Itapendeza na inawezekana rais ajae awe mzanzibar, ni nani atafaa kuwa makamu wa rais kutoka Tanzania bara

Itapendeza na inawezekana rais ajae awe mzanzibar, ni nani atafaa kuwa makamu wa rais kutoka Tanzania bara

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
rais ajae akiwa mzanzibar ni nani unaona anafaa kuwa makamu wa rais??

Binafsi naona Makamba atafaa
 
1639748334108.png
 
rais ajae akiwa mzanzibar ni nani unaona anafaa kuwa makamu wa rais??

Binafsi naona Makamba atafaa
Duh mshikaji unaujasiri mkubwa sana,huyu bwana anavyoandamwa huku mitandaoni kua sio msafi halafu leo unakuja mpigia chepuo la makamu wa rais,umelipwa kiasi gani mpaka kujitoa ufahamu kiasi hiki?
 
Back
Top Bottom