BEDUI Jr
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 2,041
- 2,846
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka unatamani atangaze lockdown ya wiki 3JPM angebadiri msimamo kwa muda kuangalia matokeo ya nchi jirani, hii kujiaminisha corona ni kama mafua tunajiweka kwenye risk
Angebadiri[emoji735]
Angebadili[emoji3514]
Wapuuzi kama wewe mnaniudhi sana, kuandika tu hujui halafu eti unamshauri raisi.
Stupid
Pole sanaKuna kitabu kimoja kinaitwa,SATAN BUG,,yaani ukikisoma hicho ndo utajua hatari ya biological weapons,,yaani Bora silaha za kikemikali baada ya kupigwa baadae Hali inakua clear.satan bug kijiko kimoja tu kikiachiliwa,nusu ya wanadamu duniani wanapotea within one month
Siamini sana katika hili, Mungu ni Mungu wa rehemahii ndio ile judgement juu ya haya mataifa...wala msihofu, Mungu ana control haya yote, na bado. Hatuna nguvu yoyote Africa ila tutapigana na huu ugonjwa kwasababu Mungu yupo na sisi. Mungu huwa hafurahii uonevu....sasa ameanza kulipa taratibu.
"utajua hatari ya biological weapons,,yaani Bora silaha za kikemikali "Kuna kitabu kimoja kinaitwa,SATAN BUG,,yaani ukikisoma hicho ndo utajua hatari ya biological weapons,,yaani Bora silaha za kikemikali baada ya kupigwa baadae Hali inakua clear.satan bug kijiko kimoja tu kikiachiliwa,nusu ya wanadamu duniani wanapotea within one month
Ndani ya mwezi huu watu elfu 23 wamefariki dunia yote.
Mpaka april 1 huenda dunia yote vifo vikafika 30k+ maana kwa hesabu za haraka watu zaidi ya 1500 huenda kila siku wanafariki.
Aiseee. Kwa update ya dakika 15 zilizopita zinaonesha US leo imepata maambukizi mapya 11,533 wakati Italy wakipata vifo vipya 919.
Yaani ni kama moto nyikani.