It should be a criminal offense to "kuwazuia polisi waliovalia sare za kazi"

Polisi wale wangewachapa viboko na kuwachukuwa wale wavaa reflector na kuwapeleka Central Police.. Wamelidharaulisha sana jeshi letu, yaani mtu kavaa reflector alafu gari la polisi limejaa polisi anasimamisha na kuzuia eti hii ni UDART, na polisi wanawahi wako wamevalia sare, yaani i wish i could be IGP, kamata wote wale wavaa reflector, alafu watajua maana ya jeshi letu. Pamoja na yote, jeshi lazima liheshimiwe, iwe JWTZ, Police, Zimamoto au Usalama, hawa ni walinzi wa nchi yetu, lazima wapewe first priority, hasa wanapowahi.

Yaani raia anatokea tu from nowhere kavaa ki reflector anazuia police? Aaarrghw, nimejisikia vibaya aisee..
 
Kua askari hakukufanyi uwe juu ya sheria...km huwezi heshimu sheria utazi inforce vp kwa watu unao walinda?
Hao police wamejiabisha wenyewe...km walikua wana haraka wangewasha king'ora hawapita barabara ya kawaida, magari wangewapisha.
 
We jamaa mgumu kuelewa

Misime katoa taarifa tarehe 15 sept 2022

IGP kaongeq tarehe 16 Sept 2022 tena mbele ya waziri wa mambo ya ndani.

Haya angalia taarifa ya nani ni ya mwisho.
 
Reactions: Cyb

Kinachowazuia ni sheria
 
Hiyo ni sawa kuwahi! Pia hakuna anayedhihaki Kazi za polisi, ila je kwani barabara zote za DSM Zina mwendokasi!? Je haraka Yao ndani ya mwendokasi huoni ni kisababishi Cha ajali? Ndio maana Kuna sheria na taratibu! Pia ikumbukwe Kuna Kazi za kawaida za polisi na Kazi za dharura
 
Acha mihemko ya kiafande. Utashughulikiwa na mabuti yako ukileta ujinga.

Polisi ni panya wadogo tu wanaotumika kwa ajili ya manufaa ya wenye nchi.

Usidanganywe na hayo mabuti. Utaadabishwa kama mtu yeyote ukileta ujuaji uchwara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…