M2WAWA2
JF-Expert Member
- Aug 15, 2014
- 3,285
- 5,598
usisahau Muumba, alimuumba shetani pia!Kama hilo ndo hitimisho lenu basi pumzikeni, keleleni........., kwa maamuzi ya Muumba, ni wakati wa SSH sasa! Tusiokuwa na hila nae, wivu nae, chuki nae wala visa nae vya kishetani tunamuombea kheri tu katika utawala wake.
Ebu ona hii:
1.JKN(1), BWM (3),JPM (5)
2.AHM (2),JMK (4),SSH (6)
NI UWE NA AKILI KUBWA KUELEWA HII