Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
-si kweli, leo hii kuna taarifa kutoka kwa msemaji wa police tanzania SACP misime, hiyo taarifa imekemea kile kitendo cha hovyo kilichofanywa na police, na pia imesema hakuna yoyote anayeruhusiwa kutumia njia ya mwendokasiIGP kazungumza leo, Polisi wanaruhusiwa kupita wakati wa dharura na kwa dharura.
Magari ya majeshi, wagonjwa na viongozi yanaruhusiwa.
Duh!..Hapana. Polisi wafuate sheria wasijifanye ni kundi spesho.
Kuvaa mabuti sio tiketi ya kuwa na Kinga ya kufanya ukitakacho.
Hichi ndio chanzo cha kuwa na askari wahuni na jeuri kwa kuwa TU tumewavalisha magwanda.
Wakileta upumbavu na hayo magwanda tunawavua wakafanye upumbavu kwa mama zao huko.
Waende wapi kwa kuvunja sheria?Kabla ya Udart walikuwa wanapita wapi?Walifanya makosa Sana wale udart hajui Askari walikuwa wanakwenda wapi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Waende wapi kwa kuvunja sheria?Kabla ya Udart walikuwa wanapita wapi?Walifanya makosa Sana wale udart hajui Askari walikuwa wanakwenda wapi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
-jeshi la police limekemea kila kitendo au hujaona taarifa ile ya Sacp Misime.?/Natumai hawakuwa na haraka ya huko waendako ila kama wangekuwa na haraka BASI aliyewazuia Angejua Hajui
na wamekemewa leo.Waende wapi kwa kuvunja sheria?Kabla ya Udart walikuwa wanapita wapi?
Kila kada ni muhimu kwenye jamii,wafuate sheria waache mihemko ya kijingaJamaa alizingua sana. Sema hawa polisi siku hizi za mama kama wamekua wapole. Kuna kile kipindi cha jiwe sijui ingekuaje.
But all in all polisi ni very very very much important kwenye maisha yetu. Bila hao hatuna maisha. Polisi Mungu awalipe mara 1000 maana nyie ndo mmeyashikilia maisha yetu kwa uweza wa Mungu. Vibaka na majambazi yangekua yanatubaka kutwa mara tatu.
Umesoma hii barua ya Jeshi la Polisi? Au umeandika kwa mihemko Yako tu??Tumekuwa na mjadala wa tukio lilitokea kwenye barabara ya mwendo kasi Dar es Salaam, gari la polisi limejaa askari waliovalia sare alafu wanatokea watu wamevaa reflector wanawazuia.
Ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuzuia polisi waliovalia sare. Hivi unajua wanakwenda wapi?, kumetukia nini?
Mimi nadhani kama sheria zetu hazisemi basi ni wakati wa kuzifanya ziseme kuwa ni kosa la jinai kuwazuia polisi waliovalia sare au kuzuia chombo cha ulinzi na usalama.
Hiyo unayosema wewe ni taarifa ya jana. Uwe unasikiliza hata taarifa za habari from credible sources,-si kweli, leo hii kuna taarifa kutoka kwa msemaji wa police tanzania SACP misime, hiyo taarifa imekemea kile kitendo cha hovyo kilichofanywa na police, na pia imesema hakuna yoyote anayeruhusiwa kutumia njia ya mwendokasi
Labda kuwahi kwenye points za kukusanya za kiwi na kupokea kidogo dogoKikazi gani wakati hata panyarodi tu wameshindwa kuwadhibiti!
- swali ni je, Ni lini Kamanda misime ametoa taarifa ya kubatilisha taarifa ile taarifa ya awali, kama ipo iweke hapa tuione.Hiyo unayosema wewe ni taarifa ya jana. Uwe unasikiliza hata taarifa za habari from credible sources,
Huku kitaa watu wako fiti kuliko hivyo vimgambo vyenu vya mchongo...waje kitaa waoneMiaka mitatu mingi hivyo... wiki moja tu!
State intetest override individual interet. Gari la polisi na askari wenye national emblem ni tofauti sana na askari hao hao wakiwa kwenye gari ya kirai. Unajaje kama walikuwa wanaenda kwenye dharura katikati ya jiji. Au ikulu kuna tishio la usalama wa madam sovereign ?Je akifa raia asiyekuwa na hatia tunaweza kufidia na haraka ya polisi!?
Kwahiyo polisi akivaa sare za kazi anaruhusiwa kuvunja taratibu zilizowekwa! This is Rubbish!!Tumekuwa na mjadala wa tukio lilitokea kwenye barabara ya mwendo kasi Dar es Salaam, gari la polisi limejaa askari waliovalia sare alafu wanatokea watu wamevaa reflector wanawazuia.
Ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuzuia polisi waliovalia sare. Hivi unajua wanakwenda wapi?, kumetukia nini?
Mimi nadhani kama sheria zetu hazisemi basi ni wakati wa kuzifanya ziseme kuwa ni kosa la jinai kuwazuia polisi waliovalia sare au kuzuia chombo cha ulinzi na usalama.