sky soldier JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 5,407 Reaction score 19,264 Dec 17, 2021 #1 rais ajae akiwa mzanzibar ni nani unaona anafaa kuwa makamu wa rais?? Binafsi naona Makamba atafaa
Bome-e JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 17,179 Reaction score 26,188 Dec 17, 2021 #2 Hivi wazanzibar wanaweza wakawa na uzalendo usio na shaka Kwa Tanganyika?
sky soldier JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 5,407 Reaction score 19,264 Dec 17, 2021 Thread starter #3 Bome-e said: Hivi wazanzibar wanaweza wakawa na uzalendo usio na shaka Kwa Tanganyika? Click to expand... Nkuu, Tanganyika ilipotea tangu 1964 ilipozalizaliwa Tanzania
Bome-e said: Hivi wazanzibar wanaweza wakawa na uzalendo usio na shaka Kwa Tanganyika? Click to expand... Nkuu, Tanganyika ilipotea tangu 1964 ilipozalizaliwa Tanzania
sky soldier JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 5,407 Reaction score 19,264 Dec 17, 2021 Thread starter #4
Bome-e JF-Expert Member Joined Jan 3, 2014 Posts 17,179 Reaction score 26,188 Dec 17, 2021 #5 sky soldier said: Nkuu, Tanganyika ilipotea tangu 1964 ilipozalizaliwa Tanzania Click to expand... Namaanisha eneo la ardhi la Tanganyika na waishio humo!
sky soldier said: Nkuu, Tanganyika ilipotea tangu 1964 ilipozalizaliwa Tanzania Click to expand... Namaanisha eneo la ardhi la Tanganyika na waishio humo!
Kasunguranyama JF-Expert Member Joined Feb 12, 2020 Posts 499 Reaction score 368 Dec 17, 2021 #6 Mimi Katoros niko vzr sana
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 97,869 Reaction score 171,716 Dec 17, 2021 #7 Paul Makonda!
I Izia maji JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 2,997 Reaction score 5,385 Dec 17, 2021 #8 sky soldier said: rais ajae akiwa mzanzibar ni nani unaona anafaa kuwa makamu wa rais?? Binafsi naona Makamba atafaa Click to expand... Kwani Rais wa sasa ametoka wapi? Je Mpango hafai?
sky soldier said: rais ajae akiwa mzanzibar ni nani unaona anafaa kuwa makamu wa rais?? Binafsi naona Makamba atafaa Click to expand... Kwani Rais wa sasa ametoka wapi? Je Mpango hafai?
tang'ana JF-Expert Member Joined Apr 3, 2015 Posts 11,931 Reaction score 15,849 Dec 17, 2021 #9 sky soldier said: View attachment 2047576 Click to expand... Ondoa huo uchafu
Jephta2003 JF-Expert Member Joined Feb 27, 2008 Posts 6,590 Reaction score 6,355 Dec 18, 2021 #10 sky soldier said: rais ajae akiwa mzanzibar ni nani unaona anafaa kuwa makamu wa rais?? Binafsi naona Makamba atafaa Click to expand... Duh mshikaji unaujasiri mkubwa sana,huyu bwana anavyoandamwa huku mitandaoni kua sio msafi halafu leo unakuja mpigia chepuo la makamu wa rais,umelipwa kiasi gani mpaka kujitoa ufahamu kiasi hiki?
sky soldier said: rais ajae akiwa mzanzibar ni nani unaona anafaa kuwa makamu wa rais?? Binafsi naona Makamba atafaa Click to expand... Duh mshikaji unaujasiri mkubwa sana,huyu bwana anavyoandamwa huku mitandaoni kua sio msafi halafu leo unakuja mpigia chepuo la makamu wa rais,umelipwa kiasi gani mpaka kujitoa ufahamu kiasi hiki?
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 9,863 Reaction score 20,806 Dec 18, 2021 #11 Emmanuel Nchimbi!!