Mama Debora
JF-Expert Member
- Aug 30, 2018
- 1,482
- 2,600
Mungu tusaidie, hizo total deaths Italia ni hatari[emoji849][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Waitaly wameteseka Sana,na wameomba Sana msaada kwa washirika wake,kumbe washirika nao wako hoi,ikabidi mchina apeleke dawa na madaktari hukoMungu tusaidie, hizo total deaths Italia ni hatari[emoji849][emoji849]
Sent using Jamii Forums mobile app
Papa tayari yuko positive hahaHakika waitaliano hawatamsahau mjomba Corona mpaka mwisho wa ulimwengu huu na watamwandika kwenye vitabu vyao vya kumbukumbu
Sent using Jamii Forums mobile app
😢😢😢Hii ni hatari sasa Italy imeipiku China kwa idadi ya vifo baada ya leo vifo 400+ kuongezeka.
Hivi sababu pekee ni kuwa Italy wana idadi kubwa ya wazee? Najiuliza sehemu zingine za ulaya mbona hapapo hivyo.... Au kuna sehemu walienda wrong....All in all tusiwabeze sana coz huku kwetu ndo imepiga hodi.
God bless Italy
God bless Africa
God Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Noma aisee
Duh masikini...Na uzee wote ulePapa tayari yuko positive haha
Bila ya ushahidi huu utakua ni udaku kama mwengine ila hawashindwi hawa washenzi kama wale waiughur wanawafanza vile unahisi wanashindwa na nn tena !?
Sent using My COVID-19
Maybe lakn sidhani... Mi naona wameudhibiti hivi.... Hata wao at first figures were growing exponentially... Sasa hivi kasi yao imepungua...Juzi waliripoti kuhusu masomo kurejea.That’s because Italy is reporting actual figures. Multiply what China has reported by atleast 5.
Ndo hivyo mkuuHiyo graph mbona kama siielewi.
Yaani USA&UK na ujuaji wao wote ila idadi ya vifo ni kubwa kuliko waliopona?
China ilikua hatari,lakini walichukua hatua mapema,miji ilifungwa,watu milioni 900 wakawa karatini,hamna kutoka,miji ikapuliziwa madawa kila Kona,system ya afya ya China Ni ya kijamaa,government centred,hivyo Ni rahisi kucontrol kuliko private sector based Kama italy.Naona Irani nae anafukuzia kwa kasi nzuri..
Tafsiri ya haraka ninayopata ni kuwa china hali ilikua mbaya zaidi ila imefichwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hapo ujue wahudumu wa afya more than 2600 wamepata maambukiziHii ni hatari sasa Italy imeipiku China kwa idadi ya vifo baada ya leo vifo 400+ kuongezeka.
Hivi sababu pekee ni kuwa Italy wana idadi kubwa ya wazee? Najiuliza sehemu zingine za ulaya mbona hapapo hivyo.... Au kuna sehemu walienda wrong....All in all tusiwabeze sana coz huku kwetu ndo imepiga hodi.
God bless Italy
God bless Africa
God Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Lini Tena?,maana kwanza aliumwa,wakadai Ni flu,akaponaPapa tayari yuko positive haha
So sad aisee... Sijui lini watarudi hali yao ya kawaida waitaliano.