The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
AsanteYupo pale chato chini, nenda akaendelee kukuongoza.
To get a killer, dictator. Where is Azory gwanda, where is Ben Saanane!Kuna mambo ukiyanglia kwa jicho la nyama. Ni ngumu kuyaelewa....
Nikitafakari majitoleo yake Kwa watanzania nahisi alikuwa ni Malaika......
Dunia nzima kwa Sasa hakuna kiongozi kama yeye. Uzalendo wa namna hii tuliuona Kwa kina Martin Luther king Jr na John Kennedy......
Kwa Sasa watu wamevaa uso wa mbuzi cha Moto tunakipata.
Hapo ndo mwisho wako wa kufikiri ulipoishia.To get a killer, dictator. Where is Azory gwanda, wgere is ben Saanane!
magufuli the Killer
whatever your finding, Magufuli was a KILLER, thank God he is gone and gone forever!Hapo ndo mwisho wako wa kufikiri ulipoishia.
Good
Haitakuja kutokea kiongozi kama huyu kupata kutokea nchini Tanzania... Tanzania is worst country, yaani sirudi nyumbani..Kuna mambo ukiyanglia kwa jicho la nyama. Ni ngumu kuyaelewa....
Nikitafakari majitoleo yake Kwa watanzania nahisi alikuwa ni Malaika......
Dunia nzima kwa Sasa hakuna kiongozi kama yeye. Uzalendo wa namna hii tuliuona Kwa kina Martin Luther king Jr na John Kennedy......
Kwa Sasa watu wamevaa uso wa mbuzi cha Moto tunakipata.
Tatizo lako umelewa tozo. Huwezi kunielewa.Kwani alifanya Nini huyu Jamaa.? mbona mnataka kufa na uzushi wake nyninyi? Mbona wa TZ tunapenda mambo ya kijinga. Hatari ya DIKTETA MAGUFULI mjukuu wako ndio atakuja kuiona
Mbona wewe uko hai unaendelea kutozeka, Au ulikuwa hujazaliwa wakati anaua watu?????whatever your finding, Magufuli was a KILLER, thank God he is gone and gone forever
KALAGHABAO HATUITAJI KABISA HILO!Kuna mambo ukiyanglia kwa jicho la nyama. Ni ngumu kuyaelewa....