inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Inasemekana!!?..na mnataka muaminiwe kwa maneno ya kusemekana!?..anapokea hela kwenye mabegi,kila siku,toka kwa nani!?..ni pesa haramu!?..acheni unafikiri na uchakubimbi,haipendezi kwa mtu mwenye korodani na ndevuWatu watakuja humu kuulizia ushahidi. Yaani the charge of life style pekee haziwezi kuwapa majibu. Mke wa Bashe inasemekana anapokea pesa kwenye mabegi.
Kuna haja ya kuanza kuwafangia viongozi wetu LIFE STYLE AUDIT.
Duuh basi hiyo biashara ina faida sanaAkizungumza mbele ya Maelfu ya wananchi huko Itigi, Tundu Lissu, huku akijiamini kupita kawaida, amesema kwamba, baada ya Rushwa hiyo Kabambe, Wafanyabiashara hao wakaruhusiwa kuongeza shilingi elfu 1 kwenye kila kilo na kuvuna hela haramu Bil 27 kwa kila mfanyabiashara, hela hizi zilitokana na kukamuliwa Watanzania ambao mara zote wanaitwa Wanyonge.
Lissu amedai kwamba Vibali hivyo vilitolewa kwa Marafiki na Jamaa zao wa Karibu katika mpango Muruwa wa Nifae leo nikufae kesho .
Kwa vile Sakata hili ndio kwanza limeanza basi Jitahidi sana kubaki hapa JF ili kujua Mnyororo wote wa Waliohusika, kuanzia Serikalini hadi kwenye Bodi ya Sukari.
Liwalo na Liwe
View attachment 3019630
=====
Pia soma:
- Luhaga Mpina na Tundu Lissu, msiishie kwenye sukari tu, bali chunguzeni na biashara ya kukopesha mitandaoni
Kwa hiyo wanampuuza hivi sasa kwani Zamani hawakumpuuza? Au unasemaje Chawa?hiyo ya kusadikika ndio watu wa Itigi hawataki kama waTz wengine wanavyompuuza hivi sasa 🐒
hiyo ingine ya laki5 ni upotoshaji na uongo wa wazi, ama ni kwa makusudi ama kwa kutokujua lakini ni useless 🐒
hapana fomu CCM ya gharama ya laki5, ya kuchukua ama kurudisha kamanda 🐒
Huyo ni mkoloni mmoja tuliye fanikiwa kumng'oa; kazi sasa ni kumng'oa huyu MKOLONI mpya, CCM. Naamini atang'oka tu!Sijui kwa nini mkoloni mzungu alifukuzwa kwa mbwembwe nyingi vile enzi hizo
Mkuu 'Tlaa', una kazi ngumu mno. Na itaendelea kuwa ngumu kwelikweli kadri tunavyo elekea 2025.watu wa Itigi ni watu wa maana na wa muhimu sana,
walimpuuza jamaa wakati alijaribu kuzungumza kwa hisia sana, habari ya sukari, alipowasoma hata hawamtazami, ikabidi na kumlazimu abadili hoja kwa haraka sana, baada ya kustudy facial expressions na body languages za hadhira ya wana Itigi, kwamba sukari sio issue kwao....
vinginevyo angeendelea kuwaeleza vitu ambavyo si vya muhimu kwao, wangemuacha aongee pekeyake tu jukwaani 🐒
Hakuna jipya kama mlimchukua marehemu lowassa nazo hizi pia ni porojo kama za mwembe yanga!Akizungumza mbele ya Maelfu ya wananchi huko Itigi, Tundu Lissu, huku akijiamini kupita kawaida, amesema kwamba, baada ya Rushwa hiyo Kabambe, Wafanyabiashara hao wakaruhusiwa kuongeza shilingi elfu 1 kwenye kila kilo na kuvuna hela haramu Bil 27 kwa kila mfanyabiashara, hela hizi zilitokana na kukamuliwa Watanzania ambao mara zote wanaitwa Wanyonge.
Lissu amedai kwamba Vibali hivyo vilitolewa kwa Marafiki na Jamaa zao wa Karibu katika mpango Muruwa wa Nifae leo nikufae kesho .
Kwa vile Sakata hili ndio kwanza limeanza basi Jitahidi sana kubaki hapa JF ili kujua Mnyororo wote wa Waliohusika, kuanzia Serikalini hadi kwenye Bodi ya Sukari.
Liwalo na Liwe
View attachment 3019630
=====
Pia soma:
- Luhaga Mpina na Tundu Lissu, msiishie kwenye sukari tu, bali chunguzeni na biashara ya kukopesha mitandaoni
Watakuja akina machawa Lucas mwashambwa kukanusha na kuzodoa lakini ukweli ni kwamba tunanunua sukari sh 6000 kwa kilo badala ya nei halisi ya sh 25000Watu watakuja humu kuulizia ushahidi. Yaani the charge of life style pekee haziwezi kuwapa majibu. Mke wa Bashe inasemekana anapokea pesa kwenye mabegi.
Kuna haja ya kuanza kuwafangia viongozi wetu LIFE STYLE AUDIT.
Tukianza kunyonga si tutamaliza karibia viongozi wote wa CCM kuanzia waliohudumu kipindi cha mkapa mpaka sasa🤣🤣Hii nchi bila kunyonga hawa majizi, watanzania tutabaki masikini.
Mkuu kama ulinunua sukari sh 6000 kwa kilo umewatajirisha kina bashe na jamaa zao wasomali wa itel na akina abdulHakuna jipya kama mlimchukua marehemu lowassa nazo hizi pia ni porojo kama za mwembe yanga!
Mama yenu anarembum"ETI JAMANI SI TUNALAMBA ASALI?" Makamba voice
Pole sana kama kweli we ni mzalendo mwenzanguSISI WANA CCM KINDAKINDAKI TUKISIA HAYA TUNAVUNJIKA MOYO SANA..., NGUVU ZINATUISHIA, UKIZINGATIA HATA SIKUKUU WENGI WETU TUMESHINDWA KUISHEHEREKEA, MUNGU ANAWAONA!
sawa, wauzaji na wanunuzi ni kina nani? Kama imeuzwa je hakuna uwezokano wa kuikomboa irudi kwa wananchi?Hapa nchi imeuzwa kabisa yaani rais nimekosa cha kusema maana anakera sana
hata hawa watafuna nchi wataondolewa kwa mbwembwe zaidiSijui kwa nini mkoloni mzungu alifukuzwa kwa mbwembwe nyingi vile enzi hizo
kuna wakati majizi haya magufuli aliyatia jambajamba yakaogopa, baada ya magufuli kuondoka yaliibuka upya kwa kasi ya ajabu yanaiba yakijua anaweza kutokea kiboko yao mwingine akawakatisha wizi wao. Uchaguzi mkuu unakuja kama kuna mgombea urais hana ubavu wa kuyakabili majizi asigombee aache wenye uwezo wa kuyakabili wagombee na hatimaye apatikane kiongozi wa kudhibiti rushwa na wizi kwa vitendoHii nchi bila kunyonga hawa majizi, watanzania tutabaki masikini.
mbona wapo wanatawala kwa style nyingine ya invisible wakiwa kwao huko nje, wanatawala kwa kutumia remote, wana wb, imf. Hawaji wenyewe physically tuwaone pale magogoni/chamwino. Tena wengine nao wanataka, akina china na arabuni, wakipata vibaraka wao inatosha kutawala wakiwa kwaoTukiamua tunaweza kuwarudisha, wanapataka sana Africa. Bora Mkoloni mweupe, kuliko Mkoloni mweusi.
aone aibu kwa kutokufanya manuever enzi zile? Alilinda katiba, uchaguzi mkuu unakuja sanduku la kura litaamua nani awe kiongozi mkuuMabeyo atakuwa anajilaumu sana na kuona aibu huko aliko.
Si wanakula kwa urefu wa kamba zaoAkizungumza mbele ya Maelfu ya wananchi huko Itigi, Tundu Lissu, huku akijiamini kupita kawaida, amesema kwamba, baada ya Rushwa hiyo Kabambe, Wafanyabiashara hao wakaruhusiwa kuongeza shilingi elfu 1 kwenye kila kilo na kuvuna hela haramu Bil 27 kwa kila mfanyabiashara, hela hizi zilitokana na kukamuliwa Watanzania ambao mara zote wanaitwa Wanyonge.
Lissu amedai kwamba Vibali hivyo vilitolewa kwa Marafiki na Jamaa zao wa Karibu katika mpango Muruwa wa Nifae leo nikufae kesho .
Kwa vile Sakata hili ndio kwanza limeanza basi Jitahidi sana kubaki hapa JF ili kujua Mnyororo wote wa Waliohusika, kuanzia Serikalini hadi kwenye Bodi ya Sukari.
Liwalo na Liwe
View attachment 3019630
=====
Pia soma:
- Luhaga Mpina na Tundu Lissu, msiishie kwenye sukari tu, bali chunguzeni na biashara ya kukopesha mitandaoni