Lager
JF-Expert Member
- Mar 4, 2019
- 395
- 1,085
Ndo kusema haya mambo hamyawezi au?
Toka nimetembelea kule sijawahi ona hata chat room ya kiswahili au hata forum ya kiswahili!,mnakwama wapi au mnaogopa kuonyesha ufundi wenu.
Ni mbaya sana kufikiri kule Kuna vitu viovu tu!,na kule ndio Kuna michuano mikali ya kivamizi (platform yako kuwa hacked),Sasa mtajuaje changamoto na namna ya kuzidhibiti msipotembelea kule??
Kikubwa muwe na tahadhari tu.
NB: Uzi huu haupo kwa lengo la kuhamasisha uovu bali kuleta stimulation kwa vijana haswa nyanja za IT.
Mjitafakari.