Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Kwenye madini kumetawaliwa na ushirikina na makafara tu, na hicho ndicho anachotumia Musukuma kutajirikaBila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt Msukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini.
Huyu jamaa yupo smart sana.
Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini.
Karibuni kutoa hoja
Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt Msukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini.
Huyu jamaa yupo smart sana.
Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini.
Karibuni kutoa hoja
Hebu tuweni serious wajameni.Nilidhani mungesema ktk bunge lijalo minimum qualifications iwe diploma na knowledge ya ICT iwe added advantageBila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt Msukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini.
Huyu jamaa yupo smart sana.
Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini.
Karibuni kutoa hoja
ndio, msukuma ni msomi mwenzetu saiviHuu utani unalenga nini? Msukuma huyuhuyu ndo awe Waziri wa madini?
Huyu mtu ambaye ametapeliwa na kile chuo feki si atatapeliwa na wahuni wabobezi huko dunianiBila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt Msukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini.
Huyu jamaa yupo smart sana.
Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini.
Karibuni kutoa hoja
Acheni utani Msukuma kasoma lini?ndio, msukuma ni msomi mwenzetu saivi
Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt Msukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini.
Huyu jamaa yupo smart sana.
Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini.
Karibuni kutoa hoja
ndio, msukuma ni msomi mwenzetu saivi
Kwenye madini kumetawaliwa na ushirikina na makafara tu, na hicho ndicho anachotumia Musukuma kutajirika
🤔🤔🤔🤔🤔🤔😝😝😝😝😝😝😝Bila kumung'unya maneno, wakuu mimi naona Itakua vyema Dkt Msukuma akiteuliwa kuwa waziri wa madini maana anauzoefu na mambo ya madini.
Huyu jamaa yupo smart sana.
Anaweza kuleta mageuzi kwenye sekta ya madini nchini.
Karibuni kutoa hoja
Mkuu michezo ipi? Ile ya kikatili ya kuwadhuru ndugu zetu albino kwa kuwakata sehemu ya viungo vyao vya miili? Na kisha kivitumia kishirikina katika biashara ya uchimbaji wa madini.Naunga mkono hoja.
King Dr. J.K Msukuma (Mb) anafaa sana kuwa waziri wetu wa madini! Anaijua michezo yote! (yote ndio)
Ukipata fedha kiasi, jaribu kuingia uwekezaji kwenye uchimbaji madini kwa level ya wachimbaji wadogo. Ndipo utaelewa namaanisha niniHoja yako ni kwamba hata wizara nzima na watendaji wake juu mpaka chini, ni wazoefu wa “ushirikina na makafara “ (Wizara ya Madini)
Mchawi anamjua mchawi mwenzie theory eeh?
*It takes one to know one.