Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Wamezidiwa na idadi ya wagonjwa au sivyo?Hawa ni wagonjwa ambao hawana dalili ambazo ni severe/critical, ukienda na khali ambayo unadalili za awali madaktari wanakufukuza licha ya kwamba umeshapimwa na kuonekana una virusi
Sent using Jamii Forums mobile app