Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Usichanganye simu na hela kwenye mfuko mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona demu ana miaka 30 halafu bikira? Huyo analiwa tigoHiyo nilishambiwaga na Bibi
Ukiona Uyoga uko freshi haujaliwa jua huo ni sumu
Au mti wa matunda polini haujaliwa na ndege jua ni sumu pia.
Hayo mengine yote kiasi fulani yangaingia akilini lakini hili la
Kujenga mjengo kiwanjani mahali alipotokea Shetani-Nyoka, mmmhmm!![emoji57]
Weka kitanda jikoniOsofio katika ubora wako. Ila paka anapenda kulala jikoni
Tozo haikukuumiza kichwa kweli?😄Kuhusu mboga za majani nakubaliana na wewe,babu aliniambia haitakiwi siku ipite bila kula aina 7 za mboga za majani na aina 7 ya matunda,mwanzo ilikuwa ngumu sana baadae nikaja kuzoea haipiti siku bila kufanya hivyo matokeo yake
1-huu ni mwaka 14 sijawahi kuumwa hata kichwa
2-sijawahi kutamani soda wala nyama
3-sijawahi kupaka mwili mafuta ngozi haikauki wala kupauka
4-mwili upo timamu sana
5-kwa siku napata choo mara 3
😃😃 Utajuaje kama na mimi ni miongoni mwa wanaokula keki ya taifaTozo haikukuumiza kichwa kweli?😄
Matunda yamejaa masokoni siku hizi matunda yanapatikana kipindi chote cha mwakaSawa
Tuambiane hayo matunda aina 7 unayapata wap kwa siku moja.? Hio ya kuamka asubhi wakati ndege wanàamka ndio waislam wao walishaijua zaman sana.wao wanaamka kabla nafikir hata ya ndege.na halal tena
Nyoka siyo Shetani wewe!
Neno Shetani maana yake ni nini??--- kwanza tuanzie hapo.
Dini ya kuandika makorokocho imewadanya sana aiseeNzi akiingia kwenye kinywaji mzamishe mara tatu maana ubawa mmoja anabeba dawa mwingine maradhi ila usimwage kinywaji.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Kila dini ina mungu wake, ila zote zina shetani yuleyuleNeno Shetani maana yake ni nini??--- kwanza tuanzie hapo.
Mwili wako hauja balance bado, unatakiwa upate choo mara 7 kwa sikuKuhusu mboga za majani nakubaliana na wewe,babu aliniambia haitakiwi siku ipite bila kula aina 7 za mboga za majani na aina 7 ya matunda,mwanzo ilikuwa ngumu sana baadae nikaja kuzoea haipiti siku bila kufanya hivyo matokeo yake
1-huu ni mwaka 14 sijawahi kuumwa hata kichwa
2-sijawahi kutamani soda wala nyama
3-sijawahi kupaka mwili mafuta ngozi haikauki wala kupauka
4-mwili upo timamu sana
5-kwa siku napata choo mara 3