Pre GE2025 Itigi: Tundu Lissu adai kila Mfanyabiashara alitoa Rushwa ya Tsh Bil 9 ili kupata kibali cha Kuagiza Sukari

Pre GE2025 Itigi: Tundu Lissu adai kila Mfanyabiashara alitoa Rushwa ya Tsh Bil 9 ili kupata kibali cha Kuagiza Sukari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watu watakuja humu kuulizia ushahidi. Yaani the charge of life style pekee haziwezi kuwapa majibu. Mke wa Bashe inasemekana anapokea pesa kwenye mabegi.

Kuna haja ya kuanza kuwafangia viongozi wetu LIFE STYLE AUDIT.
Maza ni mdini sn, angekuwa mkristo amefanya hivyo angetengua haraka sn
 
Nchi imeoza hii, yaani ni kero kwa mtanzania wa kawaida.

Kuna majambo yanahitajika ili nchi ikae sawa.
 
Kwahiyo viongozi ambao wananchi maskini tumewapa dhamana ya kutuongoza wanatengeneza mfumo wa kujinufaisha wao huku wananchi wakiumia?
 
Akizungumza mbele ya Maelfu ya wananchi huko Itigi, Tundu Lissu, huku akijiamini kupita kawaida, amesema kwamba, baada ya Rushwa hiyo Kabambe, Wafanyabiashara hao wakaruhusiwa kuongeza shilingi elfu 1 kwenye kila kilo na kuvuna hela haramu Bil 27 kwa kila mfanyabiashara, hela hizi zilitokana na kukamuliwa Watanzania ambao mara zote wanaitwa Wanyonge.

Lissu amedai kwamba Vibali hivyo vilitolewa kwa Marafiki na Jamaa zao wa Karibu katika mpango Muruwa wa Nifae leo nikufae kesho .

Kwa vile Sakata hili ndio kwanza limeanza basi Jitahidi sana kubaki hapa JF ili kujua Mnyororo wote wa Waliohusika, kuanzia Serikalini hadi kwenye Bodi ya Sukari.

Liwalo na Liwe

View attachment 3019630


=====

Pia soma:

- Luhaga Mpina na Tundu Lissu, msiishie kwenye sukari tu, bali chunguzeni na biashara ya kukopesha mitandaoni
Loh !🙄
Halafu machawa wengine wanadiriki kusema Wananchi hawalipi kodi kumbe wanatozwa mpaka zile fidia za fedha za nifae leo nikufae kesho 🙄😳😳

But you know what ?? They don’t care they don’t give a damn about all these critics whatsoever !
Because they’re holding the four aces 🙄⭕️
 
Wenzake waliona pale hamna mtu yeye akakaza fuvu!

Katiba kitu gani bhana mbele ya hawa mchwa?
wenzake walitaka kufanya makaratee waliona pale hakuna mtu ila hawakuwa na namna katiba ikafuata mkondo wake. Je, ndani ya chama chao watamruhusu achukue fomu ya kugombea, ni muhula wake wa kwanza au?
 
Mkuu 'Tlaa', una kazi ngumu mno. Na itaendelea kuwa ngumu kwelikweli kadri tunavyo elekea 2025.

Itabidi niwe macho zaidi na kufuatilia kwa karibu zaidi hali yako itakavyo kuwa ikibadilika, kama hutazimia kabla ya kipenga cha mwisho.
Ni mnufaika wa mfumo kwahiyo usitegemee changes kutoka kwake maana jamaa wakienda na maji na yeye atakuwa miongoni mwao 😅⭕️
Inner circle ⭕️ 🙄
 
wenzake walitaka kufanya makaratee waliona pale hakuna mtu ila hawakuwa na namna katiba ikafuata mkondo wake. Je, ndani ya chama chao watamruhusu achukue fomu ya kugombea, ni muhula wake wa kwanza au?
Nani mwenye ubavu wa kumzuia asigombee ??
URAIS ni Taasisi kubwa na Uenyekiti wa Chama ni Taasisi kubwa pia 🙄

Hayupo peke yake na wote waliomzunguka wana nguvu kubwa maana Nguvu ya Mamba iko kwenye maji na wao wamo ndani ya maji !

Wanaoguna guna wako nje ya maji hawana nguvu 😳🤠🤠
 
Rushwa kwenye vibali vya sukari si jambo geni. Limekuwa likijirudia kila mwaka. Kwa maelezo ya wajuzi kuna kipindi kila mwaka kunakuwa na uhaba wa sukari na hapo ndiyo biashara ya vibali hufanyika.
Inasemekana hiyo biashara ina faida kuliko ngada au ni namba 2,
 
Setikali hii kwenye uongozi, wamejaa wala rushwa na wevi wakubwa.

Huyu Bashe, bila shaka ni mwovu mkubwa. Mradi wake wa kilimo, ambao Mama aliidhinisha mabilioni ya pesa nyingi kupindukia, hauna lolote zaidi ya wizi mkubwa kupindukia.

Rafiki yake, bwana Rashid, ndiyo mrija wa kupokelea pesa hiyo ya wizi. Tena anathubutu mpaka kutamka kuwa yeye hawezi kuacha kupewa tenda hizo za mradi wa kilimo kwa sababu kila akilipwa, lazima amkumbuke. Wizi unafanyika kwa kumpa tenda za kutengeneza fence za mashamba, kutengeneza kinachoitwa barabara kuzunguka mashamba, na kuandaa mashamba. Ndiyo ile ya kuandaa eka moja ya shamba kwa milioni 7.

Fikiria mtu kama Bitko, aliyekuwa akimiminiwa sifa na Mama. Yeye watu wake wa karibu walisema toka mwanzo kuwa mawaziri wote wa marehemu wataondolewa lakini yeye hataondolewa kwa sababu chochote anachokipata kwenye madini lazima kinamfikia mama. Na kweli, licha ya uchafu mwingi alioufanya kwenye madini, ikiwa ni pamoja na kuyapora maeneo yenye leseni za wawekezaji wa nje, na kuwagawia wanyarwanda wenzake, lakini mpaka leo yupo, na akatengenezewa hata nafasi ambayo haipo kwenywe katiba.

Bashe, kama hiyo rushwa na ufisadi mkubwa alioufanya kupitia sukari, pesa ilikuwa inamfikia mama, basi hana wasiwasi, si ajabu mkashangaa anateuliwa kuwa naibu waziri mkuu wa pili. Hii inatoa picha ya wazi kuwa mama anawatumia baadhi ya mawaziri kama mirija yake ya kumtengenezea yeye mabilioni ya pesa.

Mama hatufai, hatufai hata kidogo. Watanzania tuseme imetosha. Na akishaondolewa, ile sheria ya kuwalinda viongozi wasishtakiwe tuifute kwa kuwa ni batili, inaenda kinyume cha katiba inayosema kuwa watu wote ni sawa mbele ya sheria. Hawa wote itabidi wachunguzwe na wawajibike kwa uhalifu wao.
acha upotoshaji kamanda 🐒

kiongozi wa walevi nchini ni chairman wenu 🐒
 
Kwa asili wanawake wengi hudanganyika sana na kwa urahisi kwenye masuala ya pesa. Ndiyo maana wengine huangukia kwenye mikono ya ajabu kwa sababu ya pesa. Na huyu mama inaonekana mbele ya pesa anakuwa kipofu kabisa.

Fikiria alivyopofushwa kwenye kuouza bandari na hifadhi za Taifa.

Hatufai, akapumzike.
Arudi kwao chambawima akaendeleze mipasho yake na wachambawima wenzie akwende zake kule
 
Back
Top Bottom