Wamezidiwa na idadi ya wagonjwa au sivyo?Hawa ni wagonjwa ambao hawana dalili ambazo ni severe/critical, ukienda na khali ambayo unadalili za awali madaktari wanakufukuza licha ya kwamba umeshapimwa na kuonekana una virusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila ya ushahidi huu utakua ni udaku kama mwengine ila hawashindwi hawa washenzi kama wale waiughur wanawafanza vile unahisi wanashindwa na nn tena !?China wamewauwa wengi sana kwa makusudi
Wengi wamefungiwa ndani tena mpaka madirisha yamepigwa seal kabisa na hakuna kutoka wafe kwa njaa
Wanaokaidi wanapigwa sana
China hawana msalie hao ni kuuwa tu
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hatar mkuu... Halafu daily zinachange kwa pasi ndefundefu.
Nawaza walitumia mbinu gani... Wawape wengine mbinu hiyo.... Naona hata US vifo vipo juu kuliko waliorecover.Amazing China wagonjwa 80,000 recovered 70,000...!!
Kwakuwa nakupenda hutazurika mpenzi 😉Mungu tusaidie, hizo total deaths Italia ni hatari[emoji849][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmh wale wagonjwa wetu wamepona kwan?Mbona wanaopata corona hapa kwetu wanapona au sie tuna dawa?
Halafu huu ugonjwa wa macelebrate tu mbona makapu hapa sijasikia hata mmoja kapata
Sent using Jamii Forums mobile app