Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Large older population na pia hawakulichukulia hili suala kwa makini hadi ulivyosambaa sana. Yani wanakumbuka shuka wakati pamekucha.Hii ni hatari sasa Italy imeipiku China kwa idadi ya vifo baada ya leo vifo 400+ kuongezeka.
Hivi sababu pekee ni kuwa Italy wana idadi kubwa ya wazee? Najiuliza sehemu zingine za ulaya mbona hapapo hivyo.... Au kuna sehemu walienda wrong....All in all tusiwabeze sana coz huku kwetu ndo imepiga hodi.
God bless Italy
God bless Africa
God Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app