Palasitine wameishi hivo miaka tangu mwaka 1948, hiyo ni sehemu ya maisha yao, na Israel hawana amani na utulivi ndo maana wengi wana duo citizenship, hawana wakika wa kuishi IsraelWapalestina waliobaki wanapaswa kutathmini sana kuhusu siasa zao za ndani na aina ya washirika walionao.
Sawa na kuelewa mkuu kweli Ulaya kuna ghost towns ila sio kwasbb ya destruction ila kwasbb ya industrial transformation patterns kama kuhamisha viwanda malighafi nk, na watu wanahama ili kutafuta ajira ila majengo yana baki bila watu, ili haliwezekani kwa waarabu population inaongezeeka kwa kasi sanaa. Wa palasitine tu walioko Jordan Lebnon ni zaidi ya 6m, Israel aliwakataza kurudi makwao, kwa hofu demographic advatanges.Covax kujenga majengo ya mji na kujenga mji ni mambo mawili tofauti. Ndiyo maana Kuna ile miji inaitwa "Ghost Cities".
Kujenga hakuchukui muda mrefu maana misaada itatolewa na UN lakini maumivu ya kufiwa na watu kikatili ndiyo yatachua muda mrefu kusahaulika
Nchi za Africa nyingi zina uhuru ikiwemo Tanzania ila angalia maisha yetu, miji inakisa hata maji safi na salama, barabara, muhimu ni pesa, mji wa ghaza ulikua mzuri kuliko mji wa Dar es salaam kwasbb wana pesa sio uhurumajengo hayana maana kama hauko huru!.
Siku wapalestina wakiwa huru, wana gesi nyingi sana kwenye mwambao wa Gaza, hayo majumbajumba yatajengwa bora zaidi ndani ya miaka miatatu kwa hela ya gesi
Ile kauli ya Netanyahuh baada ya shambulio la 7/10/2023 ilikuwa ya kutisha,, nikadhani ni vitisho na hawatafanya lolote. Maana alisema watakachowafanyia Hamas na Palestine itakuwa HISTORIA kwa miaka 50 ijayo.Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa inahitajika miaka zaidi ya 350 kuyarejesha maisha ya Gaza kuwa kama yalivyokuwa kabla ya baada ya Oktoba 7.
Kauli za natanyahu ni za kisiasa zaidi ili aendelee kua waziri mkuu alishawahi kusema kwamba Hamas haitakuja kutawala ghaza, lakini mpaka leo ina tawala alisema Hezebollah atawatoa Lebnon ndani ya miazi 6 ulisema hilo mwaka 2006, ila mpaka leo wapo wana mtesa.Ile kauli ya Netanyahuh baada ya shambulio la 7/10/2023 ilikuwa ya kutisha,, nikadhani ni vitisho na hawatafanya lolote. Maana alisema watakachowafanyia Hamas na Palestine itakuwa HISTORIA kwa miaka 50 ijayo.
Unataka kusema Wapalestina wa Gaza wameishi kwenye uharibifu huu uliopo sasa tangu huo mwaka ulioutaja?Palasitine wameishi hivo miaka tangu mwaka 1948, hiyo ni sehemu ya maisha yao, na Israel hawana amani na utulivi ndo maana wengi wana duo citizenship, hawana wakika wa kuishi Israel
Wewe unafikiri ni nani wa kuwapa uhuru Wapalestina?majengo hayana maana kama hauko huru!.
Siku wapalestina wakiwa huru, wana gesi nyingi sana kwenye mwambao wa Gaza, hayo majumbajumba yatajengwa bora zaidi ndani ya miaka miatatu kwa hela ya gesi
Oh maskini,nawaonea huruma sanaUmoja wa Mataifa unakadiria kuwa inahitajika miaka zaidi ya 350 kuyarejesha maisha ya Gaza kuwa kama yalivyokuwa kabla ya baada ya Oktoba 7.
Qatar na Saudia wamesema wazi kazi ya kujenga Gaza waachiwe wenyewe China kasema miundombinu yote yeye yupo tayari kujenga, Gaza ni ndogo kuzidi Kigamboni hiyo miaka 360 πππUmoja wa Mataifa unakadiria kuwa inahitajika miaka zaidi ya 350 kuyarejesha maisha ya Gaza kuwa kama yalivyokuwa kabla ya baada ya Oktoba 7.
majengo hayana maana kama hauko huru!.
Siku wapalestina wakiwa huru, wana gesi nyingi sana kwenye mwambao wa Gaza, hayo majumbajumba yatajengwa bora zaidi ndani ya miaka miatatu kwa hela ya gesi
Acha kulinganisha akili za wanaojielewa na wasiojielewa.Nchi za Africa nyingi zina uhuru ikiwemo Tanzania ila angalia maisha yetu, miji inakisa hata maji safi na salama, barabara, muhimu ni pesa, mji wa ghaza ulikua mzuri kuliko mji wa Dar es salaam kwasbb wana pesa sio uhuru
Kwani sie Watanzania ni sub-human?Acha kulinganisha akili za wanaojielewa na wasiojielewa.
Ghaza ipi pole ghaza haitakaliwa na wazayuni tenaIsrael iliondoka Gaza 2006 Wapalestina wakaamua kuwachagua Magaidi wa Hamas na ukawa ndio Uchaguzi wa mwisho na sasa Israel wanampango wa kubakia Gaza milele.
Uidiot umewaponza Waarabu wa Palestina.
Gaza inaenda kukaliwa upya kianzia North Gaza hadi Central Gaza.Ghaza ipi pole ghaza haitakaliwa na wazayuni tena
Unacheka kama jinga ilhali waarabu wenzako huko wanalambishwa mchanga kwa malaki kisa uwendawazimu wa Hamas kushambulia Oktoba 7!!!Qatar na Saudia wamesema wazi kazi ya kujenga Gaza waachiwe wenyewe China kasema miundombinu yote yeye yupo tayari kujenga, Gaza ni ndogo kuzidi Kigamboni hiyo miaka 360 πππ
Dada angu hilo nigumu ni sawa sawa kuweka Israel katika vita mda wote hata US amesema hilo hapana litawagharimu sana kulinda watu wao mda wote.Gaza inaenda kukaliwa upya kianzia North Gaza hadi Central Gaza.