Itashangaza Dunia kama Waziri wa Afya na Naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri

Wana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa.

Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua wadudu wa Covid 19, hii ni sababu hawa virus wakiingia kwa binadamu huingia moja kwa moja kwenye mfumo wa kupumua( mapafu) hivyo hata ukijifukiza ni ngumu kuwaua huko ndani ya mapafu.

Mwaka huu baada ya dalili kuwa hili janga limerudi Tanzania kwa namna nyingine,maana inadaiwa sasa hivi kirusi cha korona kimejibadili. Tumeshuhudia madaktari wawili ambao wanasimamia wizara ya afya wakisisitiza watu kujifukiza. Je hawa watu kwa nini hawakutoa ushauri wa kitaalamu unaozingatia taaluma yao kama Faustine Ndugulile?

Leo hii toka watoe demostrantion namna ya kujifukiza hali inaonekana kuwa mbaya. Maana vifo vya vigogo mpaka makabwela vinazidi kupamba moto. Na tatizo ni hilo la kukosa uwezo wa kupumua.

Karne ya ishirini na moja kuongozwa na wasomi ambao hawezi kusimamia taaluma yao na kumshauri rais namna ya kukabiliana na magonjwa kisayansi ni aibu kubwa. Mawaziri hawa wawili wasisubiri vifo vya watanzania iwe sababu ya wao kujiuzulu.

Mkuu ni kweli lazima wawajibike,mfano sasa hivi huku kanda ya kaskazini chanjo ya polio ya matone haipo kabisa mahospitalini. Jaribu kufikiria hii chanjo ilivyo na umuhimu
 
Basi nasikia mitihani ya udaktari ,vyuo vingi Russia kama vile Patrice Lumumba University na vingine maswali yao mengi huwa ni ya 'multiple choice'... labda ndo product zake.
Sidhani Kama hilo ndo tatizo kwani hata medical school yetu Bora MUHAS, mitihani ni multiple choice. Hii ni sawa na vyuo vya US , Hata mitihan ya USMLE huwa ni ' multiple choice'. Tatizo la Russia linaanzia kwenye mtaala.
 
Wana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa.

Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua wadudu wa Covid 19, hii ni sababu hawa virus wakiingia kwa binadamu huingia moja kwa moja kwenye mfumo wa kupumua( mapafu) hivyo hata ukijifukiza ni ngumu kuwaua huko ndani ya mapafu.

Mwaka huu baada ya dalili kuwa hili janga limerudi Tanzania kwa namna nyingine,maana inadaiwa sasa hivi kirusi cha korona kimejibadili. Tumeshuhudia madaktari wawili ambao wanasimamia wizara ya afya wakisisitiza watu kujifukiza. Je hawa watu kwa nini hawakutoa ushauri wa kitaalamu unaozingatia taaluma yao kama Faustine Ndugulile?

Leo hii toka watoe demostrantion namna ya kujifukiza hali inaonekana kuwa mbaya. Maana vifo vya vigogo mpaka makabwela vinazidi kupamba moto. Na tatizo ni hilo la kukosa uwezo wa kupumua.

Karne ya ishirini na moja kuongozwa na wasomi ambao hawezi kusimamia taaluma yao na kumshauri rais namna ya kukabiliana na magonjwa kisayansi ni aibu kubwa. Mawaziri hawa wawili wasisubiri vifo vya watanzania iwe sababu ya wao kujiuzulu.
Ummy mwalimu alikuwa mwañamke jasiri. Huyo Dorothy Gwajima na Godwin mollel mungu anawaona. Na wote wawili kwenye msiba huu wanashangaa tu.
 
Na kirusi cha sasa kinapatikana hadi kwenye haja kubwa

Sijui tutatokea wapi

Yani ukipumua juu kipi chini kipo [emoji848]
Tushukuru Mungu amesikia maombi yetu. "Denialism" kuhusu corona haitatusaidia. Tunahitaji mwelekeo mpya.
 
Ngoja nikukumbushe ulivyo mtupu sana kichwani, kama na wewe unajihesabu kuwa na ufahamu juu ya swala lolote.

Chukua mfano wa mada hii, ambayo kichwa chake cha habari ni cha kipuuzi kabisa:
"Itashangaa dunia kama waziri wa afya na naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri."

Huu mfano tu unaonyesha jinsi gani elimu yako ilivyo ya chini.

Kukukumbusha msukumo unaokusumbua na kuleta mada za kipuuzi kama hizi - wizara hiyo inaye pia Katibu Mkuu , tena ambayeangestahiri zaidi umshikie bango atimuliwe kazi, lakini kwa sababu ni mmoja wenu husemi lolote juu yake.

Kukuonyesha ulivyo mjinga zaidi, unaandika "hawatafukuzwa kazi"! Halafu kwenye mada unabwabwaja kivyako na kusahau ulitaka kuandika nini! Unakwepa kuelekeza lawama inakostahiri kwa upofu unaokuzima akili.

Nadhani inatosha kuhangaika na kupoteza muda na mtu kama wewe.

Ila najua bila ya shaka yoyote kwamba sasa unanielewa barabara. Iliyobaki ni ubishi wa kipuuzi tu. Una akili ya kutosha ya kutosahau niliyokufundisha humu JF.
Mbona kumtusi mwenzako wakati anapo toa hoja muhimu.. tanzania ndio ijitoe kwa umasikini na unyuma ina hitaji mawazo ya unaye mtusi. ila mawazo kama yako ndio yameifanya tz ikabaki nyuma kwa kila njia. nishasema mara nyingi ya kuwa tz kutokana na mali mliyo nayo madini ardhi kubwa etc basi mnapaswa kuwa nchi tajiri sana hapa africa.... lakini baadhi ya watu wanao fikira za kipumbavu na za kinyuma nyuma kama wewe wanairudisha nyuma......Unaye mtusi ana mazo mema kama ya mkenya
 
Wewe ni wa 'Kenya'?

Sioni tatizo kwako kutetea hayo aliyoandika, kwa sababu watu wa namna hiyo ndio mnaowapenda sana huko kwenu mkidhani mtapata kutupiwa mifupa kama mbwa.

Kwa hiyo, sioni tatizo sana kwako na yeye kuwa pamoja.
 
Wana Jf kwa jinsi tulivyo katika kipindi kigumu ambacho kimezua hofu kwa kila mtu ni wazi kuwa Waziri wa afya na naibu wake hawastahili kuwepo kwenye hii nafasi mpaka sasa.

Mwaka jana bila kupepesa macho Dk Faustine Ndugulile alieleza ukweli umma wa Watanzania kuwa kujifukisha hakuwezi kuua wadudu wa Covid 19, hii ni sababu hawa virus wakiingia kwa binadamu huingia moja kwa moja kwenye mfumo wa kupumua( mapafu) hivyo hata ukijifukiza ni ngumu kuwaua huko ndani ya mapafu.

Mwaka huu baada ya dalili kuwa hili janga limerudi Tanzania kwa namna nyingine,maana inadaiwa sasa hivi kirusi cha korona kimejibadili. Tumeshuhudia madaktari wawili ambao wanasimamia wizara ya afya wakisisitiza watu kujifukiza. Je hawa watu kwa nini hawakutoa ushauri wa kitaalamu unaozingatia taaluma yao kama Faustine Ndugulile?

Leo hii toka watoe demostrantion namna ya kujifukiza hali inaonekana kuwa mbaya. Maana vifo vya vigogo mpaka makabwela vinazidi kupamba moto. Na tatizo ni hilo la kukosa uwezo wa kupumua.

Karne ya ishirini na moja kuongozwa na wasomi ambao hawezi kusimamia taaluma yao na kumshauri rais namna ya kukabiliana na magonjwa kisayansi ni aibu kubwa. Mawaziri hawa wawili wasisubiri vifo vya watanzania iwe sababu ya wao kujiuzulu.
chagu wa malunde, nimesoma andiko lako naona bado lina tija.

Hata kama Rais SSH hataki mivutano, nadhani awabadilishe tu hawa Waziri Gwajima na Naibu Mollel.

Hawamfai kabisa kwa namna tulivyofanya U-TURN kwenye approach ya COVID 19.

Awape tu Wizara nyingine Ila AFYA hawa wawili HAWAFAI kabisa
 
Unachoshindwa kutambua ni kuwa hata aliyewateua alikuwepo tena akiwa boss wao wakati wakifanya hayo, naye a-resign? Huwa mnatumia nini kufikiria?
 
Ni ushauri tu, na wala usidhani kuwa kwa vile mteuzi ni Rais basi ana akili kuliko wewe na sisi, la hasha.

Tunatumia tu uhuru wetu wa maoni na kujieleza aliiturudishia Rais SSH baada ya Mwendazake kuunyang'anya kwa miaka 5
 
Back
Top Bottom