Dokta Uchwara
JF-Expert Member
- Apr 29, 2022
- 1,370
- 3,152
Kikazi gani wakati hata panyarodi tu wameshindwa kuwadhibiti!Yule jamaa aliekuwa anawazuia alifanya makosa. Watu wana sale za kazi wapo kikazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikazi gani wakati hata panyarodi tu wameshindwa kuwadhibiti!Yule jamaa aliekuwa anawazuia alifanya makosa. Watu wana sale za kazi wapo kikazi
Huna lolote. Fuata sheria AFANDE.Hapo unaandika kwenye TECNO yako unajiona Mwaaaaaaaaamba
unawapongeza kwa kuvunja sheria?Nawapongeza sana sana wale Askari wa FFU kwa Ukomavu wao na nidhamu waliyoionyesha pale. Lakini wale wapumbavu wa DART ilipaswa mmoja awe MOI akiwa ana vyumba miguuni, Mgongoni nk ameonyesha Ujuha na Ujinga mkubwa sana, shit
-na huyo ndio taswira ya askari wa tanzania, hawapendi Kufuata sheria japo wanaitwa ndio watekelezaji wa sheria.Huna lolote. Fuata sheria AFANDE.
Hayo mabuti yanakudanganya. Wewe ni mtu mdogo sana katika nchi.
-hoja ingekuwa kikazi, basi ingekuwa ni kero barabarani kwa maana kila mtu angetoa sababu ya kuvunja sheria kwamba yuko kikazi.Kikazi gani wakati hata panyarodi tu wameshindwa kuwadhibiti!
Walikuwa wastaarabu Sana Sana nawapongeza kwa busara walizozitumia aiseeWale Police waliamua kuwa wastaarabu
Walifanya makosa Sana wale udart hajui Askari walikuwa wanakwenda wapiTena wangemkojolea kabisa jinga kubwa sana yale majamaa ya mwendokasi. Polisi wanavyotusaidia jamani, wanajitoa pamoja na mishahara midogo tena hao FFU ndiyo kabisa hata uwezo wa hela ya kubrash viatu hawana. Ila natamani hao jamaa wa mwendokasi wangepigwa wakavunjwa vunjwa
- ustaarbu gani tena mkuu?, hivi unafikiri pale police wangewakamata wale jamaa wa UDART wangewashitaki kwa kosa gani? i.e Hati ya mashtaka ingesomekaje ? Counts zingekuwa zipi?Walikuwa wastaarabu Sana Sana nawapongeza kwa busara walizozitumia aisee
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
hili hata kwa kuangalia tu ni kosa, sababu hujui wanaenda wapi na kufanya nini so unapomzuia akiwa katika uniform ina maana umemzuia kutekeleza majukumu yake ambayo kwa almost 99% yanahusiana na ulinzi na usalama wa aidha watu au mali zao. Raia sometime tunavimbiwa sana ugali maharage na sifa zitakuja kutuponza.Tumekuwa na mjadala wa tukio lilitokea kwenye barabara ya mwendo kasi Dar es Salaam, gari la polisi limejaa askari waliovalia sare alafu wanatokea watu wamevaa reflector wanawazuia.
Ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuzuia polisi waliovalia sare. Hivi unajua wanakwenda wapi?, kumetukia nini?
Mimi nadhani kama sheria zetu hazisemi basi ni wakati wa kuzifanya ziseme kuwa ni kosa la jinai kuwazuia polisi waliovalia sare au kuzuia chombo cha ulinzi na usalama.
Je zamani kabla ya barabara ya Mwendokasi walikuwa wanapita wapi?Tumekuwa na mjadala wa tukio lilitokea kwenye barabara ya mwendo kasi Dar es Salaam, gari la polisi limejaa askari waliovalia sare alafu wanatokea watu wamevaa reflector wanawazuia.
Ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuzuia polisi waliovalia sare. Hivi unajua wanakwenda wapi?, kumetukia nini?
Mimi nadhani kama sheria zetu hazisemi basi ni wakati wa kuzifanya ziseme kuwa ni kosa la jinai kuwazuia polisi waliovalia sare au kuzuia chombo cha ulinzi na usalama.
unawapongeza kwa kuvunja sheria?
-atakuwaje MOI wakati anasimamia utekelezaji wa sheria?
-Wale Police ndio walitakiwa aidha watozwe faini au wawe mahakamani.
DART Hajazingua Waliozingua ni polisi, kwa sababu police wamevunja sheria za usalama barabarani, kwa kuingia njia ya mwendokasi DART wao kama wasimamizi wa njia ya mwendokasi wamesimamia sheria yao.Jamaa alizingua sana. Sema hawa polisi siku hizi za mama kama wamekua wapole. Kuna kile kipindi cha jiwe sijui ingekuaje.
But all in all polisi ni very very very much important kwenye maisha yetu. Bila hao hatuna maisha. Polisi Mungu awalipe mara 1000 maana nyie ndo mmeyashikilia maisha yetu kwa uweza wa Mungu. Vibaka na majambazi yangekua yanatubaka kutwa mara tatu.
hujajibu hoja, bali umeleta matusi ambayo kimsingi si hoja ni upuuzi.
Yule jamaa aliekuwa anawazuia alifanya makosa. Watu wana sale za kazi wapo kikazi
Mkuu naomba msaada wa kifungu cha sheria kilichovunjwa hapo. Kuna mtu tunabishana hapa-hujajibu hoja, bali umeleta matusi ambayo kimsingi si hoja ni upuuzi.
-sheria hiyo ya RTA haijasema expressly kwamba polisina majeshi yanaruhusiwa kutumia njia ya mwendo kasi, na ukisoma vizuri hicho kifungu ulichokopi huko, hakitoi ruhusa Police na Majeshi kutumia njia ya mwendokasi,
-basically sheria huwa zina misingi yake ya kutafsiri, na hiyo misingi hujui hata kidogo,