Itachukua miaka 350 kujenga Gaza kama ilivyokuwa

Itachukua miaka 350 kujenga Gaza kama ilivyokuwa

majengo hayana maana kama hauko huru!.

Siku wapalestina wakiwa huru, wana gesi nyingi sana kwenye mwambao wa Gaza, hayo majumbajumba yatajengwa bora zaidi ndani ya miaka mitatu kwa hela ya gesi

Israel iliondoka Gaza 2005.....Waliondoa hadi makaburi yao.......Nini kilichofuata? Badala ya Kuijenga Gaza, wao waakaanza kujenga Mahandaki! Akili yao yote iko possessed and obsessed na Israel....Wanalishwa na kusomeshwa na UNRWA......Kazi yao kubwa ni kuzaa na kufikiri Vita tu....wakipumzika kugombana na Isarel wanagombana wao wao wao... Kama sio Hamas versus Fatah... basi ni dhidi ya Palestine Islamic Jihad...au...Harakat al Sabireen ...etc Maana kuna utitiri wa vikundi, na kila kimoja nina msimamo wake! Na jambo jingine viongozi wao wanatumia vita kujitajirisha! Pesa za misaada 90% ziko mifukoni mwao! Angalia Arafat.....Kafa akiwa Bilionea.....! Angalia utajiri wa akina Marehemu Hanniyeh na wenziye huko Qatar na Turkey! Kama kuna vijana wanakula bata ni wanafunzi wa Kipalestina US......wanasoma vyuo vya gharama.....wanaendesha magari mazuri...Maana pesa za misaada toka UN na kwingineko ulaya huwa hazina audit!

Hivyo ni kwamba hayo maisha ya Vita na vurugu ndio wanayoyataka kwa makusudi kabisa!
 
Serikali yao muda mrefu ilikumbatia hilo kundi na mwisho wa siku ndio linawaletea madhara.

Kinga yao ni makazi ya watu na majengo ya umma.

Vita havina uzuri ila serikali ya Palestina ilitakiwa ideal na hilo kundi ndio linalowaharibia nchi.
 
Its not easy brother, hizo rubbles kuzitoa tu ni ages halafu kumbuka manpower ya wapalestina ni kama imefutwa kabisa, then hamna cha shule wala hospitali imebaki! Pesa pekee hata wakipewa haitajenga na atapewa nani? Hamas au? Na ipo wapi? Haya ni majibu meepesi sana kwa situation complex kama hii.
Ila watu humu yaani Rubbles ni ages? Yaani kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa kutoa Rubblea kwa wilaya ya Kinondoni pekee kunaweza kuchukua kuanzia 2024-2124
Kisha ujenzi utaanza hapo kuendelea mpaka 2374 sio?
 
Ila watu humu yaani Rubbles ni ages? Yaani kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa kutoa Rubblea kwa wilaya ya Kinondoni pekee kunaweza kuchukua kuanzia 2024-2124
Kisha ujenzi utaanza hapo kuendelea mpaka 2374 sio?
Huwezi kujenga hoja bila kudunisha wengine? Watoa hoja ni UN na siyo watu dhaifu wa JF.

Sisi wengine tunaamini taarifa ndiyo nguvu ya kujenga hoja. Kama wewe una taarifa zaidi ya UN, basi elezea hapa.
 
Hivi hawa watu wa Gaza watapungukiwa nini wakiamua kuutambua ukuu wa Israeli na kiongozi wao shupavu Netanyahu kisha wakaanza kufuata mila zao na kuwa taifa moja? Kwani wote wakiamua kuwa chini ya Netanyahu watapungukiwa nini? Mwenye nguvu mpishe ati!
 
Israel iliondoka Gaza 2005 Wapalestina wakaamua kuwachagua Magaidi wa Hamas na ukawa ndio Uchaguzi wa mwisho na sasa Israel wanampango wa kubakia Gaza milele.

Uidiot umewaponza Waarabu wa Palestina.
wapalestina sio waarabu bro
 
Hapo Hamasi moyo mweupee kwa furaha.
Roho ya Ibirisi inawaza uharibifu tu.
Roho ya ibilisi ipo kwa wauaji wote.

Mungu sio mjinga aumbe raia bilioni nane na mataifa zaidi ya 150 aumbe mabara 7 aumbe dunia nzima, halafu achague eti taifa moja tu ndilo liwe na haki zote juu ya dunia. Never, huyo ni mungu wa mchongo.
 
Qatar na Saudia wamesema wazi kazi ya kujenga Gaza waachiwe wenyewe China kasema miundombinu yote yeye yupo tayari kujenga, Gaza ni ndogo kuzidi Kigamboni hiyo miaka 360 😂😂😂
Screenshot_2024-10-23-22-20-17-835_com.twitter.android~2.jpg
 
Ila watu humu yaani Rubbles ni ages? Yaani kwahiyo unataka kutuaminisha kuwa kutoa Rubblea kwa wilaya ya Kinondoni pekee kunaweza kuchukua kuanzia 2024-2124
Kisha ujenzi utaanza hapo kuendelea mpaka 2374 sio?

Mtazamo wako sio wangu kaka toa mawazo yako unavyoamini niachie yangu
 
Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa inahitajika miaka zaidi ya 350 kuyarejesha maisha ya Gaza kuwa kama yalivyokuwa kabla ya baada ya Oktoba 7.

CHANZO: AL JAZEERA TV
Gaza Imejengwa tangu Enzi za Ibrahim baada ya kutoka Hebron akaishi Gaza akawaacha wajukuu akina Samson na Waamuzi akina Gidioni wakiishi hapo...
Kimsingi itachukua miaka mingine 6000
 
Wayahudi maelfu wauawe halafu Gaza irudishwe?

Hiyo ndio imabaki story, wanaweza kupewa viongozi wa West Bank hawana mihemko kama magaidi wa Hamas
 
Mimi na wasenge mbali mbali, Kanisani kwenu si mmeruhusiwa kufunga ndoa za mashoga na wewe na Basha wako mmeishafunga Kanisani ameoshakununulia shanga?
Acha kuabudu shoga Allah na kibaraka wake mtume Mohammad S.A.W ndio wanakupa akili ya kubong'oa na kutatuliwa marinda fala wewe
 
UN ndiyo wamesema hivyo. Wamesema kuwa utafiti wao umeonesha itachukua miaka 350 kurudisha maisha ya Gaza kama yalivyokuwa.

Kama kifusi tu itachukua miaka 14, vipi kurudisha maisha ya kawaida pale Gaza?mhhh wacha uongo kifusi gan hicho cha miaka 14
 
Back
Top Bottom