It will take hundreds of years for Tanzania to get a president like Magufuli

If your ex tells you that you will never find someone like her/him.
Tell them
That is the point.
 
Sasa inabidi apatikane wa namna hyo sas inakuwa tabu magu Ni rais Bora Africa nzima

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
HAITA KAA IKATOKEA KUJA KUWEPO KWA RAIS WA MAISHA YA WENGI KAMA JPM.
Kama hilo ndo hitimisho lenu basi pumzikeni, keleleni........., kwa maamuzi ya Muumba, ni wakati wa SSH sasa! Tusiokuwa na hila nae, wivu nae, chuki nae wala visa nae vya kishetani tunamuombea kheri tu katika utawala wake.
 
Tuambie alifanya Jambo gani la maana ?

Mtu aliyeshindwa kujenga kiwanda hata kimoja!
 
Miaka 100 mingi, huyu mama akitoka tu, Mungu ni mwema tutampata Magufuli mwingine
 
Daah, ndugu yangu toa hiyo video, nisije nikalia aiseee, daaah, but why?!
 
Magufuli alikua ni kiongozi makini na mzalendo, lakini shida yake ni moja tu ,zero intolerance policy towards opposition, na watu kupotea ovyo wakati wa utawala wake.

Halafu kama alikua msafi kwa nini alimfukuza kazi CAG kinyume na katiba baada ya kugundua upotevu wa 1.5 trillion shillings
 
Una uhakika hauna homa?Muone daktari.Una shida kichwani.
 
JPM THE GREAT
 
Nenda tu straight kuwa unafikiri JPM alikuwa muuaji na mwizi. Huwezi sema alikuwa makini na mzalendo halafu ukamalizia na maswali uliyouliza. Simba mkimnya Unataka kung'ata bila kuumiza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…