Jay One
JF-Expert Member
- Nov 12, 2010
- 18,042
- 19,787
Polisi wale wangewachapa viboko na kuwachukuwa wale wavaa reflector na kuwapeleka Central Police.. Wamelidharaulisha sana jeshi letu, yaani mtu kavaa reflector alafu gari la polisi limejaa polisi anasimamisha na kuzuia eti hii ni UDART, na polisi wanawahi wako wamevalia sare, yaani i wish i could be IGP, kamata wote wale wavaa reflector, alafu watajua maana ya jeshi letu. Pamoja na yote, jeshi lazima liheshimiwe, iwe JWTZ, Police, Zimamoto au Usalama, hawa ni walinzi wa nchi yetu, lazima wapewe first priority, hasa wanapowahi.
Yaani raia anatokea tu from nowhere kavaa ki reflector anazuia police? Aaarrghw, nimejisikia vibaya aisee..
Yaani raia anatokea tu from nowhere kavaa ki reflector anazuia police? Aaarrghw, nimejisikia vibaya aisee..