Uchaguzi 2020 Itakuwaje kama Lissu akashinda Urais bila kupata Wabunge wa kutosha?

Nawe Una ubongo ?!
Maswala mengine ni upotevu wa muda tu kuyajadili , kwa mtu anayejielewa anafahamu kabisa nani ni mshindi katika uchaguzi huu,

Ni utoto tu kukaa kujadili mambo ya kufikirika kama hili la mleta mada.
 
Hawezi kushinda hata akatambike. Hiyo ndio silaha yao kutoa matokeo fake na kuweka taharuki kwa raia. (Yote hayo yanafanyika nchi jirani). TCRA wamejipanga na vijana wako macho 24/7. Wengi wanaichukulia poa sana Tanzania, mtaona jinsi watakavyowaaibisha hao makuwadi wa toto tundu na mashoga wake.
 
Maswala mengine ni upotevu wa muda tu kuyajadili , kwa mtu anayejielewa anafahamu kabisa nani ni mshindi katika uchaguzi huu,

Ni utoto tu kukaa kujadili mambo ya kufikirika kama hili la mleta mada.
UmejuaJe mshindi kwa kiti kinachogombaniwa bado ?!
 
Wino mwekundu ishara ya msisitizo au?
 
Anawateua mawaziri wa ccm, kisha baada ya wiki anavunja BUNGE, wanarudia uchaguzi ulio huru na HAKI nchi nzima. Hapo CCM itaenda futi 1000 under, na itakuwa byebye.
 
Hapo hakuna mazingaombwe ya mchanga kuwa mchele...Shimo hatoboi wallah tena...
 
IQ za wabongo shida kwamba namba ya majimbo ndio ina determine ushindi wa Rais?
Zanzibar ina majimbo 50 ila kura zao zote hazizidi kura za mkoa mmoja tu wa Songwe ambao hauna majimbo hata 6!!

Mgawanyo wa majimbo haukufuata wingi wa watu tu bali jiografia na mahitaji mengine. Ndio maana licha ya CHADEMA/CUF kupata 40% ya kura zote za ubunge ila haikufikisha 35% ya viti vyote vya bungeni.

So hakuna correlation kati ya kura za urais na namba ya majimbo.
 
Acha uongo Mkapa alipata ngapi mwaka 2000? Je alishuka au asilimia zilipanda? Shida watoto mmejazana humu hamjui hata historia.

Trust me magu angekua anapata hizo 90% angeshakubali tume huru wala mgombea asingeenguliwa.

Mbona wameogopa Lissu kwenda kusini? Kma unajua una 90%?

Mnaandaa mazingira ya kuiba afu mseme magufuli kavunja rekodi. Anyway mnajipotezea muda tu maana kampeni za nini ssa ilihali mtaiba kura? Africa ni bara la giza haswaa
 
Tuwapigie wabunge wake kura za kishindo,hats wasiweze kutimiza azma yao mbaya.
 
Hawezi kuuliza kama Magu atashinda kutatokea nini? Ushindi wa ubunge kwa CCM ni 100%. CCM watapata at least 60% ya viti vya ubunge. Uraisi huenda Lissu akapata kati ya 20%-35% (p = 0.05).
Sasa kama unayomatokeo hayo nenda ushirikiane na natume mtutangazie ulikuwa unauliza nini wakati matokeo unayo usiwe kama shehe wa dar kumbe hakuchaguliwa alijichaguwa nawewe umepika matokeo
 
Kura za maoni za CCM zinakuhusu nini kama wewe siyo CCM. Au hujui mipaka. Sawa kusema tutaangalia upya kama kuna wabunge wa CCM wameiba kura, lakini kupitishwa kugombea siyo kazi ya upinzani.
Umekosea kuniqoute au?
 
Tujadili nini wakati inafahamika haiwezekani hata kwa bahati mbaya kushinda.
Pale kaongeza idadi ya wagombea tu ila mshindi anajulikana kila mtu anamjua hata wewe unamjua ni JPM
 
An idle mind is the devil's workshop...
Mkuu hauna kazi yankufanya ndio maana unawaza ujinga, hapa mtaani kwetu kuna zoezi la kusafisha mtaa. Nikuunganishe? Kukaa na kuwaza kuwa lissu ana chansi ya kushinda tena kwa kishindo ni wazi uko idle na umeamua kuwaza ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…