Kweli, huwezi kuuza ngada au silaa online kwa bongo[emoji28], huku zinafanywa locally na kwa watu wanaojuana.Mambo ya hovyo tu lakini kule Kuna zaidi ya haya ukiwa na tamaa unaingia kwenye vitu viovu.
Waje wajitetee sio kwa matusi haya🤣IT wa bongo wanajua kuuza movies na series..na simu k.koo,kipiga chini window na kuweka antivirus.
Huko kwengine waupe sana.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata sio matusi huo ndio ukweli..wengi wao vilaza..ingawa sio wote kuna wenye uwezo mzuri sana..ila vilaza ndio wengi sana.Waje wajitetee sio kwa matusi haya[emoji1787]
Huku kwengine sasa!. Unajua wakiwa imara katika nyanja hizi hata usalama utakuwepo pia maana watakuwa wanatumika wao na sio lazima watoke nje za nchi let's say anaitwa IT was nje aje arekebishe mifumo ya kompyuta ya tanesko! Wakiamua si wanaweza kutukalisha giza hawa😂Kweli, huwezi kuuza ngada au silaa online kwa bongo[emoji28], huku zinafanywa locally na kwa watu wanaojuana.
Hapana I belive wapo vizuri, sema technology sio kama medicine, sheria, au kada zingine ambazo ni static ambazo mabadiliko huwa ya taratibu na hakuna ubunifu sana. Technology is very dynamic, competitive na inahitaji ubunifu wa hali ya juu sana ili kufanikiwa, kitu kingine njaa kwa jamii zetu umemaliza chuo umejifungia ndani una develop project ni jambo lisilowezekana au la ajabu, Mnajikusanya mfanye kazi lakini njaa zitauma na kila mtu itabidi ahangaikie tumbo lake.IT wa bongo wanajua kuuza movies na series..na simu k.koo,kipiga chini window na kuweka antivirus.
Huko kwengine waupe sana.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa kitu kibaya sana..nakubaliana na wewe..ndio mana nchi zetu hatupigia hatua..kwamaana zile basic needs tu hatuna.Hapana I belive wapo vizuri, sema technology sio kama medicine, sheria, au kada zingine ambazo ni static ambazo mabadiliko huwa ya taratibu na hakuna ubunifu sana. Technology is very dynamic, competitive na inahitaji ubunifu wa hali ya juu sana ili kufanikiwa, kitu kingine njaa kwa jamii zetu umemaliza chuo umejifungia ndani una develop project ni jambo lisilowezekana au la ajabu, Mnajikusanya mfanye kazi lakini njaa zitauma na kila mtu itabidi ahangaikie tumbo lake.
Ma IT shule ipo sema mazingira tu
[emoji28] ni vile tu vijana hatupewi chance!Huku kwengine sasa!. Unajua wakiwa imara katika nyanja hizi hata usalama utakuwepo pia maana watakuwa wanatumika wao na sio lazima watoke nje za nchi let's say anaitwa IT was nje aje arekebishe mifumo ya kompyuta ya tanesko! Wakiamua si wanaweza kutukalisha giza hawa[emoji23]
Kweli kabisa mkuu huwezi kushinda na laptop miezi au mwaka una develop project ambayo itakupa pesa baada ya muda, lazima kwanza utafute mkate wako wa kila sikuNjaa kitu kibaya sana..nakubaliana na wewe..ndio mana nchi zetu hatupigia hatua..kwamaana zile basic needs tu hatuna.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa ili ujibiwe usiwe specific maana waTZ wamekalilishwa kuwa mtu yyt anaesomea Computer related studies ni IT.Ndo kusema haya mambo hamyawezi au?
Toka nimetembelea kule sijawahi ona hata chat room ya kiswahili au hata forum ya kiswahili!,mnakwama wapi au mnaogopa kuonyesha ufundi wenu.
Ni mbaya sana kufikiri kule Kuna vitu viovu tu!,na kule ndio Kuna michuano mikali ya kivamizi (platform yako kuwa hacked),Sasa mtajuaje changamoto na namna ya kuzidhibiti msipotembelea kule??
Kikubwa muwe na tahadhari tu.
NB: Uzi huu haupo kwa lengo la kuhamasisha uovu bali kuleta stimulation kwa vijana haswa nyanja za IT.
Mjitafakari.