Tumekuwa na mjadala wa tukio lilitokea kwenye barabara ya mwendo kasi Dar es Salaam, gari la polisi limejaa askari waliovalia sare alafu wanatokea watu wamevaa reflector wanawazuia.
Ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuzuia polisi waliovalia sare. Hivi unajua wanakwenda wapi?, kumetukia nini?
Mimi nadhani kama sheria zetu hazisemi basi ni wakati wa kuzifanya ziseme kuwa ni kosa la jinai kuwazuia polisi waliovalia sare au kuzuia chombo cha ulinzi na usalama.