Itabidi nimwambie tu kakangu ukweli

Usimwambie ila tafuta mazingira ya kumfumanisha, ukimwambia hata kusikiliza utaonekana mbaya ww kama una bisha jaribu chezea mapenzi ww

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea mkuu,huyo shem anaweza kukugeuzia kibao ulikiwa unamtaka..kuwa makini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie huyo hivi sasa hivi nimeshampigia kaka yake nimemwambia mdogo wake ananitaka baada ya kuona simuelewi akataka kunibaka hivi sasa hivi nipo kwa jirani naogopa hata kurudi ndani maana shemeji hana mzaha kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha umbeya huyo kakako dereva hivi unajua madereva wa masafa marefu walivo malaya. Tena huzalilisha kila kituo sasa wewe ingilia uvinje ndoa ya watu. Mwanaume mumbeya hapendezi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha umbeya huyo kakako dereva hivi unajua madereva wa masafa marefu walivo malaya. Tena huzalilisha kila kituo sasa wewe ingilia uvinje ndoa ya watu. Mwanaume mumbeya hapendezi

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ni umbea au anasema ukweli.

Umbeya ni kutoa habari zilizitiwa chumvi ila kama atausema ukweli bila kupindisha hata kidini sna baraka.
 
Huyu kijana anachuklia kawaida,na tena hadi bro wake atakuja kumchukia dogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…