cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
majengo hayana maana kama hauko huru!.
Siku wapalestina wakiwa huru, wana gesi nyingi sana kwenye mwambao wa Gaza, hayo majumbajumba yatajengwa bora zaidi ndani ya miaka mitatu kwa hela ya gesi
Israel iliondoka Gaza 2005.....Waliondoa hadi makaburi yao.......Nini kilichofuata? Badala ya Kuijenga Gaza, wao waakaanza kujenga Mahandaki! Akili yao yote iko possessed and obsessed na Israel....Wanalishwa na kusomeshwa na UNRWA......Kazi yao kubwa ni kuzaa na kufikiri Vita tu....wakipumzika kugombana na Isarel wanagombana wao wao wao... Kama sio Hamas versus Fatah... basi ni dhidi ya Palestine Islamic Jihad...au...Harakat al Sabireen ...etc Maana kuna utitiri wa vikundi, na kila kimoja nina msimamo wake! Na jambo jingine viongozi wao wanatumia vita kujitajirisha! Pesa za misaada 90% ziko mifukoni mwao! Angalia Arafat.....Kafa akiwa Bilionea.....! Angalia utajiri wa akina Marehemu Hanniyeh na wenziye huko Qatar na Turkey! Kama kuna vijana wanakula bata ni wanafunzi wa Kipalestina US......wanasoma vyuo vya gharama.....wanaendesha magari mazuri...Maana pesa za misaada toka UN na kwingineko ulaya huwa hazina audit!
Hivyo ni kwamba hayo maisha ya Vita na vurugu ndio wanayoyataka kwa makusudi kabisa!