Inasikitisha sana. Hivi hao raia ingetokea wamedondosha kofia za askari ingekuwaje?Tumekuwa na mjadala wa tukio lilitokea kwenye barabara ya mwendo kasi Dar es salaam, gari la polisi limejaa askari waliovalia sare alafu wanatokea watu wamevaa reflector wanawazuia...
DuhTumekuwa na mjadala wa tukio lilitokea kwenye barabara ya mwendo kasi Dar es salaam, gari la polisi limejaa askari waliovalia sare alafu wanatokea watu wamevaa reflector wanawazuia.
Ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuzuia polisi waliovalia sare. Hivi unajua wanakwenda wapi?, kumetukia nini?
Mimi nadhani kama sheria zetu hazisemi basi ni wakati wa kuzifanya ziseme kuwa ni kosa la jinai kuwazuia polisi waliovalia sare au kuzuia chombo cha ulinzi na usalama.
Kwani kuwa akari ndo ruksa kuvunja sheria za barabarani? Wambura aje hapa
Miaka mitatu mingi hivyo... wiki moja tu!Wanajeshi wangecjukua nchi japo miaka 3 tu ili raia tuwaelewe.
Wale Police waliamua kuwa wastaarabuTumekuwa na mjadala wa tukio lilitokea kwenye barabara ya mwendo kasi Dar es Salaam, gari la polisi limejaa askari waliovalia sare alafu wanatokea watu wamevaa reflector wanawazuia.
Ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuzuia polisi waliovalia sare. Hivi unajua wanakwenda wapi?, kumetukia nini?
Mimi nadhani kama sheria zetu hazisemi basi ni wakati wa kuzifanya ziseme kuwa ni kosa la jinai kuwazuia polisi waliovalia sare au kuzuia chombo cha ulinzi na usalama.
Sheria zipo wapi ni ujinga tu wa watu wa mwendokasiTumekuwa na mjadala wa tukio lilitokea kwenye barabara ya mwendo kasi Dar es Salaam, gari la polisi limejaa askari waliovalia sare alafu wanatokea watu wamevaa reflector wanawazuia.
Ni ujinga na upumbavu wa hali ya juu kuzuia polisi waliovalia sare. Hivi unajua wanakwenda wapi?, kumetukia nini?
Mimi nadhani kama sheria zetu hazisemi basi ni wakati wa kuzifanya ziseme kuwa ni kosa la jinai kuwazuia polisi waliovalia sare au kuzuia chombo cha ulinzi na usalama.
Tena wangemkojolea kabisa jinga kubwa sana yale majamaa ya mwendokasi. Polisi wanavyotusaidia jamani, wanajitoa pamoja na mishahara midogo tena hao FFU ndiyo kabisa hata uwezo wa hela ya kubrash viatu hawana. Ila natamani hao jamaa wa mwendokasi wangepigwa wakavunjwa vunjwaAisee ile ni nidhamu mbovu kwa jeshi letu, yule jamaa angekula virungu pale ningefurahi sana.
Mnapenda kuvunja sheria kwa kuwa tu ati mmevaa mabuti.Nawapongeza sana sana wale Askari wa FFU kwa Ukomavu wao na nidhamu waliyoionyesha pale. Lakini wale wapumbavu wa DART ilipaswa mmoja awe MOI akiwa ana vyumba miguuni, Mgongoni nk ameonyesha Ujuha na Ujinga mkubwa sana, shit
Hapana. Polisi wafuate sheria wasijifanye ni kundi spesho.Tena wangemkojolea kabisa jinga kubwa sana yale majamaa ya mwendokasi. Polisi wanavyotusaidia jamani, wanajitoa pamoja na mishahara midogo tena hao FFU ndiyo kabisa hata uwezo wa hela ya kubrash viatu hawana. Ila natamani hao jamaa wa mwendokasi wangepigwa wakavunjwa vunjwa
Hapo unaandika kwenye TECNO yako unajiona Mwaaaaaaaaamba wakati Panyarod wakikwapua hako ka simu cha kwanza ni kukimbilia Polisi Cyber Crime usaidike! Acheni kuleta Siasa na Hatakati kwenye kazi za Jeshi mtakuja kulia kama mnavyolizwa na Panyarod sahiv.Mnapenda kuvunja sheria kwa kuwa tu ati mmevaa mabuti.
FUATA SHERIA, NA UKILETA UJUAJI TUNAKUTIMUA KAZI KIRAHISI SANA NA MABUTI YAKO UNAYAACHA KITUONI.
MABUTI SIO KINGA YA KUFANYA UHALIFU.
Je akifa raia asiyekuwa na hatia tunaweza kufidia na haraka ya polisi!?Tumekuwa na mjadala wa tukio lilitokea kwenye barabara ya mwendo kasi Dar es Salaam, gari la polisi limejaa askari waliovalia sare alafu wanatokea watu wamevaa reflector wanawazuia.