Itakuwa jambo jema na la busara kama Serikali ya Tanzania itaifungia Twitter

Tcra wana mamlaka ya kufanya shughuli zao nje ya Tanzania? Kwa humu ndani wanaweza mkuu tena waanze na JF. Tujisajiri kwa kutumia kitambulisho cha NIDA. Hata kama user name ni nyingine lakini kitambulisho cha NIDA kitumike.

Hiyo yote ni ili watu waisifie serikali? Hapo ni kujirekebisha tu, unatumia vyombo vya dola kuua raia na kupora kura, kisha unakaa madarakani bila ridhaa ya umma, halafu unatengeneza sheria za kulinda madaraka haramu.
 
Unapoingia madarakani kwa kumwaga damu na kupora kura, ni lazima utengeneze sheria za kujilinda na huo ushindi haramu. Sehemu yoyote ambayo watawala wameingia madarakani kwa shuruti hutengeneza sheria za kuhakikisha wanakuwa salama kwa dhuluma zao.
 
tindo naona kama umekengeuka,mada inahusu Twitter kufungwa ili kudhibiti wapotoshaji. Watanzania walipiga kura Oktoba 28 na walishasahau habari za uchaguzi,maana kwamba WaTz hawaitaki Chadema ilijulikana mapema toka miaka mitatu nyuma. Maana walichokuwa wanakitaka kimepatikana. Ila la msingi jikite kwenye hoja.
 
Unapoingia madarakani kwa kumwaga damu na kupora kura, ni lazima utengeneze sheria za kujilinda na huo ushindi haramu. Sehemu yoyote ambayo watawala wameingia madarakani kwa shuruti hutengeneza sheria za kuhakikisha wanakuwa salama kwa dhuluma zao.
Watanzania wameamua na wamewachanganya sana.

Mimi naendelea kusema kwamba upinzani haupo Tanzania na ni kiinimacho.

Uchaguzi uliisha wiki ilopita sasa tujenge nchi.
 
Unafahamu kitu inaitwa VPN
 
VPN yaweza kuzuiwa kutumika Tanzania.

Nafikiri hiyo ndo hoja ya mtela mada ila kazunguka kwa kutumia Twitter.
Nafikiri unataka kuwapa kiwewe watumiaji wa Super Vpn, hoja iko wazi usilete maneno yako.
 
Maelezo yako yamenshangaza mno kiasi hata sijui niseme nini bila ya kufukuzwa katika jukwaa hili. Ndugu zangu watanzania nisaidieni hapa jamani! Sijui ndugu yetu huyu anaifananisha vipi China na Tanzania kiuchumi, kimaendeleo, ukubwa/ubabe katika dunia, na uchumi wa kujitegemea. Naona anataka tanzania tuige tembo kula boga zima.
 
Usiweke kila kitu kwenye bin kuna suala ya Recycling.

🙂
Nimeona nitakataka Tu za maandisha.

Kuna waste products za kufanyia recycling lakini si kwa pumba hizo za muanzisha thread.
 
Kwa zaidi ya wiki tatu Twitter ilikuwa haipatikani, Youtube, na.... Je kwa nini ilikuwa haipatikani mpaka utumie Vpn. Je Vpn haziwezi kuwa blocked? Richard
 
Unacho lalamikia huko Twitter ni ukweli unaokukera kuhusu uchaguzi huu. Sasa sijui ni hoja gani unazungumzia.
 
Watanzania wameamua na wamewachanganya sana.

Mimi naendelea kusema kwamba upinzani haupo Tanzania na ni kiinimacho.

Uchaguzi uliisha wiki ilopita sasa tujenge nchi.

2/3 hawakujitokeza kupiga, na hiyo 1/3 ilikuwa na kura za kwenye mabeg. Ingia tovuti ya tume kisha uangalie kama kuna matokeo kama ipasavyo. Sasa ukisema watanzania sijui unamaanisha nini. Tujenge nchi na wamwaga damu na wezi wa kura?
 
Kama wewe kweli unalipenda Taifa lako na hausambazi uongo mbona unatumia fake name humu?
Kama wewe ni msafi kwanini usitumie jina lako halisi?

Wewe ni punguani tu
 
Unacho lalamikia huko Twitter ni ukweli unaokukera kuhusu uchaguzi huu. Sasa sijui ni hoja gani unazungumzia.
Naomba unijibu hili swali,mtu anapost picha kifua cha mtu kimetobolewa na risasi nchi nne. Je risasi ya mm9 inaweza kutengeneza tundu la nchi nne? Mtu kama huyu nia yake nini? Na anapost maiti ya mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…