It will take hundreds of years for Tanzania to get a president like Magufuli

Kama hilo ndo hitimisho lenu basi pumzikeni, keleleni........., kwa maamuzi ya Muumba, ni wakati wa SSH sasa! Tusiokuwa na hila nae, wivu nae, chuki nae wala visa nae vya kishetani tunamuombea kheri tu katika utawala wake.
usisahau Muumba, alimuumba shetani pia!

Ebu ona hii:

1.JKN(1), BWM (3),JPM (5)
2.AHM (2),JMK (4),SSH (6)

NI UWE NA AKILI KUBWA KUELEWA HII
 
He was useless,nawasikitikia watakaoishi baada ya Hiyo miaka akitokea mwehu Mwingine kuwaongoza.
 
Malaika karudi kwao. Dunia ya shetani!
 
Mkishavimbiwa mayai ya kuchemsha na mahindi sehemu yenu ya kupumulia ni JF.
 
whatever your finding, Magufuli was a KILLER, thank God he is gone and gone forever!
Yule aliua hao uliowaorodhesha(kama ni kweli..huna ushahidi).

Lakini huyu mama anaua wengi sana kwa vifo vitokanavyo na stress za ugumu wa maisha.
 
Kwenye taifa lolote kinakua na kiongozi mwanzilishi ambae sifa zake mawazo fikra mitazamo na heshima hudumu kizazi na kizazi kwenye lile taifa.

Lakini pia kwa nyakati tofauti hutokea kiongozi mwandamizi wake ambaye naye kama yule kiongozi wa mwanzo hudumu kwenye lile taifa kizazi na kizazi.

Nikama hapa kwetu, hakuna binadamu anae sahulika mapema kama alikufa.

Nyerere ana mwaka karibu 23 kaburini haijasahaulika bado hata walio zaliwa miaka ya 2000 wanamjua.

Kadhalika na Magufuli japo amekufa miaka karibu 2 sasa lakini atadumu kwenye fikra za wana taifa hili kizazi na kizazi, watajaribu kumfunika kadri wanavyoweza lakini atakumbukwa tu kwamba kuliwahi kutokea kiongozi aliye hudumu kwa miaka 5 lakini athari alizoacha ni kubwa kuliko muda aliohudumu.
 
Let him remain dead. Tanzania is far better without him.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…