Itapendeza sana Simba SC ikifuzu kucheza FIFA Club World Cup 2025

Embu jaribu kuwaza Simba ifanikiwe kufuzu kwenye mashindano ya FIFA Club World Cup 2025 yanayotarajiwa kufanyika Marekani.

Embu waza night kali flani hivi, Tanzania nzima mijini hadi vijijini ndani ndani huko kila mtanzania anakesha kuisubiri mechi ya Simba vs Real Madrid, oya weee. Halafu unajua lazima Infantino na FIFA yake wataipanga Simba kwenye mechi ya ufunguzi maana wanajua vibe letu litafika hadi huko.

Inshallah, kama nitabarikiwa kuwa hai kama Simba itafuzu haya mashindano lazima niyaone live bila chenga.
Simba hii hii iliyocheza na KMC juzi au nyingine?
 
Ujinga mwingine banah.... Yaani timu Ina point 45, wakati Kuna timu zina point 75,50+ na zinakwenda kufuzu kuingia robo fainal mpka nusu fainal... Afu mpuuzi mmoja anakuja na ndoto za timu inayochechemea hata kufuzu robo tu!.
 
Hiyo orodha ukiangalia vizuri bado kidogo tungesema tuwasaidia utopolo muwafunge CRB ili wasiongeze points ila kwa kuwa mna viburi tunasema lolote baya liwakute, sisi tutajua jinsi gani ya kufuzu
Huna akili yaani point 40 ukafuzu mbele ya timu iliyo na point 75?.
 
Sio uganga wa kienyeji au kuchoma nyasi viwanja!
INAWEZEKANA!!

Hizo points huwa zinashuka na kupanda.

Ngoja msimu uishe.

Kwani nyie wazee wa 5-1 mpaka Sasa mna point ngapi!!

😂😂😂😂
 
Embu jaribu kuwaza Simba ifanikiwe kufuzu kwenye mashindano ya FIFA Club World Cup 2025 yanayotarajiwa kufanyika Marekani.

Embu waza night kali flani hivi, Tanzania nzima mijini hadi vijijini ndani ndani huko kila mtanzania anakesha kuisubiri mechi ya Simba vs Real Madrid, oya weee. Halafu unajua lazima Infantino na FIFA yake wataipanga Simba kwenye mechi ya ufunguzi maana wanajua vibe letu litafika hadi huko.

Inshallah, kama nitabarikiwa kuwa hai kama Simba itafuzu haya mashindano lazima niyaone live bila chenga.
Njia pekee ya club za Tanzania kucheza club world cup ni kuchukua ubingwa wa CAF kwa vigezo vya rankings mlima ni mrefu sana au kufupisha maneno haiwezekani
 
INAWEZEKANA!!

Hizo points huwa zinashuka na kupanda.

Ngoja msimu uishe.

Kwani nyie wazee wa 5-1 mpaka Sasa mna point ngapi!!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli points zina shuka na kupanda lakini ukitazama timu zilizopo mbele ya Simba zinashiriki CCL msimu huu na zina muelekeo mzuri
 
Simba ni timu Kubwa, wa kimataifa zaidi.

Nyie endeleeni na makombe yenu ya mbuzi.
Labda ni kwa Tanzania tu ila hakuna club duniani haitaki kuchukua domestic trophies ikitokea mchezaji au kocha kaingia kwenye tuzo wana angalia performance ya season kuanzia mashindano ya ndani na nje ndio maana Victor Osimeni amekua CAF player of the year mwaka huu
 
Embu jaribu kuwaza Simba ifanikiwe kufuzu kwenye mashindano ya FIFA Club World Cup 2025 yanayotarajiwa kufanyika Marekani.

Embu waza night kali flani hivi, Tanzania nzima mijini hadi vijijini ndani ndani huko kila mtanzania anakesha kuisubiri mechi ya Simba vs Real Madrid, oya weee. Halafu unajua lazima Infantino na FIFA yake wataipanga Simba kwenye mechi ya ufunguzi maana wanajua vibe letu litafika hadi huko.

Inshallah, kama nitabarikiwa kuwa hai kama Simba itafuzu haya mashindano lazima niyaone live bila chenga.
Pambana na KMC kwanza
 
Back
Top Bottom