Italia yaipiku China kwa idadi ya vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Covid 19

Italia yaipiku China kwa idadi ya vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Covid 19

Hii ni hatari sasa Italy imeipiku China kwa idadi ya vifo baada ya leo vifo 400+ kuongezeka.
Hivi sababu pekee ni kuwa Italy wana idadi kubwa ya wazee? Najiuliza sehemu zingine za ulaya mbona hapapo hivyo.... Au kuna sehemu walienda wrong....All in all tusiwabeze sana coz huku kwetu ndo imepiga hodi.
God bless Italy
God bless Africa
God Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
😢😢😢
 
Bila ya ushahidi huu utakua ni udaku kama mwengine ila hawashindwi hawa washenzi kama wale waiughur wanawafanza vile unahisi wanashindwa na nn tena !?

Sent using My COVID-19

Wachina ni makatili sana aisee, Kwani hujaona clip zao jinsi wanavyofungiwa na kuburuzwa kwa nguvu
Hawana kuomba bali ni Amri tu na vitendo.

Wala halina ubishi hili, Kama unakumbuka wakati wanaanza viwanda kwa nguvu moja jinsi watu walikuwa wakihamishwa kwa nguvu waliokaidi waliuwawa na video zipo wakipigwa shaba.

Ulaya walionyesha kama ni propaganda au nini lakini ziliwekwa sana. Na hata juzi UK wanasema hatutaki kuwa kama China kufungiwa ndani na kufa


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Wanakula piza...mkate tu hawana immunity strong


Sent from my iPad using JamiiForums
 
That’s because Italy is reporting actual figures. Multiply what China has reported by atleast 5.​
Maybe lakn sidhani... Mi naona wameudhibiti hivi.... Hata wao at first figures were growing exponentially... Sasa hivi kasi yao imepungua...Juzi waliripoti kuhusu masomo kurejea.
 
Naona Irani nae anafukuzia kwa kasi nzuri..

Tafsiri ya haraka ninayopata ni kuwa china hali ilikua mbaya zaidi ila imefichwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
China ilikua hatari,lakini walichukua hatua mapema,miji ilifungwa,watu milioni 900 wakawa karatini,hamna kutoka,miji ikapuliziwa madawa kila Kona,system ya afya ya China Ni ya kijamaa,government centred,hivyo Ni rahisi kucontrol kuliko private sector based Kama italy.

Spain wao walichelewa kidogo,wamestuka juzi,wakataifisha hospital na vituo vya afya vyote,
Iran wao wamekataa kulockdown mini yao,na pia vikwazo vinawafanya wawe na upungufu wa vifaa tiba
 
Huu ugonjwa vijana wengi walikuwa wanafikiria ni kama mafuwa tu yani ukikupata kijana huwezi kufa wanaokufa ni wazee kwa sababu ya mapafu yao yashazeeka . Kumbe wanadanganyana sio kama walivio fikilia wao . Hivi vidudu vinanguvu na ukivipata cha kunza vinaenda kubana mapafu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni hatari sasa Italy imeipiku China kwa idadi ya vifo baada ya leo vifo 400+ kuongezeka.
Hivi sababu pekee ni kuwa Italy wana idadi kubwa ya wazee? Najiuliza sehemu zingine za ulaya mbona hapapo hivyo.... Au kuna sehemu walienda wrong....All in all tusiwabeze sana coz huku kwetu ndo imepiga hodi.
God bless Italy
God bless Africa
God Tanzania

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapo ujue wahudumu wa afya more than 2600 wamepata maambukizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom