Itaichukua muda mrefu Sana EAST AFRICA kupata m'badala wa chameleon

Itaichukua muda mrefu Sana EAST AFRICA kupata m'badala wa chameleon

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
3,411
Reaction score
4,435
Leo nimesikiliza nyimbo za Chameleon kama Jamila, Naumia, Shida za dunia na nyingine nyingi, nmegungua kua EastAfrica itaichukua muda mrefu Sana au isipate kabisa msanii aina ya josee, kutunga mashairi, Melody, ujumbe wa nyimbo zake ni kitu kinachoishi miaka na miaka.

Jamaa alikua anatunga nyimbo zenye meseji na melody za hatari

RESPECT
JOSE CHAMELEON
images (17).jpeg



Sasa hivi nyimbo hazina maadili wala ujumbe wowote WA kubadlisha jamii, wasanii ndio chanzo cha kubomoa maadili.
 
Back
Top Bottom