pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Yaani wadanganye kuwa hakuna ugonjwa, watu warudi katika maisha yao ya kawaida ...Mfano sasa hivi China wanadai kuwa maisha yamerudi kama kawaida! Ni uongo mtupu, wanaficha takwimu ili uchumi usizidi kuporomoka!
Fafanua zaidiMbinu walizotumia China hakuna nchi ya ulaya inaweza kutumia, kule wanafuata demokrasia/haki za binadamu ndio kinacho wacost
Udikteta umetumika zaidi ukikaidi unapigwa kipigo cha mbwa koko, huko Italy mtu asipofuata taratibu utamfanya nini?Fafanua zaidi
Haimake senseUdikteta umetumika zaidi ukikaidi unapigwa kipigo cha mbwa koko, huko Italy mtu asipofuata taratibu utamfanya nini?
Ujerumani hawahesabu watu waliokufa wakiwa na magonjwa mengine pamoja na korona.Amna, mbona German na Iran cases zao zinakaribia kufanana, lkn idad ya vifo ni tofauti kabixa?
Duh!!! Ndo maana nimejiuliza mbona idadi ya wagonjwa ujerumani ni wengi lakini vifo si sana..kumbe ndo wanafanya hivyo!!!Ujerumani hawahesabu watu waliokufa wakiwa na magonjwa mengine pamoja na korona.
Hapa naungana na wewe jamaa wapishi sana wa habari, kingine walikuwa wana tumia hiyo hydroxychloroquiene ila hawakusema walatangazia ulimwengu sijui kwannMfano sasa hivi China wanadai kuwa maisha yamerudi kama kawaida! Ni uongo mtupu, wanaficha takwimu ili uchumi usizidi kuporomoka!

Iran hawajapunguza kasi ya maambukizi mpaka sasaIran ndiyo walikuwa namba mbili kuwa na waathirika wengi baada ya China ila wameweza kupunguza kasi ya maambukizi.
Hizi nchi za China, Iran na Cuba zinashirikiana katika kutokomeza hili janga. Na kwa kiasi kikubwa wanafanikiwa ndiyo maana Italy wameomba msaada kutoka kwao.
Kosa lao ni kukubali 5g ya China ije ifungwe kwao na ndo hapo USA alikasirikaHii ni hatari sasa Italy imeipiku China kwa idadi ya vifo baada ya leo vifo 400+ kuongezeka.
Hivi sababu pekee ni kuwa Italy wana idadi kubwa ya wazee? Najiuliza sehemu zingine za ulaya mbona hapapo hivyo.... Au kuna sehemu walienda wrong....All in all tusiwabeze sana coz huku kwetu ndo imepiga hodi.
God bless Italy
God bless Africa
God Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
So USA ndo kafanya Italy wawe kwenye hali ile? Hebu funguka zaidi mkuuKosa lao ni kukubali 5g ya China ije ifungwe kwao na ndo hapo USA alikasirika
Sent using Jamii Forums mobile app
UNAUKUMBUKA MGOGORO WA HUAWEI YA CHINA NA MAREKANI?Wakuu hamjambo?
Nimekuwa nafuatilia kuhusu hili gonjwa la Corona kwa wataliano, naona linawapukutusha kama mti unavyopukutisha majani wakati wa kiangazi.
Idadi ya vifo inasoma 400+ kila siku,angalia hii record ya vifo kwa Jana na Leo, ambapo Jana tu uliua watu 475. Leo hii watu takribani 425 wamekufa.
Mungu awarehemu, maana kwa sasa wanawazidi wachina kwa visa vya vifo, ambapo china Ina record ya 3,225 lakini wataliano idadi inasoma 3,405
View attachment 1393285
Inaripotiwa kuwa hadi kufikia leo Alhamisi idadi ya vifo vitokanavyo na ugonjwa wa Covid 19 imefikia 3405 huku vifo vipya 427 vikitokea leo.
Aidha, idadi hiyo ya vifo nchini Italia inaipiku ile ya China ambapo vifo vilivyotokea ni 3245 tangu iliporipotiwa kwa muathirika wa kwanza mwishoni mwa waka jana.
Hivyo kwa msingi huo, inaonesha kuwa mpaka kufikia sasa taifa la Italia ndilo lililoathirika zaidi na virusi vya Corona ukilinganisha na China ambako ndiko virusi hivyo vilianzia.
===
Italy on Thursday overtook China’s coronavirus death toll, with 427 new fatalities taking its total since the first case was registered in February to 3,405.
China has officially reported 3,245 deaths since registering the first infection at the end of last year.
UNAUKUMBUKA MGOGORO WA HUAWEI YA CHINA NA MAREKANI?So USA ndo kafanya Italy wawe kwenye hali ile? Hebu funguka zaidi mkuu
Hizi ni takwimu za leoIran ndiyo walikuwa namba mbili kuwa na waathirika wengi baada ya China ila wameweza kupunguza kasi ya maambukizi.
Hizi nchi za China, Iran na Cuba zinashirikiana katika kutokomeza hili janga. Na kwa kiasi kikubwa wanafanikiwa ndiyo maana Italy wameomba msaada kutoka kwao.
Ni kampuni gani ya Marekani ambayo ni mshindani wa Huawei katika kutengeneza vifaa vya mawasilianoUNAUKUMBUKA MGOGORO WA HUAWEI YA CHINA NA MAREKANI?
China na Huwaei yake alipoanzisha Ile 5G ni Wuhan...ambapo ndipo first 5G testing bed....na kumbuka china ndo nchi pekee ilotengeneza 5g kwa sasa na ni teknolojia kubwa ya mawasiliano yenye kasi isiyo ya kawaida kitu ambacho kilimshtua mmarekani kwamba adui yake China ameweza vipi kuwa na uwezo wa kutengeneza 5g wakati yeye bado hajaweza?.halafu jiulize kwanini covid-19 ilianzia hapo hapo katika hilo jiji la wuhan...
Italy walikua washaanza ku install 5G ya china katika mikoa Yao ya kaskazini kama Milan..ukifuatilia pia corona imepiga sana kaskazini ya Italy na ndo ilikoanzia pia...soo hii 5G ndio cha kwanza kinachopigwa vita hapa pamoja na walioitengeneza iyo network
Ikumbukwe Nuclear war ikitokea Leo usifkirie itakua imesheheni mabomu kama yaliyopigwa Japan tuu,Bali vita kubwa itakayotokea itarindima kwa kurushiana magonjwa ya ajabu duniani...
Kuna kitu kinaitwa mind programming...ukiangalia zile movie za mazombie huoni kama ndio tulikua tunaanzaliwa kisaikolojia kupambana na magonjwa sugu yatayoadhiri watu wengi???.
Dunia ina mengi hii sababu ya italy kupigwa korona na mmarekani ni kwasababu walikubali China kunstall 5g network ulaya kitu ambacho marekani aliona kama chukizo kwake kwamba China anampiku na kumshinda na naanza kumsogelea polepole
#we must think out of box
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa shukrani mkuu... Lakini hili dude ni burden pia kwa US... Nimeona jana California wamefanya maamuzi magumu.UNAUKUMBUKA MGOGORO WA HUAWEI YA CHINA NA MAREKANI?
China na Huwaei yake alipoanzisha Ile 5G ni Wuhan...ambapo ndipo first 5G testing bed....na kumbuka china ndo nchi pekee ilotengeneza 5g kwa sasa na ni teknolojia kubwa ya mawasiliano yenye kasi isiyo ya kawaida kitu ambacho kilimshtua mmarekani kwamba adui yake China ameweza vipi kuwa na uwezo wa kutengeneza 5g wakati yeye bado hajaweza?.halafu jiulize kwanini covid-19 ilianzia hapo hapo katika hilo jiji la wuhan...
Italy walikua washaanza ku install 5G ya china katika mikoa Yao ya kaskazini kama Milan..ukifuatilia pia corona imepiga sana kaskazini ya Italy na ndo ilikoanzia pia...soo hii 5G ndio cha kwanza kinachopigwa vita hapa pamoja na walioitengeneza iyo network
Ikumbukwe Nuclear war ikitokea Leo usifkirie itakua imesheheni mabomu kama yaliyopigwa Japan tuu,Bali vita kubwa itakayotokea itarindima kwa kurushiana magonjwa ya ajabu duniani...
Kuna kitu kinaitwa mind programming...ukiangalia zile movie za mazombie huoni kama ndio tulikua tunaanzaliwa kisaikolojia kupambana na magonjwa sugu yatayoadhiri watu wengi???.
Dunia ina mengi hii sababu ya italy kupigwa korona na mmarekani ni kwasababu walikubali China kunstall 5g network ulaya kitu ambacho marekani aliona kama chukizo kwake kwamba China anampiku na kumshinda na naanza kumsogelea polepole
#we must think out of box
Sent using Jamii Forums mobile app
Maamuzi gani ayo..??Sawa shukrani mkuu... Lakini hili dude ni burden pia kwa US... Nimeona jana California wamefanya maamuzi magumu.
Google utapata details nyingiMaamuzi gani ayo..??