It should be a criminal offense to "kuwazuia polisi waliovalia sare za kazi"

IGP kazungumza leo, Polisi wanaruhusiwa kupita wakati wa dharura na kwa dharura.

Magari ya majeshi, wagonjwa na viongozi yanaruhusiwa.
-si kweli, leo hii kuna taarifa kutoka kwa msemaji wa police tanzania SACP misime, hiyo taarifa imekemea kile kitendo cha hovyo kilichofanywa na police, na pia imesema hakuna yoyote anayeruhusiwa kutumia njia ya mwendokasi
 
-Jeshi la Police limekemea kile kitendo, taarifa kutoka kwa msemaji mkuu wa jeshi la police tanzania .
- Wale maafande wa humu, wakubwa zenu wamewaumbua/ wamewaruka kimanga na kujitenga Na jambo la hovyo ambalo ni kinyume cha sheria za barabarani.
-Kwa maneno rahisi ni kwamba taarifa ya Jeshi la police imethibitisha kwamba wale police walivunja sheria za usalama barabarani.
 
Duh!..
 
Natumai hawakuwa na haraka ya huko waendako ila kama wangekuwa na haraka BASI aliyewazuia Angejua Hajui
 
Natumai hawakuwa na haraka ya huko waendako ila kama wangekuwa na haraka BASI aliyewazuia Angejua Hajui
-jeshi la police limekemea kila kitendo au hujaona taarifa ile ya Sacp Misime.?/
 
Kila kada ni muhimu kwenye jamii,wafuate sheria waache mihemko ya kijinga
 
Umesoma hii barua ya Jeshi la Polisi? Au umeandika kwa mihemko Yako tu??
 
Attachments

  • IMG-20220916-WA0018.jpg
    46.5 KB · Views: 1
-si kweli, leo hii kuna taarifa kutoka kwa msemaji wa police tanzania SACP misime, hiyo taarifa imekemea kile kitendo cha hovyo kilichofanywa na police, na pia imesema hakuna yoyote anayeruhusiwa kutumia njia ya mwendokasi
Hiyo unayosema wewe ni taarifa ya jana. Uwe unasikiliza hata taarifa za habari from credible sources,
 
Hiyo unayosema wewe ni taarifa ya jana. Uwe unasikiliza hata taarifa za habari from credible sources,
- swali ni je, Ni lini Kamanda misime ametoa taarifa ya kubatilisha taarifa ile taarifa ya awali, kama ipo iweke hapa tuione.
-kuhusu Credibi ya source, Unachotaka kusema ni kwamba Kamanda Misime alikurupuka? na je taarifa ya police mpaka inatoka huwa inapitia hatua zipi?
 
Yule jamaa wa DART alikomaa sana alikua anafanya makosa sana
 
Soma Road traffic act sec 54. Gari la polisi, jeshi, zimamoto ni miongoni mwa magari ya dharura
 
Je akifa raia asiyekuwa na hatia tunaweza kufidia na haraka ya polisi!?
State intetest override individual interet. Gari la polisi na askari wenye national emblem ni tofauti sana na askari hao hao wakiwa kwenye gari ya kirai. Unajaje kama walikuwa wanaenda kwenye dharura katikati ya jiji. Au ikulu kuna tishio la usalama wa madam sovereign ?
 
Kwahiyo polisi akivaa sare za kazi anaruhusiwa kuvunja taratibu zilizowekwa! This is Rubbish!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…