Itatokea nini tukiamua tusilipe deni la Taifa Tsh Trilioni 100?

Itatokea nini tukiamua tusilipe deni la Taifa Tsh Trilioni 100?

Hivi ikatokea tukaamua tu tuwaingize mjini haya mabeberu yanatukopesha mamikopo kwa fujo kama ugomvi na tusiwalipe tu, watatufanya nini kwani? Ukiacha kukamata ndege, watafanya nini?
Unacho takiwa kuomba Dollar ianguke kifo cha mende kama trend inavyo kwenda kwahiyo itakuwa nafuu kwetu titaweza kulipa bila kuumia sana.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Ndugu yangu, kukopa pesa kwa riba ili ulipe mkopo mwingine tena wenye riba, utajikuta deni linakuwa na huna unalofanya, tufanye maamuzi magumu tu..., kama ni kuuzwa waje watupige mnada tu, lakini hakuna tena kulipa
Kwani tushafika 100?
 
Mama anatupeleka wapi?? Maana hizi hela anazokopa hazionekani zinakokwenda.
Hujaona mijengo inavyomea kama uyoga nowdays? Filling station?

Discovery, Range na Land zimekuwa kama IST siku hizi.

Vitu havijapanda bei kwasababu ya hali ya dunia, pesa zisizo na mwenyewe ziko kwa wenyewe, wananunua bila kuuliza bei!
 
Sisi ni wahitaji siku zote hatuna ujanja wa kukwepa kulipa na ikitokea tukafanya hivyo unavyofiiri wewe haitatuchukua hata miezi mitatu tutahitaji kukopa tena,umasikini ni adui namba 1 mwa mwanadamu
 
Unacho takiwa kuomba Dollar ianguke kifo cha mende kama trend inavyo kwenda kwahiyo itakuwa nafuu kwetu titaweza kulipa bila kuumia sana.

Sent from my SM-S901B using JamiiForums mobile app
 
Hawana shida hizo ni pesa ndogo Sana kwao, watakaoathirika labda viongozi KWA maana wao ndio wanufaika wa mikopo
 
Tangu UHURU wanakopesha tu hawana shida tofauti na mchina
 
Hivi ikatokea tukaamua tu tuwaingize mjini haya mabeberu yanatukopesha mamikopo kwa fujo kama ugomvi na tusiwalipe tu, watatufanya nini kwani? Ukiacha kukamata ndege, watafanya nini?
Mkulima mmoja aliyekuwa anadai serikali vibilioni vichache tu alizuia ndege zetu Afrika Kusini….umeshapata picha?
 
Ndugu yangu, kukopa pesa kwa riba ili ulipe mkopo mwingine tena wenye riba, utajikuta deni linakuwa na huna unalofanya, tufanye maamuzi magumu tu..., kama ni kuuzwa waje watupige mnada tu, lakini hakuna tena kulipa
Umezoea uhuni huu kitaani pako sio kwenye jumuiya ya kimataifa.
 
Mkulima mmoja aliyekuwa anadai serikali vibilioni vichache tu alizuia ndege zetu Afrika Kusini….umeshapata picha?
Sasa tukishakaidi kulipa ndege si tunapeleka nchi rafiki pekee
 
Nasemaje, kama Simba na Tembo watapandishwa ndege potelea mbali, wacha waende wote, watazaliana wengine, ila hakuna tena kulipa hili deni, limeshakuwa toxic, riba inazidi deni halisi sasa...
Na vivutio tutaenda wenyewe
 
Back
Top Bottom