Itashangaza Dunia kama Waziri wa Afya na Naibu wake hawatafukuzwa kazi ya uwaziri

Fungua mafaili yako yote kama utaona kuna kumbukumbu nilisapoti nyungu. Mbowe hana lolote zaidi ya kukariri habari za lockdown.
 
ITASHANGAZA DUNIA KUONA MPAKA SASA CHAMA KINACHOIJIITATA CHA KIDEMOCRASIA KINAKUWA NA MWENYEKITI WA KUDUMU ZAIDI YA MIAKA 20 HALAFU WANACHAMA WAKE HAWAKOSOI CHOCHOTE.
 
Hamna kitu bado naona ni hila za mabepari... Yote tisa chanjo kwangu bado sio salama na hata kwa bunduki sitochomwa
 
Hongera kwa Mara nyingine tena chagu wa malunde kwa kuwa mkweli. Mimi ni mkosoaji wako mkuu katika mambo mengi lakini unaposimamia ukweli lazima nikupe heko zako.

Kweli Katibu Mkuu Prof Mchembe ndiyo chanzo cha tatizo. Yeye ndiye aliyepeleka sampuli za oil chafu na mapapai kule National Health Lab.

Ni ajabu wasomi wa hali ya juu wanasaliti usomi wao kumfurahisha Meko
 
Ingekuwa sehemu nilipo petition ishatembea na watu wamejiuzulu.

Lakini watu walishawahi kunukuliwa bungeni wanaweza kumtoa mtu roho wabaki bungeni,maana ni patamu!

Cc Dr Dorothy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…