Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

Italy hali yazidi kuwa mbaya: Kabla hujalala tumia walau dakika moja kuwaombea kwa Mungu

ATHARI ZA #COVID19: TAKRIBANI WATU 969 WAFARIKI NCHINI ITALIA

Idadi hii ni kubwa kwa vifo vilivyotokea ndani ya siku 1 tangu mlipuko wa ugonjwa huu utangazwe

Hii inamaanisha kuwa hadi sasa takribani watu 9,134 wamefariki kwa #CoronaVirus ndani ya nchi ya Italia pekee yake. Mkuu

Serikali ya Italia imeamuru kufungwa kwa kila kitu na watu kutakiwa kukaa ndani ya nyumba zao. Kuna wasiwasi kuwa zuio hili huenda likazidi tarehe 4 mwezi Aprili, 2020

#JFCovid19

=======
Italy has recorded 969 new coronavirus deaths, its highest daily figure in the outbreak so far.

It means 9,134 people have now died from the virus in the country.

Earlier World Health Organization chief Dr Tedros Adhanom Ghebreyesus said a "chronic global shortage" of protective equipment was one of the "most urgent threats" to the ability to save lives.

Italy is the worst-affected in Europe. Almost everything has been closed and people told to stay at home.

Earlier on Friday, authorities warned that restrictions were likely to be extended beyond 3 April.

======

Aiseee. Kwa update ya dakika 15 zilizopita zinaonesha US leo imepata maambukizi mapya 11,533 wakati Italy wakipata vifo vipya 919.

Yaani ni kama moto nyikani.
 
Mimi nahisi hicho kirusi kimemutate yaani kilichopo italy na spain kimeongeza makali
 
Kuna kitabu kimoja kinaitwa,SATAN BUG,,yaani ukikisoma hicho ndo utajua hatari ya biological weapons,,yaani Bora silaha za kikemikali baada ya kupigwa baadae Hali inakua clear.satan bug kijiko kimoja tu kikiachiliwa,nusu ya wanadamu duniani wanapotea within one month
Pole sana
 
"utajua hatari ya biological weapons,,yaani Bora silaha za kikemikali "

Tofauti ya Biological weapons na silaha za kikemikali ni ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
US sasa ni 98, 080 Time 22:23 EAT
Screenshot_2020-03-27-22-21-57.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee. Kwa update ya dakika 15 zilizopita zinaonesha US leo imepata maambukizi mapya 11,533 wakati Italy wakipata vifo vipya 919.

Yaani ni kama moto nyikani.

Sisi tumeaminishwa ni ka upepo tu katapita.

Na kutuchanganya zaidi tukaahidiwa kimagumashi magumashi, uchaguzi mkuu uko palepale.

Uchaguzi mkuu wanini wakuu? Kwanini hiyo budget isiwe reallocated kuokoa watu huku ambako tayari wenzetu wananyolewa?
 
Back
Top Bottom