sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
rais ajae akiwa mzanzibar ni nani unaona anafaa kuwa makamu wa rais??
Binafsi naona Makamba atafaa
Binafsi naona Makamba atafaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nkuu, Tanganyika ilipotea tangu 1964 ilipozalizaliwa TanzaniaHivi wazanzibar wanaweza wakawa na uzalendo usio na shaka Kwa Tanganyika?
Namaanisha eneo la ardhi la Tanganyika na waishio humo!Nkuu, Tanganyika ilipotea tangu 1964 ilipozalizaliwa Tanzania
Kwani Rais wa sasa ametoka wapi? Je Mpango hafai?rais ajae akiwa mzanzibar ni nani unaona anafaa kuwa makamu wa rais??
Binafsi naona Makamba atafaa
Ondoa huo uchafu
Duh mshikaji unaujasiri mkubwa sana,huyu bwana anavyoandamwa huku mitandaoni kua sio msafi halafu leo unakuja mpigia chepuo la makamu wa rais,umelipwa kiasi gani mpaka kujitoa ufahamu kiasi hiki?rais ajae akiwa mzanzibar ni nani unaona anafaa kuwa makamu wa rais??
Binafsi naona Makamba atafaa