima.Kwa muongo tuliopo teknolojia ndio inaweza kuleta urajiri wa haraka kuliko hata wachimba madini.Sasa huoni unamkatisha ramaa kuifikia fursa muhimu.
Baada ya miaka 500! may be sio kwa bongo hii,ambayo wanasiasa wanaongea lugha ya kikabila ili kuvutia wapiga kura.True: Serikali inatakiwa kuweka mazingira wezeshi kwanza ndo Tupate kila Bill Gate,Jack Ma,Elon Musk etc.
bila Bidii na mchango wa Serikali aitowezekana
Hivi Tanzania huwa mnamjua Bill gates tu kama tajiri wa dunia..... Mnasahau kuwa kuna Jeff Bezos?! Hebu muwe mnajifunza kabla ya kumuongelea mtu......Fact.
GDP ya Tanzania nzima bado haijafikia net worth ya Bill Gates ya sasa.
Na most likely haitaifikia katika miaka mitano ijayo.
GDP ya Tanzania mwaka 2018 ilikuwa dola za Kimarekani 58 billion.
Bill Gates mwaka 2018 alifikisha net worth ya 90 billion US dollars. Zaidi ya mara moja na nusu ya uchumi wa nchi nzima ya Tanzania kwa GDP.
Na hapo ni baada ya Bill Gates kugawa mabilioni ya dola zake kwenye charities.
Bill Gates anafananishwa na nchi huku Africa, si na mtu.
Wee Jeff alikuwa muoga hakudrop school kama papa wemba(bill gates).Hivi Tanzania huwa mnamjua Bill gates tu kama tajiri wa dunia..... Mnasahau kuwa kuna Jeff Bezos?! Hebu muwe mnajifunza kabla ya kumuongelea mtu...... View attachment 1571516
Bill Gates aligundua Windows wakati ambao OS hazikuwa kwenye ushindani mkubwa.Bill Gates alizaliwa kwenye familia ya mamilionaire msijifananishe.
Hahahaha.Eric Mwenda? He went to SRSS back in the day.
I almost got into it with him on the first day of school as a ‘freshman’ for picking on me [emoji1].
Him and his crew...Idi Janguo, Jesse Marealle, Mpoki MwambenjaOmari Mandari, Michael Ngula, etc.
I was ready to swing but Gwamaka held my hand [emoji1673]
Kwani kumtaja Bill Gates maana yake Bezos hatumjui?Hivi Tanzania huwa mnamjua Bill gates tu kama tajiri wa dunia..... Mnasahau kuwa kuna Jeff Bezos?! Hebu muwe mnajifunza kabla ya kumuongelea mtu...... View attachment 1571516
Is Amazon not a tech company? I thought e-commerce falls under the tech category....no?Kwani kumtaja Bill Gates maana yake Bezos hatumjui?
Kwenye mzungumzo ya Tech Enterpreneurs, Bill Gates yuko relevant kuliko Jeff Bezos.
Fact
1. Hapa tunaongelea Tech Enterpreneurs. Jeff Bezos historia yake kaanza kuuza vitabu. Bill Gates ni mtu wa Tech.Kaanza kwenye software.
Fact
2. Bill Gates amekaa kwenye charts za kuwa tajiri namba mmoja wa dunia zaidi ya Bezos.
Fact
3. Bill Gates ametoa hela kwenye charities kuliko Jeff Bezos na pengine asingetoa angekuwa wa kwanza bado.
Watu wanaweza kuona kuifananisha Tanzania na Jeff Bezos kwenye mazungumzo ya Tech Enterpreneurs wanavyoanza si sahihi, Bill Gates anatosha.
Kama unataka uzi wa founders wasio wa Tech, anzisha uzi wako.
Sifa ya kwanza kwa Tanzania ili upate hiyo support lazima uwe mwanaccm mwenye kadi ya ccm, what a waste of talentTrue: Serikali inatakiwa kuweka mazingira wezeshi kwanza ndo Tupate kila Bill Gate,Jack Ma,Elon Musk etc.
bila Bidii na mchango wa Serikali aitowezekana
Basically alianza kama retailer anaye utilize tech.Is Amazon not a tech company? I thought e-commerce falls under the tech category....no?
Au ni retail company inayo utilize tech?